Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ELTON JOHN AFUNGA NDOA RASMI, DAVID BECKHAM AHUDHULIA

GWIJI wa muziki wa Rock Uingereza, Sir Elton John amefunga ndoa na mpenzi wake David Furnish ikiwa ni miaka tisa tangu Desemba 21, 2005 walipoingia katika uhusiano huo wa watu wenye jinsia moja.Walifunga ndoa mbele ya wanafamilia, marafiki na wageni wachache walioalikwa huko Windsor nchini England.Waalikwa wengi wao walikuwa watu maarufu wakiwemo: Familia ya David na Victoria Beckham, David Walliams na mkewe Lara Stone, Liz Hurley na mwanaye Damian, waliowasili kwa usafiri wa gari katika...

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Elton John na David kufanya harusi

Msanii Sir Elton John atafanya ndao yake na mwana filamu David Furnish baadaye jumapili.

 

10 years ago

GPL

SIR ELTON JOHN ALIVYOMEREMETA NA MPENZI WAKE DAVID FURNISH

Sir Elton John akikata keki na mpenzi wake David Furnish. Elton John akikata keki kwa ajili ya kumpatia mtoto wao wa kwanza Zachary.…

 

10 years ago

CloudsFM

ELTON JOHN KUFUNGA NDOA

Mwanamuziki nguli wa nchini Uingereza,Elton John anatarajia kuolewa katika ndoa ya jinsia moja na mpenzi wake wa siku nyingi aliyedumu naye kwa miaka 20,David Furnish.
Mwanamuziki huyo anatarajia kufunga ndoa mwezi Desemba 21,mwaka huu,Elton John ana umri wa miaka 67 na mpenzi wake ana umri wa miaka 52 wametangaza nia ya kufunga ndoa baada ya kuishi muda mrefu kama mume na mke.
Pamoja na kuwa baadhi ya nchi hazikubaliani na suala la kufunga ndoa kwa watu wa jinsia moja,lakini wanaume hao...

 

9 years ago

Bongo5

Ripoti: Ndoa ya David na Victoria Beckham ipo kwenye mawe

David na Victoria Beckham huenda wakawa wanakaribia kupeana talaka baada ya tetesi za muda mrefu kuwa ndoa yao ipo kwenye mawe kuongezeka zaidi. Wawili hao hivi karibuni walionekana wakibishana kwa sauti za juu kwenye tukio moja kwa mujibu wa jarida la OK! Ripoti hiyo inadai kuwa wakati wawili hao wanatoka kwenye uzinduzi wa moja ya […]

 

10 years ago

GPL

MWANAMUZIKI SIR ELTON JOHN

Stori:  Hashim Aziz na mtandao
Wengi wanamjua Elton John kutokana na sauti yake nzuri awapo jukwaani ambapo nyimbo zake nyingi, zikiwemo Sacrifice na Candle in the Wind, zimemfanya atambulike dunia nzima. Kubwa zaidi, msanii huyu ni miongoni mwa watu wachache duniani waliokiri kuwa na uhusiano wa jinsia moja (shoga). Yafuatayo ni mambo kumi usiyoyajua kuhusu msanii huyu. 1. Elton Johh alianza kujifunza kupiga piano akiwa na...

 

10 years ago

Mwananchi

Mtoto wa David Beckham asaini kucheza Arsenal

Ni ajabu, kwamba safari hii maji hayajafuata mkondo! Mtoto wa nyota wa zamani wa Manchester United na England, David Beckham, Brooklyn amesaini mkataba wa mwaka mmoja kuichezea Arsenal.

 

10 years ago

Bongo5

David Beckham apata ajali akiwa na mwanae

Mchezaji mstaafu wa soka wa Uingereza, David Beckham, na mwanae, Brooklyn walihusika kwenye ajali nje ya uwanja wa mafunzo wa Arsenal, ulioko Hertfordshire, Kaskazini mwa mji wa London. Hata hivyo, hawakupata majeraha bali mshtuko wa kawaida kutokana na ajali hiyo ambayo waligongana na gari nyingine. Habari hizo zilipatikana kutoka kwenye chanzo cha karibu kabisa na […]

 

9 years ago

Bongo5

David Beckham amepewa Tuzo ya Legend of Football Award

Mchezajia mkongwe wa soka duniani David Beckham ambaye pia aliwahi kuwa nahodha wa England amedhihirisha kuwa alitumia vyema nafasi yake akiwa uwanjani na kujenga jina na heshima kwenye soka ambayo itamfanya akumbukwe duniani. Beckham ambaye alizichezea klabu za Manchester United na Real Madrid,Ac Millan,PSG ametunikiwa Tuzo ya heshima hii ni ishara ya kuutambua mchango wa […]

 

9 years ago

BBCSwahili

Elton John ataka kutetea mashoga Urusi

Mwanamuziki Sir Elton John amesema angependa sana kukutana na Vladimir Putin ingawa anajua baadaye kiongozi huyo huenda akamcheka.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani