Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VENGU MUNGU AMETENDA

Stori: Mwandishi Wetu
MUNGU mkubwa! Vengu is back from hell (Vengu amerudi toka kuzimu). Msanii staa wa Kundi la Orijino Komedi ‘OK’, Joseph Shamba ’Vengu’ ameanza kurejea katika ‘fomu’ baada ya kuugua kwa muda mrefu, Risasi Jumatano linathibitisha. Msanii staa wa Kundi la Orijino Komedi ‘OK’, Joseph Shamba ’Vengu’. Kwa mujibu wa ndugu wa karibu wa msanii huyo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MUNGU AMETENDA!

Imelda Mtema na Deogratus Mongela
HATIMAYE  Mtoto, Hamisi Hashimu Liguya (13) mkazi wa Yombo jijini Dar amerejea nchini kutoka India alikopelekwa  kwa matibabu akiwa na tabasamu  akiamini kwamba, Mungu amemtendea miujiza, Risasi Mchanganyiko lina habari kamili. Mtoto, Hamisi Hashimu Liguya (13) wakati akiwasili nchini India kwa matibabu. Hamisi aliyekuwa akisumbuliwa na uvimbe mkubwa wa mguu wa kushoto kiasi cha...

 

9 years ago

GPL

KESI YA UBAKAJI YA MBASHA, MUNGU AMETENDA!

Brighton Masalu AHSANTE! Hatimaye kesi nzito na ngumu iliyokuwa ikimkabili Emmanuel Mbasha, mume wa mwimbaji wa nyimbo za Injili, Flora Mbasha ya kumbaka shemeji yake, imemalizika juzi kwa Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Ilala kumwachia huru na yeye mwenyewe kutamka kuwa Mungu ametenda!  Emmanuel Mbasha akilia kwa furaha baada ya hukumu hiyo. KISA KIZIMA Emmanuel ambaye awali alikuwa na mgogoro wa kifamilia na mke wake, Flora...

 

10 years ago

GPL

ASKOFU WA KANISA LA GOOD NEWS FOR ALL MINISTRY ASEMA MAOMBI YAO MUNGU, AMETENDA!

Askofu Charles Gadi (katikati) akiongea na wanahabari (hawapo pichani). Viongozi wa kanisa hilo wakiomba kwa pamoja baada ya kumaliza kuongea na wanahabari.
Wanahabari wakichukua tukio. ASKOFU wa Kanisa la Good News For all Ministry,  Charles Gadi amesema maombi yao yaliyofanyika kwa takribani siku 1000 kwa ajili ya …

 

10 years ago

Bongo Movies

Joti Awashukia Waliomzushia kifo Vengu

Uvumi uliozagaa katika mitandao ya kijamii kuwa mwigizaji wa kundi la Orijino Komedi Joseph Shamba ‘Vengu’ kuwa amefariki hazina ukweli wowote na zimeleta usumbufu kwa ndugu na jamaa wa msanii huyo ambaye ni mzima wa afya akiwa yupo kwake, amedhibitisha msanii mwezake Joti.
 

“Hatujui watu hawa wana nia gani na mwezetu, ni mtu kajisikia tu kuposti ujinga aliofikiria kama unaweza kumpatia kiki labda kwa akili yake, toka asubuhi leo simu ni nyingi sana kila mtu akikupigia na swali hilo hilo...

 

9 years ago

Vijimambo

11 years ago

GPL

MUACHE MUNGU AITWE MUNGU NA KAMA HUJAFA HUJAUMBIKA‏

Elisha Bahunde akiwa chumba # 8 ghorofa ya 6 alipolazwa tangia siku ya Jumatano Feb 19, 2014 alipoletwa Maryland kwa matibabu zaidi
Elisha Bahunde au Eric akiwa hana miguu wa mkono kama picha inavyoonyesha.…

 

5 years ago

CCM Blog

KANISA HALISI LA MUNGU BABA LINAWAKARIBISHA WATU WOTE KWENYE HIJA YA CHANZO HALISI CHA MUNGU BABA, MJINI KIGOMA 26 THEBETI,1(26 APRILI,2020)

KWA NINI  HIJA MOJA HALISI IKO KIGOMA?
Sauti Mpya(2019) ambayo imetangaza kuwa Tanzania ni Taifa Baba ilisikika Kigoma–Tanzania; Sauti Mpya ambayo imetangaza kuwa Afrika ni Bara la Nuru ilisikika Kigoma–Tanzania; Sauti Mpya ambayo ni zaidi ya zile Sauti Saba ilisikika Kigoma-Tanzania; Sauti Mpya ambayo ni zaidi ya ishara tatu mbinguni (Ufunuo 12:1-9) ilisikika Kigoma–Tanzania; Sauti Mpya ambayo ni zaidi ya Nafsi ya Moyo (Miungu tisa mitakatifu iliyofafanuliwa ndani ya Kitabu) ilisikika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani