WAZIRI WA UJENZI AFUNGA RASMI MAADHIMISHO YA SIKU YA WAHANDISI TANZANIA
Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wahandisi mbalimbali hawapo pichani kuhusu umuhimu wa Taaluma ya Uhandisi na Maendeleo nchini kabla ya kufunga mkutano huo wa mwaka uliondaliwa na Bodi ya Usajili wa Wahandisi(ERB). Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli wapili kutoka kulia akiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Usajili wa Wahandisi Profesa Ninatubu Lema… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziWAZIRI WA UJENZI AFUNGA RASMI MAADHIMISHO YA SIKU YA WAHANDISI TANZANIA.
10 years ago
MichuziWAZIRI WA UJENZI KUFUNGUA RASMI MAADHIMISHO YA 12 YA SIKU YA WAHANDISI TANZANIA.
Akitoa taarifa hiyo katika Ofisi ya Bodi ya Usajili wa Wahandisi, Mwenyekiti wa Maandalizi ya Bodi hiyo Mhandisi Bakari Mwinyiwiwa, amesema maadhimisho hayo yatakayobeba kauli mbiu isemayo “jukumu la wahandisi kwenye utekelezaji wa mpango wa matokeo makubwa sasa” yana...
9 years ago
GPLBALOZI SEFUE KUWA MGENI RASMI MAADHIMISHO YA SIKU YA WAHANDISI NCHINI TANZANIA
9 years ago
MichuziBALOZI SEFUE KUWA MGENI RASMI MAADHIMISHO YA SIKU YA WAHANDISI TANZANIA 2015.
9 years ago
MichuziWAZIRI MKUU MAJALIWA AFUNGA maadhimisho ya miaka 20 ya Dayosisi ya Pwani ya Kanisa la African Inland Church Tanzania (AICT)
Waziri Mkuu Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipohitimisha maadhimisho ya miaka 20 ya Kanisa la Africa Inland Church Dayosi ya...
9 years ago
Dewji Blog21 Dec
Waziri apiga marufuku wahandisi ‘Uchwara’ kupewa tenda za ujenzi wa Barabara
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Edwin Ngonyani (kushoto), akitoa maagizo mbalimbali kwa uongozi wa Bodi ya Mfuko wa Barabara nchini, alipotembelea bodi hiyo, Dar es Salaam juzi, kujua utendaji wake. Kulia ni Meneja wa bodi hiyo, Joseph Haule. (HABARI,PICHA NA RICHARD MWAIKENDA-KAMANDA WA MATUKIO BLOG).
Mhandisi Edwin Ngonyani.
Na Richard Mwaikenda
NAIBU Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Edwin Ngonyani, amepiga marufuku kwa Halmashauri zote...
11 years ago
CloudsFM26 Jul
RAIS KIKWETE MGENI RASMI KWENYE MAADHIMISHO YA SIKU YA KUMBUKUMBU YA MASHUJAA SIKU YA JANA
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka ngao kwenye mnara wakati wa Maadhimisho ya siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa iliyofanyika jana katika bustani ya Mnazi mmoja jijini Dar es salaam.
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Mohamed Ali Shein kwenye Maadhimisho ya siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa iliyofanyika katika bustani ya Mnazi mmoja jijini Dar es salaam jana. Wengine ni Makamu wa Rais Dkt Mohamed...
10 years ago
MichuziKILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA WALEMAVU KITAIFA IRINGA , SERIKALI YA TANZANIA YAPIGA MARUFUKU UJENZI WA MAJENGO YASIYO RAFIKI NA WALEMAVU
9 years ago
MichuziBARAZA LA TAIFA LA UJENZI KATIKA MKUTANO WA 13 WA BODI YA USAJIRI YA WAHANDISI TANZANIA