Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PICHA ZA HARUSI ZA LULU NA JOTI; Mhh!

Msanii wa Orijino Komedi Joti na msanii wa filamu Lulu, wakikumbatiana katika picha za harusi, huku MC Pilipili wa harusi hiyo akishuhudia kwa shauku. ......sasa unaweza kumbusu bibi harusi!…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

JOTI, LULU BALAA

Stori: Waandishi wetu
Mastaa wawili Bongo waliokuwa watangazaji wa Shindano la Kuibua Vipaji vya Kuigiza, Tanzania Movie Talents (TMT), Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Lucas Mhuvile ‘Joti’ wamezua balaa na kuwaacha hoi mashabiki waliohudhuria fainali za shindano hilo kufuatia aina ya viwalo walivyokuwa wamepigilia. Staa wa Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ akiingia ukumbini na kigauni...

 

10 years ago

Bongo Movies

PICHA: Joti Awakuna Wengi Kwa Mtoko Huu

Picha ya mwigizaji mkongwe wa vichekesho “KOMEDI” Lucas Mhuvile ‘Joti’  imewakuna watu wengi  na kufanya kuwa ni moja kati ya picha zinazo” TREND” mtandaoni toka jana. 

Japo kuwa Joti akiwa kama ‘Bi kiboga’ ametokelezea kiofisi zaidi, watu wengi wamejituka wakiangusha komenti nyingi wakielezea kuvunjika kwa mbavu zao kwa kicheko huku wengine wakisema mnuno wake ndio balaa na wengine wakisema skuna ndio sheedah ilimradi kila mmoja kafurahi kwa mtindo wake.

Kiukweli kabisa kijana huyu ni...

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Flaviana Matata sasa ni Mrs Massawe, jionee picha za harusi yake

Hatimaye mwanamitindo wa kimataifa, Flaviana Matata amekuwa Mrs Massawe. Flavy na mpenzi wake wa siku nyingi Deogratius Massawe wamefunga pingu za maisha Jumamosi ya August 15, 2015 katika kanisa la St.Joseph ikafuatiwa na sherehe iliyofanyika Serena Hotel jijini Dar es salaam. Photo Credit: Various Instagram Pages Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, […]

 

10 years ago

Bongo Movies

PICHA:Kuwa Wakwanza Kuziona Picha za Kwanza za Lulu Kwa Mwaka Huu

Mrembo na mwigizaji  wa filamu hapa Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ametupia picha hizi mtandandaoni ikiwa ni kwa mara ya kwanza kwa mwaka huu kwa mwanadada huyu kufanya  “Professional Photo Shoots” chini ya manifester brand.

Jionee hapo juu picha za mrembo huyu alizopigwa akiwa maendo ya gereji.

Wengi wamezipenda, wewe je?

 

11 years ago

Bongo Movies

PICHA: Tazama picha tano (5) kali sana za mwanadada Elizabeth Michael a.k.a LULU. Utazipenda.

Picha kwa hisani ya blog ya http://www.domozege.blogspot.com

 

9 years ago

MillardAyo

TBT:Picha 7 za Joh Makini, Quick Rocka, Vanessa Mdee, Roma, Shilole, Joti na Flaviana Matata…enzi hizo

Ni TBT!! Throwing back thursday ambapo huwa tunaitumia hii siku kushare zile picha zetu za zamani ambapo kwenye millardayo.com kila wiki tutakua tunakuletea picha mbalimbali za mastaa wakiwa kwenye pozi miaka kadhaa iliyopita. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line yatiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa […]

The post TBT:Picha 7 za Joh Makini, Quick Rocka, Vanessa Mdee, Roma, Shilole, Joti na Flaviana Matata…enzi hizo appeared first on...

 

10 years ago

Bongo Movies

Picha: ‘Bethidei Pati’ ya Mtoto wa Odama Kama Harusi!

Staa mrembo wa Bongo Movies, Jennifer Kyaka ‘Odama’ amefanya kufuru ya aina yake baada ya kumwandalia mwanaye, Janson bonge la sherehe ya kuzaliwa (bethidei), aliyekuwa akitimiza mwaka mmoja iliyokuwa kama harusi.

Pati hiyo iliyohudhuriwa na mastaa kibwena Bongo ilichukua nafasi kwenye Ukumbi wa Msasani Beach, Kinondoni jijini Dar, wikiendi iliyopita ambapo shughuli nzima ilikuwa imeandaliwa kama harusi ambapo kwa mujibu wa waandaaji iliteketeza mamilioni ya shilingi yanayodaiwa kumwagwa na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani