MUNGU AMETENDA!
![](http://api.ning.com:80/files/OQbVc*b-KB8PTkuNeZZdTH4ymXKkSM6rXfS6xjgku7Dr4nMVhVVsXOEyy-zWB4unGeVHkkmIzl*RG5kMKhsla6eGzFhWVJqd/inndia.jpg?width=650)
Imelda Mtema na Deogratus Mongela HATIMAYE Mtoto, Hamisi Hashimu Liguya (13) mkazi wa Yombo jijini Dar amerejea nchini kutoka India alikopelekwa kwa matibabu akiwa na tabasamu akiamini kwamba, Mungu amemtendea miujiza, Risasi Mchanganyiko lina habari kamili. Mtoto, Hamisi Hashimu Liguya (13) wakati akiwasili nchini India kwa matibabu. Hamisi aliyekuwa akisumbuliwa na uvimbe mkubwa wa mguu wa kushoto kiasi cha...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yhCsS*vRHKhowEG*UzhN15VWEl32Ztgf*aTmQQ2WXJ5grZdtEy1ngn*NJc51lY8DbYaPnvQY4ElauGYya9y7yjiy3qB7ijhj/vengu.jpg)
VENGU MUNGU AMETENDA
Stori: Mwandishi Wetu
MUNGU mkubwa! Vengu is back from hell (Vengu amerudi toka kuzimu). Msanii staa wa Kundi la Orijino Komedi ‘OK’, Joseph Shamba ’Vengu’ ameanza kurejea katika ‘fomu’ baada ya kuugua kwa muda mrefu, Risasi Jumatano linathibitisha. Msanii staa wa Kundi la Orijino Komedi ‘OK’, Joseph Shamba ’Vengu’. Kwa mujibu wa ndugu wa karibu wa msanii huyo...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JQbgrkxt9ufMtrRWf1SAWKgmNRSSXoGXflULNEy9JloTv4d2HY6Q3aYjkrK9m8tbVH-iZQXvZZyDrOs*ONvsGC0DuwZGS2qk/mbasha.jpg?width=650)
KESI YA UBAKAJI YA MBASHA, MUNGU AMETENDA!
Brighton Masalu AHSANTE! Hatimaye kesi nzito na ngumu iliyokuwa ikimkabili Emmanuel Mbasha, mume wa mwimbaji wa nyimbo za Injili, Flora Mbasha ya kumbaka shemeji yake, imemalizika juzi kwa Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Ilala kumwachia huru na yeye mwenyewe kutamka kuwa Mungu ametenda! Emmanuel Mbasha akilia kwa furaha baada ya hukumu hiyo. KISA KIZIMA Emmanuel ambaye awali alikuwa na mgogoro wa kifamilia na mke wake, Flora...
10 years ago
GPLASKOFU WA KANISA LA GOOD NEWS FOR ALL MINISTRY ASEMA MAOMBI YAO MUNGU, AMETENDA!
Askofu Charles Gadi (katikati) akiongea na wanahabari (hawapo pichani). Viongozi wa kanisa hilo wakiomba kwa pamoja baada ya kumaliza kuongea na wanahabari.
Wanahabari wakichukua tukio. ASKOFU wa Kanisa la Good News For all Ministry, Charles Gadi amesema maombi yao yaliyofanyika kwa takribani siku 1000 kwa ajili ya …
11 years ago
GPLMUACHE MUNGU AITWE MUNGU NA KAMA HUJAFA HUJAUMBIKA
Elisha Bahunde akiwa chumba # 8 ghorofa ya 6 alipolazwa tangia siku ya Jumatano Feb 19, 2014 alipoletwa Maryland kwa matibabu zaidi
Elisha Bahunde au Eric akiwa hana miguu wa mkono kama picha inavyoonyesha.…
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-JSexxhkX_nQ/Xk52UGVhgsI/AAAAAAACHyU/XvJU3MiHv0QNtD8S4Axe7rxAKq_MdmORQCLcBGAsYHQ/s72-c/HIJA%2BYA%2BCHANZO%2BHALISI.jpg)
KANISA HALISI LA MUNGU BABA LINAWAKARIBISHA WATU WOTE KWENYE HIJA YA CHANZO HALISI CHA MUNGU BABA, MJINI KIGOMA 26 THEBETI,1(26 APRILI,2020)
![](https://1.bp.blogspot.com/-JSexxhkX_nQ/Xk52UGVhgsI/AAAAAAACHyU/XvJU3MiHv0QNtD8S4Axe7rxAKq_MdmORQCLcBGAsYHQ/s400/HIJA%2BYA%2BCHANZO%2BHALISI.jpg)
Sauti Mpya(2019) ambayo imetangaza kuwa Tanzania ni Taifa Baba ilisikika Kigoma–Tanzania; Sauti Mpya ambayo imetangaza kuwa Afrika ni Bara la Nuru ilisikika Kigoma–Tanzania; Sauti Mpya ambayo ni zaidi ya zile Sauti Saba ilisikika Kigoma-Tanzania; Sauti Mpya ambayo ni zaidi ya ishara tatu mbinguni (Ufunuo 12:1-9) ilisikika Kigoma–Tanzania; Sauti Mpya ambayo ni zaidi ya Nafsi ya Moyo (Miungu tisa mitakatifu iliyofafanuliwa ndani ya Kitabu) ilisikika...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania