Dk Mukangara ataka wakufunzi kusaidia wajasiriamali vijijini
WAZIRI wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk Fenella Mukangara amewataka wakufunzi wa wajasiriamali nchini kuhakikisha wanawasaidia wajasiriamali hasa wale walioko katika maeneo ya vijijini.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo08 Jan
Waziri Mukangara ataka BAKITA kupunguza upotoshaji Kiswahili
WAZIRI wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk Fenella Mukangara ametaka Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA), kushirikiana na vyombo vya habari kutoa elimu ya matumizi sahihi ya Kiswahili sanifu kupunguza upotoshaji.
11 years ago
Habarileo13 May
TIC kuendelea kusaidia wajasiriamali
KITUO cha Uwekezaji (TIC) kitaendelea kusaidia wajasiriamali wadogo, kujenga uwezo katika biashara zao, ili wakue na kukuza uchumi wao na wa nchi kwa ujumla.
11 years ago
Habarileo06 Feb
Canada yaombwa kusaidia umeme vijijini
SERIKALI imeiomba Canada kusaidia upatikanaji wa dola za Marekani milioni 300 (sawa na Sh bilioni 480) kwa ajili ya miradi ya kupeleka umeme vijijini.
11 years ago
Tanzania Daima30 Jan
FSDT yahamasisha ushiriki shindano kusaidia wajasiriamali
WADAU wa sekta ya fedha na wabunifu nchini wametakiwa kuchangamkia awamu ya tatu ya shindano la mfuko wa ubunifu wa bidhaa za kifedha unaolenga kusaidia wajasiriamali wadogo na wa kati....
11 years ago
Dewji Blog11 Jul
Asasi za fedha Singida zaagizwa kusaidia Wajasiriamali
Kaimu Meneja wa Benki ya CRDB mkoa wa Singida, Isaya Kimario, akitoa nasaha zake kwenye hafla ya ufungaji wa mafunzo yaliyohudhuriwa na wajasiriamali 50 kutoka wilaya ya Iramba na Singida. Wa pili kulia, ni mkuu wa wilaya ya Singida,Queen Mlozi na wa kwanza kushoto ni Meneja Mahusiano kitengo cha Wajasiriamali Makao Makuu CRDB Dar-es-salaam, Godfrey Ng’urah.
Na Nathaniel Limu, Singida
SERIKALI wilaya ya Singida, imeziagiza asasi za kifedha zikiwemo benki zinazojishughulisha na huduma ya...
10 years ago
VijimamboCONVENANT BANK NA AAR KUANZISHA AKAUNTI YA BIMA YA AFYA KUSAIDIA WAJASIRIAMALI
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-Vqpbaa1erU0/Vf7WbPVTRrI/AAAAAAAH6Vg/xJ0FvaloqdE/s72-c/unnamed%2B%252847%2529.jpg)
Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM jimbo la Kibamba Dkt Fenella Mukangara Mukangara achanja mbuga
![](http://1.bp.blogspot.com/-Vqpbaa1erU0/Vf7WbPVTRrI/AAAAAAAH6Vg/xJ0FvaloqdE/s640/unnamed%2B%252847%2529.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-GYHWCn7n0G8/Vf7WavXd4nI/AAAAAAAH6VY/ZZ43ipJG7b4/s640/unnamed%2B%252848%2529.jpg)
10 years ago
Dewji Blog24 Sep
Meya ataka wasio na shughuli mijini kurejea vijijini
Mstahiki Meya wa Nanispaa ya Singida, Sheikh Salum Mohammed Mahami ,akizungumza kwenya hafla ya uzinduzi wa shirika la TUSIFO. Hafla hiyo imefanykia katika shule ya msingi Kibaoni na Sheikh Mahami, alitumia fursa hiyo kuwasihi wakazi ambao hawana shughuli za kufanya mjini,warejee/waende vijijini kwa madai kuwa kwa sasa mazingira ya mjini, sio rafiki kwao tena. Kushoto ni mkurugenzi wa shirika la TUSIFO, Costantino Charles.
Na Nathaniel Limu, Singida
MSTAHIKI meya wa manispaa ya Singida,...
11 years ago
Habarileo09 Aug
Ataka wataalamu wa kilimo kusaidia wananchi
KATIBU Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue amewataka wataalamu wa kilimo katika halmashauri kuwa karibu na wananchi ili kuwasaidia kuboresha kilimo na mifugo yao.