karibu kwenye maombi tumuabudu mungu kwa kweli na haki
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi26 Dec
KUWENI NA HOFU YA MUNGU, NAYE ATASIKIA MAOMBI YENU KWA TAIFA - MH. SUMAYE:
![1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/12/123.jpg)
10 years ago
Michuzi26 Dec
FREDRICK SUMAYE: KUWENI NA HOFU YA MUNGU, NAYE ATASIKIA MAOMBI YENU KWA TAIFA
![1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/12/123.jpg)
5 years ago
BBCSwahili22 May
Virusi vya corona: Watanzania waanza maombi ya siku 3 kumshukuru Mungu kwa kuwaepusha na janga
Raia wa Tanzania hii leo wanaanza siku tatu za maombi ya kumshukuru Mungu baada ya Rais wa nchi hiyo John Magufuli kusema maambukizi ya Covid-19 nchini humo yamepungua.
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-s5XnMV2bWb0/XsY47PIpDpI/AAAAAAAC5wU/YaxMwVqDm14ZW6bxrLJV10uPlbjK0EEbwCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
WATANZANIA KUFANYA MAOMBI KITAIFA SIKU TATU KUMSHUKURU MUNGU KWA KUTULINDA DHIDI YA JANG LA CORONA
![](https://1.bp.blogspot.com/-s5XnMV2bWb0/XsY47PIpDpI/AAAAAAAC5wU/YaxMwVqDm14ZW6bxrLJV10uPlbjK0EEbwCLcBGAsYHQ/s1600/1.jpg)
Maombi hayo ya siku tatu, (Ijumaa, Jumamosi na Jumapili (Tarehe 22-24 Mei, 2020) yanafuatia wito wa Rais John Magufuli kupitia Hotuba yake aliyoitoa Jumapili ya tarehe 17 Mei, 2020 wakati akitoa takwimu za Corona katika maeneo mbalimbali ya nchi.
Rais Magufuli aliwahimiza Wananchi katika...
5 years ago
BBCSwahili24 May
Virusi vya corona: Watanzania wafika kilele cha siku tatu za maombi ya shukrani kwa Mungu
Waumini wa madhehebu mbalimbali wamekamilisha siku tatu za maombi maalumu ya kumshukuru Mungu baada ya 'kupungua' kwa maambukizi ya covid19.
10 years ago
Mwananchi03 Apr
MAOMBI:Yanga waifuata Platinum, wao wamwachia Mungu
Kocha wa Yanga, Hans Pluijm amewataka wachezaji wake kuwadhihirishia Watanzania kwamba msimu huu wamepania kufanya mambo makubwa katika Kombe la Shirikisho Afrika.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/oj4MhhoM4fSGurTUrl9GFC-*m8GxKXkmpzr8zS*QE5Gk0QPPsJ7X60uM4haJIgxhe9r81L1MsJyL2vNSt-dI-S-YZ3TjHqam/FRONTUWAZI80.jpg?width=650)
KWELI MUNGU MKUBWA!
Na Waandishi Wetu, MWANZA HAKUNA neno jingine la kutumia zaidi ya kusema; KWELI MUNGU MKUBWA! Ni miezi mitano sasa imekatika tangu kusambaa kwa picha mitandaoni zilizomwonesha mwanaume mmoja akiwa ameshindiliwa sululu kichwani huku kisa kikiwa hakijulikani. Bw. Oka Kaombe akisimulia mkasa uliomkuta bara baada ya kupona majeraha ya sululu iliyozamishwa kichwani mwake.
Mbali na mitandao ya… ...
10 years ago
GPLASKOFU WA KANISA LA GOOD NEWS FOR ALL MINISTRY ASEMA MAOMBI YAO MUNGU, AMETENDA!
Askofu Charles Gadi (katikati) akiongea na wanahabari (hawapo pichani). Viongozi wa kanisa hilo wakiomba kwa pamoja baada ya kumaliza kuongea na wanahabari.
Wanahabari wakichukua tukio. ASKOFU wa Kanisa la Good News For all Ministry, Charles Gadi amesema maombi yao yaliyofanyika kwa takribani siku 1000 kwa ajili ya …
9 years ago
Raia Mwema04 Nov
Ni kweli Rais huchaguliwa na Mungu lakini …
WAKATI tukisubiri majibu ya Uchaguzi Mkuu ili kumfahamu nani ataibuka rais wa taifa letu kwa awam
Privatus Karugendo
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania