HUDUMA YA GOOD NEWS FOR ALL MINISTRY YAOMBA KUWEPO MJADALA WA WAZI KUJADILI TATIZO LA ULEVI NCHINI
Askofu Charles Gadi wa Huduma ya Good News for All Ministry
Askofu Charles Gadi wa Huduma ya Good News for All Ministry (kulia), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu kuongezeka kwa joto duniani na athari zake pamoja na tatizo la ulevi nchini ambapo kanisa hilo limeshauri kuwepo na mjadala wa wazi kujadili jambo hilo. Kutoka kushoto ni Mchungaji, Martin Ndaki na Katibu wa huduma hiyo, Palemo Massawe.
Mchungaji Fabian Msimbe akizungumza katika mkutano huo. Kulia ni...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLHUDUMA YA GOOD NEWS FOR ALL MINISTRY YAOMBA KUWEPO MJADALA WA WAZI KUJADILI TATIZO LA ULEVI NCHINI
10 years ago
GPLASKOFU WA KANISA LA GOOD NEWS FOR ALL MINISTRY ASEMA MAOMBI YAO MUNGU, AMETENDA!
11 years ago
Tanzania Daima23 Jan
Hatuoni tatizo kwenye mjadala wa gesi nchini
JUZI na jana kulikuwa na kongamano kubwa kati ya viongozi wa dini na Wizara ya Nishati na Madini kuhusu maliasili ya gesi asilia, mafuta na madini kwa amani na maendeleo...
9 years ago
MichuziMCHUNGAJI CHARLES GADI ASIMIKWA RASMI KUWA ASKOFU MKUU WA MAKANISA YOTE YA GOOD NEWS FOR ALL NCHINI TANZANIA
9 years ago
GPLMCHUNGAJI CHARLES GADI ASIMIKWA RASMI KUWA ASKOFU MKUU WA MAKANISA YOTE YA GOOD NEWS FOR ALL NCHINI TANZANIA
10 years ago
Habarileo26 Nov
Mama Maria: Mjadala wa Escrow uwe wazi
MJANE wa Rais wa Awamu ya Kwanza, Hayati Mwalimu Julius Nyerere, Mama Maria Nyerere ameshauri mijadala inayogusa jamii, ikiwamo ile ya akaunti ya Tegeta Escrow ijadiliwe kwa kina ili kupatiwa ufumbuzi.
10 years ago
Habarileo16 Nov
Kamati ya Zito kujadili wazi IPTL
HATIMAYE Ripoti ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kuhusu utoaji wa zaidi ya Sh bilioni 200 katika akaunti ya Escrow ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT), imekabidhiwa kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Kabwe Zitto.
10 years ago
National Geographic28 Jun
Two Nations Show Good News, Bad News for Africa's Elephants
National Geographic
National Geographic
Visits to Gabon and Tanzania shows the head of U.S. Fish and Wildlife Service that commitment from the top makes all the difference. Picture of elephants in tanzania. Elephants in Tanzania's Serengeti National Park, where United States Fish and Wildlife ...
Activists: Decline of elephants in Tanzania is catastrophicRedding Record Searchlight
all 2
11 years ago
GPL![](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/08/0016.jpg?width=640)
TGNP NA KONGAMANO LA WAZI KUJADILI MCHAKATO WA KATIBA MPYA