Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Joti Awashukia Waliomzushia kifo Vengu

Uvumi uliozagaa katika mitandao ya kijamii kuwa mwigizaji wa kundi la Orijino Komedi Joseph Shamba ‘Vengu’ kuwa amefariki hazina ukweli wowote na zimeleta usumbufu kwa ndugu na jamaa wa msanii huyo ambaye ni mzima wa afya akiwa yupo kwake, amedhibitisha msanii mwezake Joti.
 

“Hatujui watu hawa wana nia gani na mwezetu, ni mtu kajisikia tu kuposti ujinga aliofikiria kama unaweza kumpatia kiki labda kwa akili yake, toka asubuhi leo simu ni nyingi sana kila mtu akikupigia na swali hilo hilo...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

‘Waliomzushia Jenerali Davis Mwamunyange waombe radhi’

WIZARA ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, imewataka watu waliosambaza uvumi katika mitandao ya kijamii kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini, Jenerali Davis Mwamunyange, kuwa amelazwa nje ya nchi kwa ugonjwa, kuomba radhi mapema la sivyo watachukuliwa hatua.

 

10 years ago

GPL

VENGU MUNGU AMETENDA

Stori: Mwandishi Wetu
MUNGU mkubwa! Vengu is back from hell (Vengu amerudi toka kuzimu). Msanii staa wa Kundi la Orijino Komedi ‘OK’, Joseph Shamba ’Vengu’ ameanza kurejea katika ‘fomu’ baada ya kuugua kwa muda mrefu, Risasi Jumatano linathibitisha. Msanii staa wa Kundi la Orijino Komedi ‘OK’, Joseph Shamba ’Vengu’. Kwa mujibu wa ndugu wa karibu wa msanii huyo...

 

9 years ago

Vijimambo

10 years ago

CloudsFM

JOTI ACHUMBIA?

Mwigizaji wa vichekesho wa kundi la Orijino Komedi,Lucas Mhavile, ‘Joti’, amedaiwa kumvisha pete mpenzi wake wa siku nyingi, ikiwa ni ishara na dalili njema kuelekea kwenye kufunga ndoa.
Picha iliyosambaa mtandaoni inaonyesha akiwa na swahiba wake wa siku nyingi, Mr. Mjuni Sylvatory a.k.a Mpoki, Joti ameonekana mwenye furaha muda wote kwa kutimiza tendo hilo huku akiwa amealika watu wachache sana kuhudhuria tukio hilo.

Hata hivyo Clouds FM imemtafuta Joti kuzungumzia picha hiyo kwenye simu...

 

10 years ago

GPL

JOTI, LULU BALAA

Stori: Waandishi wetu
Mastaa wawili Bongo waliokuwa watangazaji wa Shindano la Kuibua Vipaji vya Kuigiza, Tanzania Movie Talents (TMT), Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Lucas Mhuvile ‘Joti’ wamezua balaa na kuwaacha hoi mashabiki waliohudhuria fainali za shindano hilo kufuatia aina ya viwalo walivyokuwa wamepigilia. Staa wa Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ akiingia ukumbini na kigauni...

 

11 years ago

Michuzi

JOTI AJA NA "SANDUKU LA BABU"

MSANII wa Komedi Bongo Lucas Mhuvile ‘Joti’ ametengeneza filamu inayokwenda kwa jina la Sanduku la Babu. Msanii huyo anajivunia aina ya mfumo aliotumia katika kuandaa sinema hiyo kwa kuirekodi na kushiriki katika nafasi zote pekee yake na kuifanya kuwa filamu sawa na iliyoshirikisha wasanii wengi.  Filamu hiyo ambayo inaonekana ni ya maajabu ni kutokana na Teknolojia iliyotumika kwa nafasi zote kuchezwa na mhusika mmoja, ambapo Joti amecheza katika sinema ya Sanduku la Babu kucheza nafasi...

 

11 years ago

TheCitizen

THE PUB: Joti is right; the title ‘mzee’ can be costly

>You’re at your neighbourhood “grocery” having a drink as you wait for the rain to stop so that you can walk home. With you is Vita, the youthful associate of yours.

 

11 years ago

GPL

PICHA ZA HARUSI ZA LULU NA JOTI; Mhh!

Msanii wa Orijino Komedi Joti na msanii wa filamu Lulu, wakikumbatiana katika picha za harusi, huku MC Pilipili wa harusi hiyo akishuhudia kwa shauku. ......sasa unaweza kumbusu bibi harusi!…

 

9 years ago

Bongo Movies

Joti, Mc Regan Walizua Tafrani Tabora

Wasanii wa Kundi la Orijino Komedi, Lucas Mhuvile ‘Joti’ na mwenzake Alex Chalamila ‘McRegan’ hivi karibuni walizua tafrani ya aina yake na kutaka kusababisha vifo baada ya kupanda kwenye jukwaa la kampeni za CCM zilizofanyika hivi karibuni katika Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Tabora.

Tukio hilo lilitokea baada ya umati uliokuwa umefurika uwanjani hapo kwa ajili ya kusikiliza kampeni za mgombea urais, John Magufuli kila mmoja kutaka kusogea mbele ili kuwaona wasanii hao wakitoa burudani,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani