MALINZI AFUNGA KOZI YA WAAMUZI WA FIFA
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Jamal Malinzi leo amefunga kozi ya waamuzi chipukizi wasiokuwa na beji za FIFA katika hoteli ya Holiday, ambapo jumla ya waamuzi 30 kutoka nchi 28 barani Afrika walihudhuria.Akiongea wakati wa kufunga kozi hiyo Malinzi alitoa wito kwa wahitimu wajikite kwenye maadili kwa kuzingatia mafunzo waliyopata ili katika kipindi kifupi wote wapate beji za FIFA na waonekane kweye mashindano makubwa kama fainali za AFCON na mashindano ya Kombe la...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-MxTtU2TR6YM/VgFVyO8V6MI/AAAAAAABIT4/ZByST_qwwsM/s72-c/MALINZI.jpg)
MALINZI AFUNGA KOZI YA MAKOCHA LESENI C’ATOA ANGALIZO KWA WAHITIMU KUYATUMIA MAFUNZO KWA VITENDO
![](http://4.bp.blogspot.com/-MxTtU2TR6YM/VgFVyO8V6MI/AAAAAAABIT4/ZByST_qwwsM/s640/MALINZI.jpg)
RAIS wa Shirikisho la soka nchini (TFF), Jamal Malinzi, amefunga kozi ya wiki mbili ya makocha lesseni C inayotambuliwa na Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) na kuwataka wahitimu hao kufanyia kazi mafunzo waliyoyapata.
Akizungumza kwenye hafla fupi ya kufunga mafunzo hayo, Malinzi amesema kuwa anasikitika kuona makocha wanapata mafunzo kama hayo lakini wanaenda kuweka vyeti vyao ‘makabatini’ na kuacha kufanyia kazi walichojifunza.
“Hiki mlichokipata kwenye mafunzo haya mnatakiwa...
10 years ago
Habarileo31 Jul
Kozi ya waamuzi Ligi Kuu Agosti
KOZI ya waamuzi wa mpira wa miguu watakaochezesha mechi za Ligi Kuu na Ligi Daraja la Kwanza msimu wa mwaka 2015/2016, inatarajiwa kutafanyika Dar es Salaam kuanzia Agosti 21 -24.
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-H3NF3xBRIJc/VT4p6NzNs3I/AAAAAAAHTh8/rxMJG6cMa6s/s72-c/tff_LOGO1.jpg)
MALINZI AFUNGUA KOZI YA WAKUFUNZI
![](http://4.bp.blogspot.com/-H3NF3xBRIJc/VT4p6NzNs3I/AAAAAAAHTh8/rxMJG6cMa6s/s1600/tff_LOGO1.jpg)
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF, Jamal Malinzi leo amefungua kozi ya walimu wakufunzi wa mpira wa miguu chini inayofanyika katika uwanja wa Karume jijini Dar es salaam.
Malinzi amesema kozi hiyo ni muhimu kwa mustakabali wa soka la Tanzania, walimu wakufunzi watasaidia kuwafundisha walimu wengine wa mpira, ili kuweza kufundisha mpira kwa watoto wadogo ambao ndio hazina ya baadae.
Malengo ya TFF ni kuhakikisha timu ya vijana ya U17 inafuzu kwa fainali za Mataifa Afrika 2017...
10 years ago
Mwananchi30 Jan
Fifa watua kuchunguza waamuzi
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-7hCPgjHmbjg/VKu1U64mB7I/AAAAAAAG7ps/DtSzqdVM0xM/s72-c/MMGM0605.jpg)
Waamuzi 11 nchini wapata Beji za FIFA
![](http://4.bp.blogspot.com/-7hCPgjHmbjg/VKu1U64mB7I/AAAAAAAG7ps/DtSzqdVM0xM/s1600/MMGM0605.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-55Fx2NlJNAE/VKu1VvSbOuI/AAAAAAAG7pw/dHqtojnZfLA/s1600/MMGM0613.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima04 Jan
Waamuzi Tanzania watetea beji za FIFA
SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (FIFA), limewapa beji waamuzi 10 wa Tanzania kwa mwaka 2014. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Ofisa Habari wa Shirikisho la...
10 years ago
BBCSwahili22 Dec
Tanzania-waamuzi 11 kwenye orodha ya FIFA
10 years ago
Mwananchi28 Jun
Malinzi afunga rasmi mjadala