Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CONVENANT BANK NA AAR KUANZISHA AKAUNTI YA BIMA YA AFYA KUSAIDIA WAJASIRIAMALI

Benki ya wanawake ijulikanayo kama Convenant Bank pamoja na Kampuni ya bima ya AAR washirikiana katika kuanzisha akaunti ya bima ya matibabu kwa wajasiriamali walioko nchini Mkutano kati ya Convenant Bank, AAR Insurance na wajasiriamali ulifanyika mwishoni mwa wiki ilopita,uliohusika na kuwaelewesha wajasiriamali kuhusu akaunti hiyo na umuhimu wa bima ya afya kwenye maisha yao ya kila siku.Akiongea na wajasiriamali Mkurugenzi wa Convenant Bank Bibi Sabeth Mwambenja alisema,“Akaunti hii ya...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Covenant Bank, AAR wazindua Bima ya Matibabu ya Tsh. 1000 kwa siku

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Covenant Bank, Balozi Salome Sijaona (Katikati) akikabidhi kadi ya Bima ya Matibabu kwa Zaituni Zoro, ambae ni miongoni mwa wateja wa kwanza wa Huduma mpya ya Bima ya Matibabu ambayo zinawawezesha wateja wa Benki hiyo kupata Bima ya Matibahu kwa Shilingi 1000 kwa siku na kuweza kutibiwa hospitali Binafsi na za serikali pamoja na kununua dawa. Wanaoshuhudia (Kulia) ni Mkurugenzi Mtendaji wa Covenant Bank, Sabetha Mwambenja na Meneja Uendeshaji wa AAR....

 

10 years ago

Michuzi

WAJASIRIAMALI TOKA VIKUNDI MBALIMBALI WAHAMASISHWA KUJIUNGA NA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA (NHIF)

Na Bakari Issa,Dar es Salaaam
Wajasiriamali toka vikundi mbalimbali wamehamasishwa kujiunga na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) ili kurahisisha matibabu wawapo katika shughuli zao za kawaida,leo katika ukumbi wa Msimbazi Centre jijini Dar es Salaam.
Katika Mpango mpya uliozinduliwa na Mfuko huo ujulikanao kama Mpango wa Kikoa(MATUAL PLAN),Wajasiriamali watakaojiunga na mfuko huo na kuwa wanachama watalipia shilingi 76,800 kwa mwaka ili kupata matibabu kupitia mfuko huo. ...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya watoa elimu kwa viongozi wa SACCOS za wajasiriamali mansipaa ya Ilala

001

Mkurugenzi wa CHF Bima ya Afya, Bw.Rehan Athumani (katikati) akifungua semina ya siku tatu Januari 21, 2015 jijini Dar es Salaam ya viongozi wa SACCOS za wajasiriamali zilizopo Mansipaa ya Ilala iliyoandaliwa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) lengo la semina hiyo kuwapa elimu viongozi hao kuhusu Mfuko Taifa wa Bima ya Afya ili wapeleke ujumbe kwa wanachama wa SACCOS waweze kujiunga na mfuko huo (kushoto) Afisa Ushirika Mansipaa ya Ilala, Ladislaus Mwamanswao (kulia) Meneja wa CHF...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya NHIF yaendelea kutoa mafunzo kwa wajasiriamali wasio katika sekta rasmi

1

Meneja wa Bima ya Afya NHIF Wilaya ya Temeke, Bi Ellentruder Mbogoro (kushoto), akifafanua machache kabla ya kumkaribisha mgeni rasimi Mkurugenzi wa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF), Bw. Rehani Athumani kufungua mafunzo ya siku moja ya viongozi wa SACCOS Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam Februari 17,2015 lengo la mafunzo hayo ni kuwapa elimu kuhusiana na mpango wa NHIF wa KIKOA unaotolewa Bima ya Afya waweze kujiunga na Mfuko huo ili wapate uhakika wa matibabu kupitia mfuko wa bima ya afya...

 

11 years ago

Mwananchi

Wajasiriamali watakiwa kufungua akaunti ACB

Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Benki ya ACB, Fredrick Archard, ametoa wito kwa wajasiriamali nchini kufungua akaunti katika benki hiyo ili waweze kukuza biashara zao haraka.

 

11 years ago

Michuzi

Waziri wa Afya atembelea Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya jijini Dar

Kaimu Mkurugezi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, Hamis Mdee akimkabidhi Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,Dkt. Seif Rashid nakala ya Taarifa ya Utekelezaji wa Mfuko huo,wakati wa ziara ya Waziri kwenye Ofisi za Mfuko huo,jijini Dar es Salaam. Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,Dkt. Seif Rashid akizungumza na watumishi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (hawapo pichani) wakati alipotembelea Ofisi za Mfuko huo,jijini Dar es Salaam. Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,Dkt. Seif Rashid...

 

11 years ago

Mwananchi

AFYA: Hofu yatanda Mfuko Bima ya Afya

>Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya nchini (NHIF) huenda usifikie lengo lake la kuwahudumia wananchi kwa asilimia 30 ifikapo mwakani, kutokana na sababu mbalimbali ikiwamo ya Jiji la Dar es Salaam kushindwa kuhamasisha wananchi wake kujiunga.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani