Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ubalozi wa Marekani wakabidhi mtambo wa mfumo wa mawasiliano wa masafa marefu kwa jeshi la Polisi kikosi cha maji nchini

Mkuu wa Ushirikiano wa Usalama kwa Ubalozi wa Marekani Tanzania, Lt.Kevin Balisky akisoma risala mbele ya mgeni rasmi Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Pereira Silima wakati wa halfa ya kukabidhi mtambo wa mfumo wa mawasiliano wa masafa marefu kwa jeshi la maji, masaada huo umetolewa na Serikali ya Marekani kupitia mradi wa AFRICO,leo jijini Dar es salaam. Naibu Waziri wa Mambo ya ndani Pereira Silima, ambaye alikuwa mgeni rasmi katika halfa ya kukabidhi mtambo wa mfumo wa mawasiliano wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI-KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI NA VODACOM WAENDESHA ZOEZI LA UTOAJI ELIMU NA UPIMAJI WA VILEVI MWILINI KWA MADEREVA

 Afisa wa Jeshi la Polisi – Kikosi cha Usalama Barabarani akimpima kiwango cha pombe mwilini dereva wa basi la kwenda mikoani, Steven Mwakibolo kwa kutumia kifaa maalum wakati wa upimaji madereva ikiwa ni sehemu ya mwendelezo wa kampeni ya Usalama Barabarani  inayodhaminiwa na Vodacom Tanzania. Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Umma wa kampuni hiyo Rosalynn Mworia, akifuatilia kwa karibu zoezi hilo lililofanyika leo katika kituo cha mabasi yaendayo mikoani cha Ubungo...

 

9 years ago

Michuzi

UBORESHAJI WA USALAMA BARABARANI KWA USAFIRISHAJI WA MASAFA MAREFU

 Fuso ikipita Njiani kwenye Maonyesho ya "NDIO Fuso ni Faida" jijini Dar, Maonyesho hayo yanatarijiwa kupita kwenye Mikoa kama Tanga – Moshi- Arusha- Mwanza –Shinyanga -Kahama- Dodoma – Iringa – Mbeya  na Songea ambapo shughuli mbali mbali za uchimbaji wa madini, kilimo, ujenzi na usafirishaji wa mizigo zinafanyika Wadau wa Usafirashaji wakiwa katika Maonyesho ya 'Fuso ni faida' jijini Dar Wadau wakipata maelekezo ya Huduma ya 'Ndiyo Fuso ni Faida'
Na Mwandishi Wetu,Mtandao wa miundombinu...

 

10 years ago

GPL

JESHI LA POLISI-KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI NA VODACOM WAENDESHA ZOEZI LA UTOAJI ELIMU NA UPIMAJI WA VILEVI MWILINI KWA MADEREVA‏

Afisa wa Jeshi la Polisi – Kikosi cha Usalama Barabarani akimpima kiwango cha pombe mwilini dereva wa basi la kwenda mikoani, Steven Mwakibolo kwa kutumia kifaa maalum wakati wa upimaji madereva ikiwa ni sehemu ya mwendelezo wa kampeni ya Usalama Barabarani  inayodhaminiwa na Vodacom Tanzania. Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Umma wa kampuni hiyo Rosalynn Mworia, akifuatilia kwa karibu zoezi hilo...

 

10 years ago

Vijimambo

TBL YAFANIKISHA UPIMAJI AFYA ZA MADEREVA WA MASAFA MAREFU WIKI YA NENDA KWA USALAMA BARABARANI

 Mganga kutoka kitengo cha afya makao makuu ya jeshi la polisi Tanzania, Dk Issa Ndimila akimchukua damu dereva wa magari makubwa, Benedicti Samuel kwa ajili ya kumpima magonjwa katika uzinduzi wa upimaji wa afya kwa madereva wa mabasi na malori ya masafa marefu ikiwa sehemu ya maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani katika kituo cha mizani cha Mikese mkoa wa Morogoro mpango ulioanzishwa na TBL na jeshi la polisi nchini. Mganga kutoka kitengo cha afya makao makuu ya jeshi la...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Kikosi cha timu ya Zanzibar Star Diaspora Nchini Marekani

ZANZIBAR STARS YAINGIA MASHINDANO YA KOMBE LA EAST AFRIKA DIASPORA DMV Thursday, September 3, 2015 Kwamara nyengine tena timu ya Zanzibar Stars Diaspora Nchini Marekani, imejianda rasmi katika mashindano ya Mpira wa Miguu Diaspora Afrika Mashariki […]

The post Kikosi cha timu ya Zanzibar Star Diaspora Nchini Marekani appeared first on Mzalendo.net.

 

11 years ago

Michuzi

Taarifa Kwa Wahitimu Wa Kidato cha Sita 2014 ya Kujiunga na Jeshi la Polisi Nchini

Katika mwaka wa fedha 2014/2015 Jeshi la Polisi linatarajia kuajiri wahitimu wa kidato cha sita mwaka 2014 na kidato cha nne mwaka 2013. Ili kutekeleza azma hii tumeweka fomu kwenye tovuti ambayo wahitimu watarajiwa wa kidato cha sita wa mwaka 2014 watajaza kabla ya kufanya mitihani yao ya kumaliza kidato cha sita.

Baada ya kujazwa kikamilifu wakabidhi fomu kwa wakuu wa shule ambao watazirejeshe kwa Makamada wa Polisi wa mikoa kabla ya tarehe 17.03.2014. Wahitimu wa kidato cha nne...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nyumbu huhama masafa marefu

NYUMBU ni mmoja wa wanyama wakubwa wanaopatikana kwa wingi barani Afrika, hasa katika eneo la Afrika Mashariki. Wanapatikana kwa wingi katika eneo la Afrika Mashariki kiasi kwamba katika mbuga kama...

 

9 years ago

Raia Mwema

Makombora ya masafa marefu yataondoa ufisadi

VITA inayopiganwa sasa dhidi ya ufisadi ni muhimu sana na imeleta tija kubwa.

Njonjo Mfaume

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nyumbu bingwa wa kuhama masafa marefu — (3)

WIKI iliyopita tuliona kuwa mmoja wa wanyama wanaofuatilia kwa karibu msafara wa nyumbu wanapohama ni tai. Ndege huyu mwenye macho makali hufuatilia msafara wa nyumbu kutoka angani. Sababu kubwa ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani