Dk. Bujugo: “Vijana unganeni tuweze kuwasaidia katika shughuli za maendeleo”
Mgombea Udiwani Kata ya Magomeni, Dk. Julian Bujugo (wa tatu kutoka kushoto) akisikiliza mmoja wa wajumbe wa CCM, aliyekuwa akihutubia jukwaani wakati wa mkutano huo wa kampeni uliofanyika jana jioni Agosti 30.2015. Mtaa wa ChemChem Magomeni Mapipa. Anayemfuatia ni mmgeni rasmi katika mkutano huo, Alhaj Salum Londa. (Picha zote na Andrew Chale wa modewjiblog.com).
Na Andrew Chale, modewjiblog
(Magomeni-Kinondoni) Kampeni za kisiasa kuwania nafasi ngazi ya Udiwani kwa Kata ya Magomeni jana...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziVIJANA WAASWA KUSHIRIKI KATIKA SHUGHULI ZA MAENDELEO
11 years ago
MichuziHALMASHAURI ZATAKIWA KUTENGA MAENEO KWA AJILI YA SHUGHULI ZA MAENDELEO YA VIJANA
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-6RQhD4bnHKs/Xtn1C72X9qI/AAAAAAALsq8/TVLQcoRDBzI5M1h01TT7w5hrLD4yRw5hwCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-04%2Bat%2B10.34.58%2BPM.jpeg)
Tufanye mambo gani ili tuweze kunufaika na maendeleo ya kiteknolojia?
![](https://1.bp.blogspot.com/-6RQhD4bnHKs/Xtn1C72X9qI/AAAAAAALsq8/TVLQcoRDBzI5M1h01TT7w5hrLD4yRw5hwCLcBGAsYHQ/s640/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-04%2Bat%2B10.34.58%2BPM.jpeg)
Hakuna shaka yoyote kwamba teknolojia imebadili namna na kasi ya mawasiliano yetu ambayo yamepitia hatua mbalimbali kuanzia barua posta, simu za mezani na sasa kidijitali.
Katika miezi ya karibuni gonjwa la Corona limewavuta watu wengi zaidi kutumia mbinu za kidijitali si tu kuwasiliana bali hata kwenye kufanya malipo na kupata burudani.
Tukitazama mbele yapo mambo...
11 years ago
Dewji Blog24 May
Mh. Mohammed Dewji akiwa katika ziara ya kukagua shughuli mbalimbali za maendeleo ya jimbo lake
MO akisalimiana na wazee wa kijiji cha Uhamaka kabla ya kuanza kuzungumza na wananchi.
MO akisalimiana na mmoja wa watoto waliofika kwenye mkutano wake Uhamaka.
Mbunge MO akilakiwa na mmoja wa bibi kizee aliyefika kwenye mkutano wake , Karibu mjukuu wangu hapa Uhamaka.
Mbunge wa jimbo la Singida mjini Mohammed Dewji (MO), akiweka saini kwenye kitabu cha ofisi ya kijiji cha Uhamaka Manispaa ya Singida wakati akiwa kwenye ziara ya kiazi ya siku moja kukagua shughuli mbalimbali za...
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/05/DSC_00731.jpg)
MH. MOHAMMED DEWJI AKIWA KATIKA ZIARA YA KUKAGUA SHUGHULI MBALIMBALI ZA MAENDELEO YA JIMBO LAKE
10 years ago
MichuziWARSHA KATIKA HOTEL YA GOLD CREST JIJINI MWANZA KWA AJILI KUHAMASISHA NA KUJENGA UWEZO WA KUJUMUISHA MASUALA YA VIJANA KATIKA MIPANGO YA MAENDELEO YA MKOA NA WILAYA
Warsha hiyo inafanyika katika vituo vya Mwanza na Musoma. Katika kituo cha Mwanza warsha inafanyika tarehe 8 na 9 Juni 2015, kituo ambacho kinajumuisha Sekretarieti ya Mkoa na Halmashauri za mikoa ya Mwanza,...
10 years ago
Dewji Blog18 Aug
Serikali kuwashirikisha vijana katika programu za maendeleo
Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Idadi ya watu duniani (UNFPA), Dkt Natalia Kanem akizungumza wakati wa maadhimisho hayo ya siku ya kimataifa ya vijana duniani kwenye viwanja vya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Kushoto ni Mgeni Rasmi kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Vijana na Michezo, Bibi Venerose Mtenga na kulia ni Mtaalamu wa Programu za Vijana kutoka UNFPA, Tausi Hassan.( Picha na Zainul Mzige wa MOblog).
.Siku ya vijana duniani na ujumbe wa “Vijana...
9 years ago
MichuziVIJANA WAUNGANA KUPAMBANA NA MABADILIKO YA TABIANCHI KATIKA MALENGO 17 YA MAENDELEO ENDELEVU (SDGs)
Akizungumza na wadau wa Mabadiliko ya Tabianchi,Mratibu wa Mtandao wa Mabadiliko ya Tabianchi,Sixberty Mwanga amesema kuwa katika malengo 17 ya Maendeleo Endelevu Tanzania inatakiwa kushiriki na kukubali juu ya kuweza kupata fedha za kuweza kutekeleza malengo hayo.
Mkutano wa Umoja wa Mataifa (UN) wa Malengo...