Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Malinzi afunga rasmi mjadala

 Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amesema kama klabu zinaona kuwa wachezaji saba wa kigeni hawatoshi, zinaweza kusubiri na kuendelea na mjadala huo na mwakani jambo hilo litaangaliwa upya.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MALINZI AFUNGA KOZI YA WAAMUZI WA FIFA

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Jamal Malinzi leo amefunga kozi ya waamuzi chipukizi wasiokuwa na beji za FIFA katika hoteli ya Holiday, ambapo jumla ya waamuzi 30 kutoka nchi 28 barani Afrika walihudhuria.Akiongea wakati wa kufunga kozi hiyo Malinzi alitoa wito kwa wahitimu wajikite kwenye maadili kwa kuzingatia mafunzo waliyopata ili katika kipindi kifupi wote wapate beji za FIFA na waonekane kweye mashindano makubwa kama fainali za AFCON na mashindano ya Kombe la...

 

11 years ago

Mwananchi

Kikwete afunga mjadala wa gesi

>Rais Jakaya Kikwete amefunga mjadala wa wafanyabiashara wazawa wanaotaka kupewa kipaumbele katika uwekezaji wa sekta ya gesi akisema Shirika la Maendeleo la Petroli(TPDC) linajitosheleza kuwasaidia Watanzania wanufaike na rasilimali hiyo.

 

9 years ago

Habarileo

Membe afunga mjadala kugombea kwake urais

WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, amefunga mjadala kuhusu masuala ya kisiasa, na kubainisha kuwa timu yake aliyokuwa akicheza pamoja na kufanya vizuri katika kuwania nafasi ya Urais kupitia CCM, imeshindwa katika kinyang’anyiro hicho.

 

9 years ago

Michuzi

RAIS WA TFF JAMAL MALINZI LEO AFUNGA FAINALI ZA MICHUANO YA KOMBE LA AIRTEL RISING STARS

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Jamal Malinzi leo amefunga fainali za michuano ya kombe la Airtel Rising Stars katika uwanja Karume jijini Dar es salaam.Akiongea kwakati wa ufungaji michuano ya airtel mbele ya halaiki ya vijana walioshirki michuano hiyo, Malinzi ameishukuru kampuni ya simu ya Airtel kwa kuendelea kudhamini michuano hiyo ambayo inawapa nafasi vijana ya kucheza mpira na kuonekana na baadae kujipatia ajira.“Lengo la TFF ni kushirki fainali za Olimpiki za...

 

9 years ago

Vijimambo

MALINZI AFUNGA KOZI YA MAKOCHA LESENI C’ATOA ANGALIZO KWA WAHITIMU KUYATUMIA MAFUNZO KWA VITENDO


RAIS wa Shirikisho la soka nchini (TFF), Jamal Malinzi, amefunga kozi ya wiki mbili ya makocha lesseni C inayotambuliwa na Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) na kuwataka wahitimu hao kufanyia kazi mafunzo waliyoyapata.  

 Akizungumza kwenye hafla fupi ya kufunga mafunzo hayo, Malinzi amesema kuwa anasikitika kuona makocha wanapata mafunzo kama hayo lakini wanaenda kuweka vyeti vyao ‘makabatini’ na kuacha kufanyia kazi walichojifunza.  

“Hiki mlichokipata kwenye mafunzo haya mnatakiwa...

 

10 years ago

CloudsFM

ELTON JOHN AFUNGA NDOA RASMI, DAVID BECKHAM AHUDHULIA

GWIJI wa muziki wa Rock Uingereza, Sir Elton John amefunga ndoa na mpenzi wake David Furnish ikiwa ni miaka tisa tangu Desemba 21, 2005 walipoingia katika uhusiano huo wa watu wenye jinsia moja.Walifunga ndoa mbele ya wanafamilia, marafiki na wageni wachache walioalikwa huko Windsor nchini England.Waalikwa wengi wao walikuwa watu maarufu wakiwemo: Familia ya David na Victoria Beckham, David Walliams na mkewe Lara Stone, Liz Hurley na mwanaye Damian, waliowasili kwa usafiri wa gari katika...

 

10 years ago

GPL

WAZIRI WA UJENZI AFUNGA RASMI MAADHIMISHO YA SIKU YA WAHANDISI TANZANIA

Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wahandisi mbalimbali hawapo pichani kuhusu umuhimu wa Taaluma ya Uhandisi na Maendeleo nchini kabla ya kufunga mkutano huo wa mwaka uliondaliwa na Bodi ya Usajili wa Wahandisi(ERB).
Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli wapili kutoka kulia akiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Usajili wa Wahandisi Profesa Ninatubu Lema… ...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA UJENZI AFUNGA RASMI MAADHIMISHO YA SIKU YA WAHANDISI TANZANIA.

Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wahandisi mbalimbali hawapo pichani kuhusu umuhimu wa Taaluma ya Uhandisi na Maendeleo nchini kabla ya kufunga mkutano huo wa mwaka uliondaliwa na Bodi ya Usajili wa Wahandisi(ERB).Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli wapili kutoka kulia akiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Usajili wa Wahandisi Profesa Ninatubu Lema wakawanza kushoto pamoja na Mbunge wa Tunduru kaskazini, Mheshimiwa Ramo Makani wakikagua...

 

10 years ago

Vijimambo

KAIMU KATIBU MKUU WA MAMBO YA NJE AFUNGA RASMI MAFUNZO YA SOFREMCO

Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Irene Kasyanju (kulia) akiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Diplomasia, Balozi Mwanaidi Maajar wakati wa hafla fupi ya kufunga Mafunzo Maalum ya Maafisa Waandamizi wa Mambo ya Nje (SOFREMCO) iliyofanyika Chuoni hapo Jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Kaimu Katibu Mkuu, Balozi Kasyanju na Balozi Maajar wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Viongozi wa Chuo na Wizara pamoja na Wahitimu wa Mafunzo ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani