JOTI, LULU BALAA
![](http://api.ning.com:80/files/bdG71GPfFwFN6qVfLtAaBvhB2QOQTBYqcGkjVVyfIBYIC19zvRWpGhoX9qabMSXqXQy2OgLKd7jw2wBnYiRYYA7Qm9o2xUaP/joti.jpg)
Stori: Waandishi wetu Mastaa wawili Bongo waliokuwa watangazaji wa Shindano la Kuibua Vipaji vya Kuigiza, Tanzania Movie Talents (TMT), Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Lucas Mhuvile ‘Joti’ wamezua balaa na kuwaacha hoi mashabiki waliohudhuria fainali za shindano hilo kufuatia aina ya viwalo walivyokuwa wamepigilia. Staa wa Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ akiingia ukumbini na kigauni...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ug6ORo4NSNTadcP3-kAIfBEzcOylaWfpcdnTlRgqK9VLhz4ey5*z*kVsdB0fvoH4g-qXhZnKuLXD3qcnwWDEp1WUdKenxDQ1/JOTINALULUMICHAEL6.jpg?width=750)
PICHA ZA HARUSI ZA LULU NA JOTI; Mhh!
10 years ago
CloudsFM04 Feb
JOTI ACHUMBIA?
Picha iliyosambaa mtandaoni inaonyesha akiwa na swahiba wake wa siku nyingi, Mr. Mjuni Sylvatory a.k.a Mpoki, Joti ameonekana mwenye furaha muda wote kwa kutimiza tendo hilo huku akiwa amealika watu wachache sana kuhudhuria tukio hilo.
Hata hivyo Clouds FM imemtafuta Joti kuzungumzia picha hiyo kwenye simu...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-z3q0YCOjsh0/U3vSE3bTdcI/AAAAAAAFj_g/4KojU8pZ62k/s72-c/unnamed+(2).jpg)
JOTI AJA NA "SANDUKU LA BABU"
11 years ago
TheCitizen12 Apr
THE PUB: Joti is right; the title ‘mzee’ can be costly
11 years ago
Tanzania Daima06 Jul
Mgahawa wa kina Joti gumzo Sabasaba
MGAHAWA wa wasanii wa vichekesho wa Kundi la Orijino Komedi (OK), umejipatia umaarufu mkubwa na kujizolea idadi kubwa ya watu, wanaohudhuria Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam...
9 years ago
Bongo Movies20 Sep
Joti, Mc Regan Walizua Tafrani Tabora
Wasanii wa Kundi la Orijino Komedi, Lucas Mhuvile ‘Joti’ na mwenzake Alex Chalamila ‘McRegan’ hivi karibuni walizua tafrani ya aina yake na kutaka kusababisha vifo baada ya kupanda kwenye jukwaa la kampeni za CCM zilizofanyika hivi karibuni katika Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Tabora.
Tukio hilo lilitokea baada ya umati uliokuwa umefurika uwanjani hapo kwa ajili ya kusikiliza kampeni za mgombea urais, John Magufuli kila mmoja kutaka kusogea mbele ili kuwaona wasanii hao wakitoa burudani,...
10 years ago
Bongo Movies26 Mar
Joti Awashukia Waliomzushia kifo Vengu
Uvumi uliozagaa katika mitandao ya kijamii kuwa mwigizaji wa kundi la Orijino Komedi Joseph Shamba ‘Vengu’ kuwa amefariki hazina ukweli wowote na zimeleta usumbufu kwa ndugu na jamaa wa msanii huyo ambaye ni mzima wa afya akiwa yupo kwake, amedhibitisha msanii mwezake Joti.
“Hatujui watu hawa wana nia gani na mwezetu, ni mtu kajisikia tu kuposti ujinga aliofikiria kama unaweza kumpatia kiki labda kwa akili yake, toka asubuhi leo simu ni nyingi sana kila mtu akikupigia na swali hilo hilo...