Ripoti: Ndoa ya David na Victoria Beckham ipo kwenye mawe
David na Victoria Beckham huenda wakawa wanakaribia kupeana talaka baada ya tetesi za muda mrefu kuwa ndoa yao ipo kwenye mawe kuongezeka zaidi. Wawili hao hivi karibuni walionekana wakibishana kwa sauti za juu kwenye tukio moja kwa mujibu wa jarida la OK! Ripoti hiyo inadai kuwa wakati wawili hao wanatoka kwenye uzinduzi wa moja ya […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo514 Sep
Picha: Beyonce na Jay Z mapenzi tele licha ya tetesi kuwa ndoa yao ipo kwenye mawe tena
10 years ago
CloudsFM23 Dec
ELTON JOHN AFUNGA NDOA RASMI, DAVID BECKHAM AHUDHULIA
GWIJI wa muziki wa Rock Uingereza, Sir Elton John amefunga ndoa na mpenzi wake David Furnish ikiwa ni miaka tisa tangu Desemba 21, 2005 walipoingia katika uhusiano huo wa watu wenye jinsia moja.
Walifunga ndoa mbele ya wanafamilia, marafiki na wageni wachache walioalikwa huko Windsor nchini England.
Waalikwa wengi wao walikuwa watu maarufu wakiwemo: Familia ya David na Victoria Beckham, David Walliams na mkewe Lara Stone, Liz Hurley na mwanaye Damian, waliowasili kwa usafiri wa gari katika...
10 years ago
Bongo501 Dec
David Beckham apata ajali akiwa na mwanae
10 years ago
Mwananchi11 Nov
Mtoto wa David Beckham asaini kucheza Arsenal
5 years ago
RFI16 Feb
Victoria Beckham's 'gentle rebellion' at London Fashion Week
9 years ago
Bongo503 Sep
David Beckham amepewa Tuzo ya Legend of Football Award
9 years ago
Bongo514 Nov
Ushauri wa David Beckham kama Cristiano Ronaldo ataondoka Real Madrid
![david_beckham-759](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/david_beckham-759-300x194.jpg)
David Beckham mchezaji wa zamani wa soka wa Man United, Real Madrid na timu ya taifa ya Uingereza, Beckham ni mchezaji ambaye alivyo ondoka Man United jezi yake namba saba ilirithiwa na Cristiano Ronaldo.
Beckham alipo kuwa kwenye interview alifunguka kuwa kama Cristiano Ronaldo atahama Real Madrid ni vizuri akirudi Man United,
“Sikuwahi kumshauri yoyote kurudi Man United, Cristiano amekuwa kama shabiki wa Man United kwani anaipenda na amefanya vizuri akiwa Old Trafford na kucheza kwa...
5 years ago
The Guardian16 Feb
Victoria Beckham starts a quiet hemline revolution at London fashion week