MALINZI AFUNGA KOZI YA MAKOCHA LESENI C’ATOA ANGALIZO KWA WAHITIMU KUYATUMIA MAFUNZO KWA VITENDO
RAIS wa Shirikisho la soka nchini (TFF), Jamal Malinzi, amefunga kozi ya wiki mbili ya makocha lesseni C inayotambuliwa na Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) na kuwataka wahitimu hao kufanyia kazi mafunzo waliyoyapata.
Akizungumza kwenye hafla fupi ya kufunga mafunzo hayo, Malinzi amesema kuwa anasikitika kuona makocha wanapata mafunzo kama hayo lakini wanaenda kuweka vyeti vyao ‘makabatini’ na kuacha kufanyia kazi walichojifunza.
“Hiki mlichokipata kwenye mafunzo haya mnatakiwa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA WIZARA YA UCHUKUZI APOKEA MAGARI MAWILI KUTOKA KAMPUNI YA TRANSAID YA NCHINI UINGEREZA KWA AJILI YA MAFUNZO KWA VITENDO KWA WANAFUNZI WANAOSOMA KOZI YA UDEREVA KATIKA CHUO CHA TAIFA CHA USARIFISHAJI (NIT)
10 years ago
MichuziMAKOCHA 35 KUSHIRIKI KOZI YA LESENI C YA CAF
Kozi hiyo itaendeshwa na Mkufunzi wa CAF, Sunday Kayuni na itafanyikia Mchikichini College ambapo washiriki wote wanatakiwa kuwasilisha vyeti vyao vya ukocha vya ngazi ya Kati (Intermediate) pamoja na vyeti vya kitaaluma vya elimu ya sekondari (academic).
Washiriki wa kozi hiyo ni Abdulmaliki Nemes (Airport FC), Ahmed Haule...
11 years ago
Tanzania Daima11 Jun
Kozi ya makocha leseni B yaanza Dar
MAKAMU wa Rais wa Shirikisho la Soka (TFF), Wallace Karia, jana alifungua kozi ya makocha wa soka ya Leseni B inayotambuliwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF). Uzinduzi wa kozi...
9 years ago
Dewji Blog14 Dec
Mazoezi ya vitendo wakati wa kuhitimisha mafunzo ya awali kwa wahitimu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji yaliyofanyika JKT Kimbiji
Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, wakiwa wamebeba mfano wa majeruhi wa ajali, mara baada ya kumuokoa kutoka eneo la tukio wakati wa maonyesho ya kufunga mafunzo ya kozi ya awali ya Sajini na Askari wa Jeshi hilo,yaliyofanyika Chuo cha Uongozi JKT Kimbiji,jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki.
Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, wakionyesha jinsi ya kuzima moto wakati wa maonyesho ya kufunga mafunzo ya kozi ya awali ya Sajini na Askari wa Jeshi hilo,yaliyofanyika Chuo cha...
9 years ago
Michuzi01 Oct
MALINZI AFUNGA KOZI YA WAAMUZI WA FIFA
9 years ago
MichuziMAZOEZI YA VITENDO WAKATI WA KUHITIMISHA MAFUNZO YA AWALI KWA WAHITIMU WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI YALIYOFANYIKA CHUO CHA UONGOZI JKT KIMBIJI
9 years ago
Mtanzania22 Dec
Pluijm atoa angalizo kwa wachezaji
NA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa timu ya Yanga, Hans Van der Pluijm, amesema kuwa hafikirii kama kikosi chake kitatoka kwenye nafasi tatu za juu katika msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, hivyo ametoa angalizo kwa kila mchezaji kuhakikisha anaendana na kasi yake.
Timu hiyo juzi ilifanikiwa kuongoza ligi, baada ya kushinda mabao 4-0 dhidi ya Stand United na kufanikiwa kufikisha jumla ya pointi 30.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Pluijm alisema tayari ameshapiga hesabu za mbali...
9 years ago
Michuzi17 Aug
WASHIRIKI WA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KWA WANAWAKE KUPITIA VIPODOZI WAHITIMU MAFUNZO
5 years ago
MichuziWAHITIMU WA VYUO VYA ELIMU YA JUU 3,200 WANUFAIKA NA MAFUNZO YA VITENDO SEHEMU ZA KAZI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na Waajiri na Vijana wanufaika wa Mafunzo ya Vitendo sehemu za Kazi “Internship Training” alipofanya ziara ya kutembelea na kukagua mafunzo wanayopatiwa vijana hao na waajiri, Mkoani Iringa.
Sehemu ya Vijana wanufaika wa Mafunzo ya Vitendo sehemu za Kazi “Internship Training” wakifuatilia hotuba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera,...