Kikwete afunga mjadala wa gesi
>Rais Jakaya Kikwete amefunga mjadala wa wafanyabiashara wazawa wanaotaka kupewa kipaumbele katika uwekezaji wa sekta ya gesi akisema Shirika la Maendeleo la Petroli(TPDC) linajitosheleza kuwasaidia Watanzania wanufaike na rasilimali hiyo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi28 Jun
Malinzi afunga rasmi mjadala
9 years ago
Habarileo14 Aug
Membe afunga mjadala kugombea kwake urais
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, amefunga mjadala kuhusu masuala ya kisiasa, na kubainisha kuwa timu yake aliyokuwa akicheza pamoja na kufanya vizuri katika kuwania nafasi ya Urais kupitia CCM, imeshindwa katika kinyang’anyiro hicho.
11 years ago
Mwananchi12 Dec
Mjadala wa gesi, umetufumbua macho
11 years ago
Tanzania Daima23 Jan
Mnyika: JK hawezi kufunga mjadala wa gesi
KATIKA mkutano wa Ndala, Nzega mkoani Tabora wananchi walitoa sauti za kulalamikia ongezeko la bei ya umeme huku wakilaani madhara ya Operesheni Tokomeza Ujangili, ambapo pia walitaka kujua kuhusu matumizi...
11 years ago
Tanzania Daima23 Jan
Hatuoni tatizo kwenye mjadala wa gesi nchini
JUZI na jana kulikuwa na kongamano kubwa kati ya viongozi wa dini na Wizara ya Nishati na Madini kuhusu maliasili ya gesi asilia, mafuta na madini kwa amani na maendeleo...
11 years ago
Mwananchi22 Mar
Kikwete ‘avuruga’ mjadala
10 years ago
Mwananchi23 Dec
Kikwete achochea mjadala Escrow
11 years ago
Dewji Blog21 Jun
Mjadala Bunge Maalum la Katiba halininyimi usingizi — Rais Kikwete
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete amekumbuka enzi za kuwa mwalimu katika Chuo cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania cha Monduli, Arusha, alipotoa mhadhara katika Chuo cha Taifa cha ulinzi (National Defence College -NDC- ) kilichopo Kunduchi jijini Dar es salaam ambako aliahidi kwamba baada ya kustaafu Urais mwakani atakuwa mwalimu chuoni hapo. Pichani anaonekana Rais Kikwete akisikiliza swali kutoka kwa mmoja wanafunzi hao baada ya mhadhara wake.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na...
10 years ago
Dewji Blog20 Oct
Waziri Mkuu Pinda amwakilisha Rais Kikwete kwenye mjadala wa uwekezaji Afrika- London
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza kwenye mjadala kuhusu fursa za uwekezaji barani Afrika kwenye hoteli ya Savoyy , London, Oktoba 20/10/14.Wengine pichani ni Rais Yoweri Museveni wa Uganda Rais wa Gahana,John Mahama na Rais wa Rwanda Paul Kagame. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)