Majaliwa afungua mafunzo ya haki za binadamu kwa walimu, wakaguzi na wakufunzi wa vyuo vya ualimu
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (OWM) – TAMISEMI (Elimu), Mhe. Kassim Majaliwa (MB) akifungua warsha ya mafunzo ya haki za binadamu kwa walimu wa shule za Sekondari, wakaguzi wa shule na wakufunzi wa vyuo vya ualimu katika hoteli ya Royal Village, mjini Dodoma jana. Mafunzo hayo yameandaliwa na Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) kwa ushirikiano na Wizara ya Elimu chini ya Mradi wa utekelezaji wa Mpango Kazi wa Kitaifa wa Haki za Binadamu na kufadhiliwa na UNDP....
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziUNESCO WATOA MAFUNZO YA TEHAMA KWA WALIMU WA VYUO VYA UALIMU
Na Geofrey Adroph, Pamoja blog
UNESCO imeaandaa mafunzo ya uboreshaji wa elimu kwa walimu hususani katika somo la Tehama kwa vyuo mbalimbali vya hapa nchini vinavyotoa elimu ya ualimu. Mafunzo hayo yaliyoandaliwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Tanzania yamefanyika katika chuo cha Dar es Salaam Institute of...
10 years ago
Dewji Blog19 May
UNESCO watoa mafunzo ya Tehama kwa walimu wa vyuo vya ualimu nchini
Head of India Tanzania Center of Excellence in ICT (DIT), Dr. Amos Nungu akiwakaribisha wafanyakazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO), wakufunzi pamoja na walimu waliofika kwenye mafunzo ya elimu kwa njia ya mtandao.(Picha zote na Geofrey Adroph wa pamoja blog).
Afisa mipango kutoka UNESCO, Bi Faith Shayo akimkaribisha Ofisa anayeshughulikia na masuala ya Elimu Kitaifa wa UNESCO, Tumsifu Mmari (wa kwanza kutoka kushoto) wakati wa ufunguzi wa...
10 years ago
VijimamboUNESCO WATOA MAFUNZO YA TEHAMA KWA WALIMU WA VYUO VYA UALIMU HAPA NCHINI
11 years ago
MichuziKatibu Mkuu Elimu afungua Mafunzo Kazini kwa Walimu, atembelea shule na vyuo mkoani Mwanza
11 years ago
MichuziIGP AFUNGUA MAFUNZO YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA
10 years ago
Dewji Blog11 Nov
Naibu Mwanasheria wa Serikali afungua mafunzo ya haki za binadamu Kunduchi
Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. George Masaju akitoa hotuba yake kufungua rasmi warsha ya siku tano ya mafunzo ya haki za binadamu kwa maafisa kutoka Taasisi 11 za kitaifa za haki za binadamu za nchi za Afrika Kunduchi Beach Resort mapema jana.
Baadhi ya washiriki wa warsha ya siku tano ya mafunzo kuhusu masuala ya haki za binadamu wakifuatilia hotuba ya Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. George Masaju (hayupo pichani) iliyotolewa jana Kunduchi Beach Resort. Mafunzo hayo...
10 years ago
Michuzi24 Mar
10 years ago
MichuziNaibu Mwanasheria wa Serikali afungua mafunzo ya haki za binadamu Kunduchi leo
5 years ago
CCM BlogMAFUNZO YA MWONGOZO WA KUKINGA NA KUDHIBITI MAAMBUKIZI KWA WALIMU WA VYUO VYA AFYA TANZANIA YAFANYIKA DAR ES SALAAM.
Mratibu wa mafunzo Bi. Laura Marandu (kulia) kutoka Kitengo cha Uhakiki Ubora wa Huduma za Afya akizungumza jambo na Walimu wa Vyuo vya Afya katika Ukumbi wa CEEMI, NIMR Mkoani Dar es Salaam.
Walimu wa Vyuo...