UNESCO wakabidhi kitabu cha mafunzo ya Tehama kwa Serikali nchini
Mkuu wa Ofisi na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO), Zulmira Rodrigues (kulia) akitoa neno la ukaribisho kwa wadau wa sekta ya elimu wakati wa hafla ya kukabidhi kitabu cha mafunzo ya Tehama kwa wakufunzi wa vyuo vya ualimu nchini kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi. Katikati ni mgeni rasmi Kamishina wa Elimu, Profesa Eustella Bhalalusesa aliyemwakilisha Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Prof. Sifuni Mchome....
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog08 May
UNESCO, Serikali watia saini mradi wa mafunzo ya Tehama kwa walimu
Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Tanzania, Bi. Zulmira Rodrigues (wa pili kulia), Balozi wa China nchini, Mh. LU Youqing (kushoto), Afisa utawala na fedha wa UNESCO, Spencer Bokosha (kulia), Ofisa anayeshughulikia masuala ya Elimu Kitaifa wa UNESCO, Tumsifu Mmar pamoja na mkalimani wa Balozi wa China wakifurahi jambo wakati Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Sifuni Mchome (hayupo pichani) akiwasili kwenye...
10 years ago
Dewji Blog19 May
UNESCO watoa mafunzo ya Tehama kwa walimu wa vyuo vya ualimu nchini
Head of India Tanzania Center of Excellence in ICT (DIT), Dr. Amos Nungu akiwakaribisha wafanyakazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO), wakufunzi pamoja na walimu waliofika kwenye mafunzo ya elimu kwa njia ya mtandao.(Picha zote na Geofrey Adroph wa pamoja blog).
Afisa mipango kutoka UNESCO, Bi Faith Shayo akimkaribisha Ofisa anayeshughulikia na masuala ya Elimu Kitaifa wa UNESCO, Tumsifu Mmari (wa kwanza kutoka kushoto) wakati wa ufunguzi wa...
10 years ago
VijimamboUNESCO WATOA MAFUNZO YA TEHAMA KWA WALIMU WA VYUO VYA UALIMU HAPA NCHINI
10 years ago
MichuziUNESCO WATOA MAFUNZO YA TEHAMA KWA WALIMU WA VYUO VYA UALIMU
Na Geofrey Adroph, Pamoja blog
UNESCO imeaandaa mafunzo ya uboreshaji wa elimu kwa walimu hususani katika somo la Tehama kwa vyuo mbalimbali vya hapa nchini vinavyotoa elimu ya ualimu. Mafunzo hayo yaliyoandaliwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Tanzania yamefanyika katika chuo cha Dar es Salaam Institute of...
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/05/DSC_0107.jpg)
UNESCO YAENDESHA MAFUNZO YA TEHAMA KUHUSU MABADILIKO YA RADIO JAMII
9 years ago
BBCSwahili21 Aug
Kitabu cha mafunzo ya ngono kwa watoto UG
11 years ago
MichuziUbalozi wa Marekani wakabidhi mtambo wa mfumo wa mawasiliano wa masafa marefu kwa jeshi la Polisi kikosi cha maji nchini
11 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA WIZARA YA UCHUKUZI APOKEA MAGARI MAWILI KUTOKA KAMPUNI YA TRANSAID YA NCHINI UINGEREZA KWA AJILI YA MAFUNZO KWA VITENDO KWA WANAFUNZI WANAOSOMA KOZI YA UDEREVA KATIKA CHUO CHA TAIFA CHA USARIFISHAJI (NIT)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-MccjbN273aw/XvLvDdZm1dI/AAAAAAALvKk/02JlaBLCMXgiGiaUuDwMmeokdAzhljkAACLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-23%2Bat%2B10.58.31%2BPM.jpeg)
KITABU CHA NIMEJITAKIA CHA MOHAMMED HAMMIE CHAZINDULIWA RASMI NCHINI
Akizungumza nasi mwandishi wa kitabu hicho Bwana Mohammed amesema kuwa tayari riwaya hiyo imeshaanza kusambazwa katika baadhi ya maeneo hapa nchini ambapo kwa mkoa wa Dar es salaam kinapatika katika duka la TPH Bookshop lililopo posta, duka la kona ya riwaya lililopo Moroko, pamoja...