Hatuoni tatizo kwenye mjadala wa gesi nchini
JUZI na jana kulikuwa na kongamano kubwa kati ya viongozi wa dini na Wizara ya Nishati na Madini kuhusu maliasili ya gesi asilia, mafuta na madini kwa amani na maendeleo...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboHUDUMA YA GOOD NEWS FOR ALL MINISTRY YAOMBA KUWEPO MJADALA WA WAZI KUJADILI TATIZO LA ULEVI NCHINI
10 years ago
GPLHUDUMA YA GOOD NEWS FOR ALL MINISTRY YAOMBA KUWEPO MJADALA WA WAZI KUJADILI TATIZO LA ULEVI NCHINI
11 years ago
Mwananchi08 Feb
MJADALA: Je, vijana nchini waache kushiriki kwenye siasa?
11 years ago
Mwananchi22 Jan
Kikwete afunga mjadala wa gesi
11 years ago
Mwananchi12 Dec
Mjadala wa gesi, umetufumbua macho
11 years ago
Tanzania Daima23 Jan
Mnyika: JK hawezi kufunga mjadala wa gesi
KATIKA mkutano wa Ndala, Nzega mkoani Tabora wananchi walitoa sauti za kulalamikia ongezeko la bei ya umeme huku wakilaani madhara ya Operesheni Tokomeza Ujangili, ambapo pia walitaka kujua kuhusu matumizi...
10 years ago
Dewji Blog27 Dec
NHC yakabiliana na tatizo la moyo nchini kwa kusaidia matibabu ya watoto 53 nchini India
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza wakati wa hafla fupi iliyofanyika leo Desemba 26, 2014 kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam ya kuwaaga jumla ya watoto 55 wenye matatizo ya ugonjwa wa Moyo kati ya 104, waliofadhiliwa na Lions Club ya jijini, kwa ajili ya kwenda kutibiwa nchini India. Watoto hao 55 wa awamu ya kwanza walionza kuondoka nchini jana.
Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) limechangia kiasi cha takribani shilingi...
11 years ago
Tanzania Daima04 May
Bunge Maalumu limechepuka kwenye mjadala — 2
BUNGE Maalumu la Katiba lipo mapumzikoni. Kabla ya kwenda katika mapumziko haya, lilitakiwa kujadili rasimu ya katiba na walijipangia kujadili sura ya pili na ile ya sita ya rasimu husika....
11 years ago
Tanzania Daima27 Apr
Bunge Maalumu la Katiba limechepuka kwenye mjadala
WALAU sasa tutapumzika. Watu wengi wenye akili timamu walikuwa wakikerwa na mijadala ya Bunge Maalumu la Katiba. Ni mijadala iliyokuwa imechepuka na kujadili kisichopaswa kujadiliwa. Sasa wameenda kupumzika, labda watatia...