Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VIJANA WAASWA KUSHIRIKI KATIKA SHUGHULI ZA MAENDELEO

 Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Bw. James Kajugusi akisisitiza jambo wakati akiwahamasisha vijana wa Mchinga kujiunga katika vikundi vya uzalishaji mali ili kuunda SACCOS ya vijana. Kulia ni Afisa Tarafa ya Mchinga, Bi.Hadija Mringwa. (Picha zote na Concilia Niyibitanga,Kitengo cha Mawasiliano Serikalini,Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo)Afisa Kata wa Kata ya Mchinga, Bi. Sharifa Mkwango, akisisitiza jambo kuhusu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Dk. Bujugo: “Vijana unganeni tuweze kuwasaidia katika shughuli za maendeleo”

a

Mgombea Udiwani Kata ya Magomeni, Dk. Julian Bujugo (wa tatu kutoka kushoto) akisikiliza mmoja wa wajumbe wa CCM, aliyekuwa akihutubia jukwaani wakati wa mkutano huo wa kampeni uliofanyika jana jioni Agosti 30.2015. Mtaa wa ChemChem Magomeni Mapipa. Anayemfuatia ni mmgeni rasmi katika mkutano huo, Alhaj Salum Londa. (Picha zote  na Andrew Chale wa modewjiblog.com).

Na Andrew Chale, modewjiblog

(Magomeni-Kinondoni) Kampeni za kisiasa kuwania nafasi ngazi ya Udiwani kwa Kata ya Magomeni  jana...

 

10 years ago

Bongo5

Vijana waaswa kushiriki mashindano ya teknolojia

Ndoto za wanafunzi wa vyuo vikuu wanaosoma masomo ya sayansi ya teknokojia ya habari na mawasiliano nchini ya kuwa magwiji wa fani hiyo zinaelekea kutimia. Hali hii inatokana na kuzinduliwa kwa shindano la kusaka vipaji vya ugunduzi wa program za simu – App Star – mwezi huu. Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Tanzania,Abigail Ambweni […]

 

10 years ago

GPL

VIJANA WAASWA KUSHIRIKI MASHINDANO YA TEKNOLOJIA‏

Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Tanzania,Abigail Ambweni akiwafafanulia jambo baadhi ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kutoka Kitivo cha Sayansi ya Kompyuta kuhusiana na  shindano la AppStar linaloendeshwa na kampuni hiyo linalowalenga wataalam wa kutengeneza mobile applications na kujishindia zawadi mbalimbali ikiwemo pesa taslim na safari ya kwenda nchini India kushiriki katika shindano hilo ngazi ya...

 

11 years ago

Michuzi

HALMASHAURI ZATAKIWA KUTENGA MAENEO KWA AJILI YA SHUGHULI ZA MAENDELEO YA VIJANA

Katibu wa Kikundi cha Sayari, Bibi. Mwanaisha Ali akikabidhi Risala ya Kikundi hicho kwa Katibu Mkuu, Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Bibi. Sihaba Nkinga mwishoni mwa wiki alipotembelea kikundi hicho kwa ajili ya kukagua maendeleo ya shughuli za vikundi vya Vijana Wilayani Kilwa, Mkoani Lindi. Mwenyekiti wa Kikundi cha Sayari, Bw. Ramadhan Sungura akifafanua jambo kwa Katibu Mkuu, Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Bibi. Sihaba Nkinga (hayupo pichani) wakati...

 

10 years ago

Dewji Blog

DC Tunduru awataka wadau wa misitu kushiriki katika maendeleo vijijini

DSCN4170

Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Chande Nalicho.

Na Steven Augustino wa Demashonews,Tunduru

SERIKALI Wilayani Tunduru Mkoani Ruvuma, imewataka wafanyabiashara walioomba kuvuna mazao ya misitu Wilayani humu, kutoa ushirikiano katika uendelezaji wa elimu ikiwa ni pamoja na kutoa misaaa ya kutengeneza madawati  na kuyasambaza katika shule zilizopo Wilayani humu.

Wito huo, umetolewa na Mwenyekiti wa kamati ya uvunaji wa mazao ya misitu wilayani Tunduru, Mkuu wa Wilaya ya hiyo, Bw. Chande Nalicho,...

 

11 years ago

Dewji Blog

Mh. Mohammed Dewji akiwa katika ziara ya kukagua shughuli mbalimbali za maendeleo ya jimbo lake

DSC_0073

MO akisalimiana na wazee wa kijiji cha Uhamaka kabla ya kuanza kuzungumza na wananchi.

DSC_0094

MO akisalimiana na mmoja wa watoto waliofika kwenye mkutano wake Uhamaka.

DSC_0086

Mbunge MO akilakiwa na mmoja wa bibi kizee aliyefika kwenye mkutano wake , Karibu mjukuu wangu hapa Uhamaka.

DSC_0107

Mbunge wa jimbo la Singida mjini Mohammed Dewji (MO), akiweka saini kwenye kitabu cha ofisi ya kijiji cha Uhamaka Manispaa ya Singida wakati akiwa kwenye ziara ya kiazi ya siku moja kukagua shughuli mbalimbali za...

 

11 years ago

GPL

MH. MOHAMMED DEWJI AKIWA KATIKA ZIARA YA KUKAGUA SHUGHULI MBALIMBALI ZA MAENDELEO YA JIMBO LAKE‏

MO akisalimiana na wazee wa kijiji cha Uhamaka kabla ya kuanza kuzungumza na wananchi. MO akisalimiana na mmoja wa watoto waliofika kwenye mkutano wake Uhamaka.…

 

10 years ago

Michuzi

Kinana aunguruma wilayani Nanyumbu mkoani mtwara, akagua miradi ya maendeleo na kushiriki katika kazi

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya wilaya ya Nanyumbu mkoani Mtwara baada ya kupokea taarifa za chama na serikali juu ya utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM 2010 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kupasua mawe wakati wa ujenzi wa mradi wa maji Sengenya Ujenzi wa mradi wa maji wa Sengenya ukiwa unaendelea ambapo ukikamilika utasaidia vijiji vitatu wilayani Nanyumbu mkoa wa Mtwara.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani