WAJASIRIAMALI TOKA VIKUNDI MBALIMBALI WAHAMASISHWA KUJIUNGA NA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA (NHIF)
Na Bakari Issa,Dar es Salaaam
Wajasiriamali toka vikundi mbalimbali wamehamasishwa kujiunga na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) ili kurahisisha matibabu wawapo katika shughuli zao za kawaida,leo katika ukumbi wa Msimbazi Centre jijini Dar es Salaam.
Katika Mpango mpya uliozinduliwa na Mfuko huo ujulikanao kama Mpango wa Kikoa(MATUAL PLAN),Wajasiriamali watakaojiunga na mfuko huo na kuwa wanachama watalipia shilingi 76,800 kwa mwaka ili kupata matibabu kupitia mfuko huo. ...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziWANAMICHEZO WAHAMASISHWA KUJIUNGA NA MFUKO WA BIMA YA AFYA
10 years ago
Dewji Blog17 Feb
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya NHIF yaendelea kutoa mafunzo kwa wajasiriamali wasio katika sekta rasmi
Meneja wa Bima ya Afya NHIF Wilaya ya Temeke, Bi Ellentruder Mbogoro (kushoto), akifafanua machache kabla ya kumkaribisha mgeni rasimi Mkurugenzi wa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF), Bw. Rehani Athumani kufungua mafunzo ya siku moja ya viongozi wa SACCOS Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam Februari 17,2015 lengo la mafunzo hayo ni kuwapa elimu kuhusiana na mpango wa NHIF wa KIKOA unaotolewa Bima ya Afya waweze kujiunga na Mfuko huo ili wapate uhakika wa matibabu kupitia mfuko wa bima ya afya...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-EcKodtFMZt0/VR0s8h36m-I/AAAAAAAAGw0/wY957-ymuIg/s72-c/P4029026.jpg)
WADAU WA VITUO VYA KUTOLEA HUDUMA ZA MATIBABU MKOANI RUKWA WAPEWA ELIMU YA UTARATIBU WA MIKOPO MBALIMBALI INAYOTOLEWA NA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA (NHIF)
![](http://1.bp.blogspot.com/-EcKodtFMZt0/VR0s8h36m-I/AAAAAAAAGw0/wY957-ymuIg/s1600/P4029026.jpg)
9 years ago
MichuziWAFANYABIASHARA KIGOMA WATAKIWA KUJIUNGA NA MFUKO WA BIMA YA AFYA (NHIF).
5 years ago
MichuziMFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA KUHAMASISHA WAFANYABIASHARA NDOGONDOGO NCHINI KUJIUNGA KIFURUSHI CHA MACHINGA AFYA KWA SH.100,000
MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya Nchini (NHIF) umeanzisha kifurushi cha 'Machinga Afya' kwa ajili ya wafanyabiashara ndogondogo maarufu kwa jina la Wamachinga ambacho gharama yake ni Sh.100,000 tu.
Kwa mujibu wa NHIF ni kifurushi hicho baada mwanachama kujiunga na kulipa fedha hizo atapata huduma ya matibabu ya afya nchi nzima na katika vituo vya afya zaidi ya 7,700.
Akizungumzia leo Juni 9,2020 jijini Dar es Salaam Meneja Masoko na Huduma kwa Wateja NHIF Hipoliti...
9 years ago
Dewji Blog19 Dec
Mfuko wa taifa wa bima ya afya (NHIF) wazindua huduma za madaktari bingwa mkoani Singida!!
10 years ago
Dewji Blog22 Jan
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya watoa elimu kwa viongozi wa SACCOS za wajasiriamali mansipaa ya Ilala
Mkurugenzi wa CHF Bima ya Afya, Bw.Rehan Athumani (katikati) akifungua semina ya siku tatu Januari 21, 2015 jijini Dar es Salaam ya viongozi wa SACCOS za wajasiriamali zilizopo Mansipaa ya Ilala iliyoandaliwa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) lengo la semina hiyo kuwapa elimu viongozi hao kuhusu Mfuko Taifa wa Bima ya Afya ili wapeleke ujumbe kwa wanachama wa SACCOS waweze kujiunga na mfuko huo (kushoto) Afisa Ushirika Mansipaa ya Ilala, Ladislaus Mwamanswao (kulia) Meneja wa CHF...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-ZI0EssbtJsI/Vg1OlDxpo1I/AAAAAAAH8LU/Og131zR8ENc/s72-c/unnamed%2B%252838%2529.jpg)
MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA (NHIF) WASANI MKATABA NA TFF LEO JIJINI DAR ES SALAAM
10 years ago
MichuziMAMIA WAFURIKA BANDA LA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA (NHIF), KUPIMA AFYA ZAO KATIKA MAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR