ASKOFU WA KANISA LA GOOD NEWS FOR ALL MINISTRY ASEMA MAOMBI YAO MUNGU, AMETENDA!
Askofu Charles Gadi (katikati) akiongea na wanahabari (hawapo pichani). Viongozi wa kanisa hilo wakiomba kwa pamoja baada ya kumaliza kuongea na wanahabari. Wanahabari wakichukua tukio. ASKOFU wa Kanisa la Good News For all Ministry, Charles Gadi amesema maombi yao yaliyofanyika kwa takribani siku 1000 kwa ajili ya …
GPL
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM Blog![](https://img.youtube.com/vi/1gydulqw72U/default.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OQbVc*b-KB8PTkuNeZZdTH4ymXKkSM6rXfS6xjgku7Dr4nMVhVVsXOEyy-zWB4unGeVHkkmIzl*RG5kMKhsla6eGzFhWVJqd/inndia.jpg?width=650)
MUNGU AMETENDA!
Imelda Mtema na Deogratus Mongela
HATIMAYE Mtoto, Hamisi Hashimu Liguya (13) mkazi wa Yombo jijini Dar amerejea nchini kutoka India alikopelekwa kwa matibabu akiwa na tabasamu akiamini kwamba, Mungu amemtendea miujiza, Risasi Mchanganyiko lina habari kamili. Mtoto, Hamisi Hashimu Liguya (13) wakati akiwasili nchini India kwa matibabu. Hamisi aliyekuwa akisumbuliwa na uvimbe mkubwa wa mguu wa kushoto kiasi cha...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yhCsS*vRHKhowEG*UzhN15VWEl32Ztgf*aTmQQ2WXJ5grZdtEy1ngn*NJc51lY8DbYaPnvQY4ElauGYya9y7yjiy3qB7ijhj/vengu.jpg)
VENGU MUNGU AMETENDA
Stori: Mwandishi Wetu
MUNGU mkubwa! Vengu is back from hell (Vengu amerudi toka kuzimu). Msanii staa wa Kundi la Orijino Komedi ‘OK’, Joseph Shamba ’Vengu’ ameanza kurejea katika ‘fomu’ baada ya kuugua kwa muda mrefu, Risasi Jumatano linathibitisha. Msanii staa wa Kundi la Orijino Komedi ‘OK’, Joseph Shamba ’Vengu’. Kwa mujibu wa ndugu wa karibu wa msanii huyo...
10 years ago
VijimamboHUDUMA YA GOOD NEWS FOR ALL MINISTRY YAOMBA KUWEPO MJADALA WA WAZI KUJADILI TATIZO LA ULEVI NCHINI
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JQbgrkxt9ufMtrRWf1SAWKgmNRSSXoGXflULNEy9JloTv4d2HY6Q3aYjkrK9m8tbVH-iZQXvZZyDrOs*ONvsGC0DuwZGS2qk/mbasha.jpg?width=650)
KESI YA UBAKAJI YA MBASHA, MUNGU AMETENDA!
Brighton Masalu AHSANTE! Hatimaye kesi nzito na ngumu iliyokuwa ikimkabili Emmanuel Mbasha, mume wa mwimbaji wa nyimbo za Injili, Flora Mbasha ya kumbaka shemeji yake, imemalizika juzi kwa Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Ilala kumwachia huru na yeye mwenyewe kutamka kuwa Mungu ametenda! Emmanuel Mbasha akilia kwa furaha baada ya hukumu hiyo. KISA KIZIMA Emmanuel ambaye awali alikuwa na mgogoro wa kifamilia na mke wake, Flora...
10 years ago
GPLHUDUMA YA GOOD NEWS FOR ALL MINISTRY YAOMBA KUWEPO MJADALA WA WAZI KUJADILI TATIZO LA ULEVI NCHINI
Askofu Charles Gadi wa Huduma ya Good News for All Ministry   Askofu Charles Gadi wa Huduma ya Good News for All Ministry (kulia), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu kuongezeka kwa joto duniani na athari zake pamoja na tatizo la ulevi nchini ambapo kanisa hilo limeshauri kuwepo na mjadala wa wazi kujadili jambo hilo. Kutoka kushoto ni Mchungaji, Martin Ndaki na Katibu wa huduma hiyo, Palemo...
9 years ago
MichuziMCHUNGAJI CHARLES GADI ASIMIKWA RASMI KUWA ASKOFU MKUU WA MAKANISA YOTE YA GOOD NEWS FOR ALL NCHINI TANZANIA
9 years ago
GPLMCHUNGAJI CHARLES GADI ASIMIKWA RASMI KUWA ASKOFU MKUU WA MAKANISA YOTE YA GOOD NEWS FOR ALL NCHINI TANZANIA
Askofu Charles Gadi akitoa historia yake katika ibada yake ya kusimikwa kuwa Askofu Mkuu wa Makanisa ya Good News for All baada ya kusimikwa rasmi katika kanisa hilo la Mapinga Wilayani Bagamoyo mkoani Pwani hivi karibuni.
Wazee wa kiroho wa Askofu Gadi wakiwasalimia waumini katika ibada hiyo.…
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-7-M2NaBuVhw/Vczp8xh1OiI/AAAAAAAHwZU/pV5TDhj3C-w/s72-c/unnamed%2B%25281%2529.jpg)
Askofu Dk. Charles Gadi atawazwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Habari Njema kwa Wote Tanzania, atunukiwa shahada mbili za udaktari Bagamoyo
![](http://1.bp.blogspot.com/-7-M2NaBuVhw/Vczp8xh1OiI/AAAAAAAHwZU/pV5TDhj3C-w/s640/unnamed%2B%25281%2529.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-zH0W867zq4Y/Vczp823ZtNI/AAAAAAAHwZQ/AmX_dWEMDyg/s640/unnamed%2B%25282%2529.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-7t3xx-fl3FA/Vczp-_pNcPI/AAAAAAAHwZ8/JqfhHJF_lOo/s640/unnamed.jpg)
Askofu Gadi akisimikwa na Maaskofu mbalimbali kutoka nje na nchini Jumapili
![](http://2.bp.blogspot.com/-RCv2jQP8O9M/Vczp98oxdAI/AAAAAAAHwZs/x22-LVv3RNQ/s640/unnamed%2B%25285%2529.jpg)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania