Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UNESCO watoa mafunzo ya Tehama kwa walimu wa vyuo vya ualimu nchini

DSC_0449

Head of India Tanzania Center of Excellence in ICT (DIT), Dr. Amos Nungu akiwakaribisha wafanyakazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO), wakufunzi pamoja na walimu waliofika kwenye mafunzo ya elimu  kwa njia ya mtandao.(Picha zote na Geofrey Adroph wa pamoja blog).

Afisa mipango kutoka UNESCO, Bi Faith Shayo akimkaribisha Ofisa anayeshughulikia na masuala ya Elimu Kitaifa wa UNESCO, Tumsifu Mmari (wa kwanza kutoka kushoto) wakati wa ufunguzi wa...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

UNESCO WATOA MAFUNZO YA TEHAMA KWA WALIMU WA VYUO VYA UALIMU HAPA NCHINI

 Head of India Tanzania Center of Excellence in ICT (DIT), Dr. Amos Nungu akiwakaribisha wafanyakazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO), wakufunzi pamoja na walimu waliofika kwenye mafunzo ya elimu kwa njia ya mtandao.(Picha zote na Geofrey Adroph wa pamoja blog). Afisa mipango kutoka UNESCO, Bi Faith Shayo akimkaribisha Ofisa anayeshughulikia na masuala ya Elimu Kitaifa wa UNESCO, Tumsifu Mmari (wa kwanza kutoka kushoto) wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya...

 

10 years ago

Michuzi

UNESCO WATOA MAFUNZO YA TEHAMA KWA WALIMU WA VYUO VYA UALIMU

Godfrey Haongo mkufunzi kutoka Open University nchini Tanzania akitoa elimu ya njia ya mtandao.  Baadhi ya walimu wanaoshiriki mafunzo hayo.
Na Geofrey Adroph, Pamoja blog
UNESCO imeaandaa mafunzo ya uboreshaji wa elimu kwa walimu hususani katika somo la Tehama kwa vyuo mbalimbali vya hapa nchini vinavyotoa elimu ya ualimu. Mafunzo hayo yaliyoandaliwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Tanzania yamefanyika  katika chuo cha Dar es Salaam Institute of...

 

10 years ago

Dewji Blog

Majaliwa afungua mafunzo ya haki za binadamu kwa walimu, wakaguzi na wakufunzi wa vyuo vya ualimu

DSC_0838

Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (OWM) – TAMISEMI (Elimu), Mhe. Kassim Majaliwa (MB) akifungua warsha ya mafunzo ya haki za binadamu kwa walimu wa shule za Sekondari, wakaguzi wa shule na wakufunzi wa vyuo vya ualimu katika hoteli ya Royal Village, mjini Dodoma jana. Mafunzo hayo yameandaliwa na Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) kwa ushirikiano na Wizara ya Elimu chini ya Mradi wa utekelezaji wa Mpango Kazi wa Kitaifa wa Haki za Binadamu na kufadhiliwa na UNDP....

 

10 years ago

Dewji Blog

UNESCO, Serikali watia saini mradi wa mafunzo ya Tehama kwa walimu

DSC_0023

Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Tanzania, Bi. Zulmira Rodrigues (wa pili kulia), Balozi wa China nchini, Mh. LU Youqing  (kushoto), Afisa utawala na fedha wa UNESCO, Spencer Bokosha (kulia), Ofisa anayeshughulikia masuala ya Elimu Kitaifa wa UNESCO, Tumsifu Mmar pamoja na mkalimani wa Balozi wa China wakifurahi jambo wakati Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Sifuni Mchome (hayupo pichani) akiwasili kwenye...

 

9 years ago

Dewji Blog

UNESCO wakabidhi kitabu cha mafunzo ya Tehama kwa Serikali nchini

IMG_8554

Mkuu wa Ofisi  na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO), Zulmira Rodrigues (kulia) akitoa neno la ukaribisho kwa wadau wa sekta ya elimu wakati wa hafla ya kukabidhi kitabu cha mafunzo ya Tehama kwa wakufunzi  wa vyuo vya ualimu nchini kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi. Katikati ni mgeni rasmi Kamishina wa Elimu, Profesa Eustella Bhalalusesa aliyemwakilisha Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Prof. Sifuni Mchome....

 

5 years ago

CCM Blog

MAFUNZO YA MWONGOZO WA KUKINGA NA KUDHIBITI MAAMBUKIZI KWA WALIMU WA VYUO VYA AFYA TANZANIA YAFANYIKA DAR ES SALAAM.

Mwezeshaji Hospitali ya Taifa Muhimbili Nicodem Komba (kulia) akizungumza jambo na Walimu wa Vyuo vya Afya wakati wa Mafunzo ya Mwongozo wa Kukinga na Kudhibiti Maambukizi katika Vituo vya kutolea Huduma za Afya tarehe17-22 Februari 2020 katika Ukumbi wa CEEMI, NIMR Mkoani Dar es Salaam.







Mratibu wa mafunzo Bi. Laura Marandu (kulia) kutoka Kitengo cha Uhakiki Ubora wa Huduma za Afya akizungumza jambo na  Walimu wa Vyuo vya Afya katika Ukumbi wa CEEMI, NIMR Mkoani Dar es Salaam. 








Walimu wa Vyuo...

 

9 years ago

Mwananchi

Tehama kwa walimu nchini haikwepeki

Mapinduzi ya teknolojia yamebadilisha mambo mengi. Yamebadili mwenendo wa maisha, utendaji wa kazi, shughuli za kijamii, siasa, uchumi na hata elimu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani