MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA (NHIF) WASANI MKATABA NA TFF LEO JIJINI DAR ES SALAAM
![](http://3.bp.blogspot.com/-ZI0EssbtJsI/Vg1OlDxpo1I/AAAAAAAH8LU/Og131zR8ENc/s72-c/unnamed%2B%252838%2529.jpg)
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya leo umesaini mkataba na Shirikisho la Vyama vya Mpira wa Miguu nchini (TFF) wa kuwa mdhamini rasmi wa bima za afya kwa vilabu vya ligi kuu ya Vodacom nchini. Akizungumza wakati wa kutia saini mkataba huo Mwakilishi wa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Bwana Rehani Athumani, amesema katika udhamini huo utakaodumu kwa mwaka mmoja NHIF itakuwa inatoa huduma za matibabu kwa wachezaji na benchi la ufundi kwa klabu zote 16 za ligi kuu, huduma...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziMFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA WAMESAINI MKATABA NA PSPF LEO JIJINI DAR ES SALAAM
10 years ago
VijimamboMAMIA WAFURIKA BANDA LA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA (NHIF), KUPIMA AFYA ZAO KATIKA MAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR ES SALAAM
10 years ago
MichuziMAMIA WAFURIKA BANDA LA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA (NHIF), KUPIMA AFYA ZAO KATIKA MAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR
9 years ago
MichuziNHIF YAKABIDHI KADI ZA BIMA YA AFYA KWA WAVUVI LEO JIJINI DAR ES SALAAM
11 years ago
MichuziWaziri wa Afya atembelea Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya jijini Dar
10 years ago
MichuziWAJASIRIAMALI TOKA VIKUNDI MBALIMBALI WAHAMASISHWA KUJIUNGA NA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA (NHIF)
Wajasiriamali toka vikundi mbalimbali wamehamasishwa kujiunga na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) ili kurahisisha matibabu wawapo katika shughuli zao za kawaida,leo katika ukumbi wa Msimbazi Centre jijini Dar es Salaam.
Katika Mpango mpya uliozinduliwa na Mfuko huo ujulikanao kama Mpango wa Kikoa(MATUAL PLAN),Wajasiriamali watakaojiunga na mfuko huo na kuwa wanachama watalipia shilingi 76,800 kwa mwaka ili kupata matibabu kupitia mfuko huo. ...
9 years ago
Dewji Blog19 Dec
Mfuko wa taifa wa bima ya afya (NHIF) wazindua huduma za madaktari bingwa mkoani Singida!!
10 years ago
Dewji Blog17 Feb
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya NHIF yaendelea kutoa mafunzo kwa wajasiriamali wasio katika sekta rasmi
Meneja wa Bima ya Afya NHIF Wilaya ya Temeke, Bi Ellentruder Mbogoro (kushoto), akifafanua machache kabla ya kumkaribisha mgeni rasimi Mkurugenzi wa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF), Bw. Rehani Athumani kufungua mafunzo ya siku moja ya viongozi wa SACCOS Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam Februari 17,2015 lengo la mafunzo hayo ni kuwapa elimu kuhusiana na mpango wa NHIF wa KIKOA unaotolewa Bima ya Afya waweze kujiunga na Mfuko huo ili wapate uhakika wa matibabu kupitia mfuko wa bima ya afya...
10 years ago
Dewji Blog16 Dec
NHIF yazungumzia tuzo tatu za ubunifu barani Afrika zilizotolewa na ISSA kwa mfuko wa taifa wa bima ya afya
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Bima ya Afya ya Taifa NHIF Bw. Khamis Mdee (wa pili kutoka kulia) akizungumza na waandishi wa habari katika makao makuu ya mfuko huo wakati walipoonyesha tuzo ambazo mfuko huo ulitunukiwa nchini Morocco na Shirikisho la kimataifa la Taasisi za Hifadhi ya Jamii (ISSA) nchini Morocco hivi karibuni. kulia ni Mkurugenzi wa Uendeshaji (NHIF),Eugen Mikongoti, Kutoka kushoto Kaimu Mkurugenzi Tiba na Ushauri wa NHIF, Dk Mkwabi Fikirini na Mkurugenzi wa masoko na...