Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Karibu Sochi kwenye michezo ya barafu

Mashindano yaliyo gharimu Kitita kikubwa zaidi katika historia ya Olimpiki yatafunguliwa Urusi leo huku medali 98 ziking'ang'aniwa katika siku kumi na sita.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Michezo ya Sochi yaanza Rasmi

Rais Vladmir Putin wa Urusi afungua rasmi mashindano ya olimpiki ya msimu wa baridi katika mji wa utalii wa Socchi.

 

11 years ago

BBCSwahili

Michezo ya Olimpiki yaanza Sochi

Mashindano ya Olimpiki ya msimu wa baridi huko Sochi yaanza licha ya vitisho vya mashambulizi

 

9 years ago

Mwananchi

Karibu Nape katika michezo, burudani

Tasnia za michezo, burudani na sanaa nchini zilimshuhudia Rais John Magufuli akimteua Nape Nnauye kuiongoza tasnia hiyo kwa miaka mitano ijayo Alhamisi wiki iliyopita.

 

11 years ago

Michuzi

Timu ya Tanzania kwenye michezo ya Jumuiya ya Madola yakaribishwa rasmi leo katika kijiji maalum cha michezo hiyo Glasgow

Waogeleaji wa Tanzania Mariam Foum, Hilal Hemed na Ammaar Ghadiyali wakiwa tayari kwa michuano jijini Glasgow. Timu ya Tanzania kwenye michezo ya Jumuiya ya Madola imekaribishwa rasmi leo katika kijiji maalum cha michezo hiyo Glasgow,  Uskochi.Timu ya Tanzania kwenye michezo ya Jumuiya ya Madola imekaribishwa rasmi leo kayika kijiji maalum cha michezo hiyo Glasgow,  Uskochi.

 

9 years ago

Michuzi

JUST IN: KITUO CHA MICHEZO CHAENDELEA KUJIZATITI Aliyekuwa Kocha kwenye Ligi Kuu ya Uingereza aja Tanzania kuongoza kituo cha vijana cha michezo

Ndugu Ray Power, ambaye amewahi kuwa Kocha wa Chama Cha Soka na mkuu wa kitengo cha mpira wa miguu katika chuo kiitwacho Central College Nottingham; ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Ufundi katika Kituo cha Vijana cha Michezo kilichopo Kidongo Chekundu jijini Dar es Salaam (pichani). Katika nafasi yake mpya, Ndugu Power atasimamia mafunzo na Uongozi wa kituo kipya ambacho kinategemewa kufunguliwa tarehe 19 ya Mwezi huu. Ndugu Power anachukua nafasi iliyoachwa wazi na aliyekuwa Mkurugenzi wa...

 

10 years ago

Michuzi

KARIBU KWENYE KIPINDI HIKI CHA NIAMBIE LIVE.

Karibu kwenye kipindi hiki cha NIAMBIE LIVE
Kipindi kinachozungumzia mambo mbalimbali yaliyochukua nafasi za juu kwenye mitandao ya kijamii. Wiki hii mada ni SIKU YA KINABABA DUNIANI.
Na mgeni mwalikwa ni Mayor Mlima
Ni Niambie Live....

 

9 years ago

Bongo5

Papa Wemba kutumbuiza kwenye tamasha la muziki la Karibu, Bagamoyo, Nov 6

papa-wembaMuimbaji mkongwe wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, Papa Wemba, ni mmoja wa wasanii watakaotumbuiza kwenye tamasha la muziki la Karibu litakalofanyika kuanzia November 6 – 8. Tamasha hilo la muziki wa live litafanyika kwenye viwanja vya Mwanakalenge mjini Bagamoyo. Wasanii wengine watakaotumbuiza kwenye tamasha hilo wanasomeka kwenye poster hiyo chini. Wasanii wa ndani watakaitumbuiza […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani