MJADALA: Je, vijana nchini waache kushiriki kwenye siasa?
>Mfumo wa vyama vingi vya siasa ni hali ya kuwa na chama zaidi ya kimoja katika nchi moja. Madhumuni ya mfumo huu ni kupanua uwanja wa demokrasia kwa wananchi na kuleta ushindani wa kisiasa unaosaidia ukuaji wa demokrasia, uwajibikaji na kuleta maendeleo kwa nchi husika, ukiruhusu kuwapo chama tawala au muungano wa vyama hivyo pamoja na upinzani.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima23 Jan
Hatuoni tatizo kwenye mjadala wa gesi nchini
JUZI na jana kulikuwa na kongamano kubwa kati ya viongozi wa dini na Wizara ya Nishati na Madini kuhusu maliasili ya gesi asilia, mafuta na madini kwa amani na maendeleo...
10 years ago
Mwananchi13 May
MAONI: Bajeti ni muhimu zaidi, wabunge waache siasa
10 years ago
Mwananchi01 Feb
Wabunge waache siasa mijadala yenye masilahi kwa umma
9 years ago
VijimamboMSAJILI WA VYAMA VYA SIASA ATAJA VYAMA VYA SIASA VYENYE USAJILI WA KUDUMU AMBAVYO VINASTAHILI KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU
9 years ago
Habarileo14 Sep
Serikali yakanusha kuzuia watumishi kushiriki siasa
SERIKALI imekanusha kupiga marufuku ushiriki wa watumishi na rasilimali za umma katika kampeni za kisiasa na kuwataka Watanzania kupuuza upotoshaji huo. Aidha imesema kinachokatazwa ni ushiriki usiofuata utaratibu na kubainisha kwamba kiongozi wa serikali (Mkuu wa Wilaya ama Mkoa) akiwa katika kutekeleza majukumu yake katika maeneo hayo, hazuiwi kutumia vitendea kazi vyake.
10 years ago
MichuziVIONGOZI NCHINI WATAKIWA KUSHIRIKI MKUTANO MABADILIKO YA TABIA YA NCHI NCHINI ETHIOPIA
VIONGOZI nchini wametakiwa kushiriki katika mkutano wa mabadiliko ya tabia ya nchi utakaofanyika Julai 13 na 16 Addis Ababa Ethiopia.
Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam,Mratibu wa Mtandao wa Mabadiliko ya Tabia ya Nchi (CAN),Sixsbaty Mwanga amesema mkutano huo ni muhimu kutokana hali iliyopo sasa katika mabadiliko ya tabia ya nchi kwa kuongezeka ukame ,njaa pamoja na mafuriko, hivyo viongozi wanaweza kushawishi mkutano katika kuongeza...
10 years ago
Bongo518 Nov
Vijana waaswa kushiriki mashindano ya teknolojia
11 years ago
MichuziVIJANA WAASWA KUSHIRIKI KATIKA SHUGHULI ZA MAENDELEO
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/PhpRQMoFW8akRqokc3GJ6IdUJAeZx5g6czn0HOj2qeMIbMIrY8GC6Ue99AOcoJovuqj4rnPNqBpmzxzuov*yVGCGsI9heCH7/001.APPSTAR.jpg)
VIJANA WAASWA KUSHIRIKI MASHINDANO YA TEKNOLOJIA