MALINZI AFUNGUA KOZI YA WAKUFUNZI
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF, Jamal Malinzi leo amefungua kozi ya walimu wakufunzi wa mpira wa miguu chini inayofanyika katika uwanja wa Karume jijini Dar es salaam.
Malinzi amesema kozi hiyo ni muhimu kwa mustakabali wa soka la Tanzania, walimu wakufunzi watasaidia kuwafundisha walimu wengine wa mpira, ili kuweza kufundisha mpira kwa watoto wadogo ambao ndio hazina ya baadae.
Malengo ya TFF ni kuhakikisha timu ya vijana ya U17 inafuzu kwa fainali za Mataifa Afrika 2017...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi01 Oct
MALINZI AFUNGA KOZI YA WAAMUZI WA FIFA
10 years ago
Dewji Blog19 May
Majaliwa afungua mafunzo ya haki za binadamu kwa walimu, wakaguzi na wakufunzi wa vyuo vya ualimu
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (OWM) – TAMISEMI (Elimu), Mhe. Kassim Majaliwa (MB) akifungua warsha ya mafunzo ya haki za binadamu kwa walimu wa shule za Sekondari, wakaguzi wa shule na wakufunzi wa vyuo vya ualimu katika hoteli ya Royal Village, mjini Dodoma jana. Mafunzo hayo yameandaliwa na Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) kwa ushirikiano na Wizara ya Elimu chini ya Mradi wa utekelezaji wa Mpango Kazi wa Kitaifa wa Haki za Binadamu na kufadhiliwa na UNDP....
9 years ago
VijimamboMALINZI AFUNGA KOZI YA MAKOCHA LESENI C’ATOA ANGALIZO KWA WAHITIMU KUYATUMIA MAFUNZO KWA VITENDO
RAIS wa Shirikisho la soka nchini (TFF), Jamal Malinzi, amefunga kozi ya wiki mbili ya makocha lesseni C inayotambuliwa na Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) na kuwataka wahitimu hao kufanyia kazi mafunzo waliyoyapata.
Akizungumza kwenye hafla fupi ya kufunga mafunzo hayo, Malinzi amesema kuwa anasikitika kuona makocha wanapata mafunzo kama hayo lakini wanaenda kuweka vyeti vyao ‘makabatini’ na kuacha kufanyia kazi walichojifunza.
“Hiki mlichokipata kwenye mafunzo haya mnatakiwa...
10 years ago
Mwananchi14 Sep
Jenerali Mwamunyange awafunda wakufunzi
11 years ago
Habarileo26 Jan
Dk Mukangara ataka wakufunzi kusaidia wajasiriamali vijijini
WAZIRI wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk Fenella Mukangara amewataka wakufunzi wa wajasiriamali nchini kuhakikisha wanawasaidia wajasiriamali hasa wale walioko katika maeneo ya vijijini.
10 years ago
MichuziZAIDI YA WAKUFUNZI (30) MKOANI MBEYA WASHIRIKI KATIKA SEMINA YA M-PAWA