WANAMICHEZO WAHAMASISHWA KUJIUNGA NA MFUKO WA BIMA YA AFYA
Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa (NHIF),Mkurungenzi wa Masoko na Utafiti Athumani Rehani akizungumza na waandishi wahabari hawapo pichani juu ya wanamichezo kujiunga na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ili kujipatia huduma za matibabu pamoja na dawa kwa vitio vya Afya maluumu na Maduka ya dawa Malum ameyasema hayo leo Jijini Dar es Salaam.
Mkurunge wa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) Eugen Mikongoti akifafanua jambo kwa wanahabar.
Wanahabari wakimsikiliza kwa makini Mkurugezi wa Mfuko wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziWAJASIRIAMALI TOKA VIKUNDI MBALIMBALI WAHAMASISHWA KUJIUNGA NA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA (NHIF)
Wajasiriamali toka vikundi mbalimbali wamehamasishwa kujiunga na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) ili kurahisisha matibabu wawapo katika shughuli zao za kawaida,leo katika ukumbi wa Msimbazi Centre jijini Dar es Salaam.
Katika Mpango mpya uliozinduliwa na Mfuko huo ujulikanao kama Mpango wa Kikoa(MATUAL PLAN),Wajasiriamali watakaojiunga na mfuko huo na kuwa wanachama watalipia shilingi 76,800 kwa mwaka ili kupata matibabu kupitia mfuko huo. ...
10 years ago
Dewji Blog05 Feb
Zanzibar mbioni kujiunga na mfuko wa Bima ya Afya
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wa Pili kutoka Kulia akizungumza na Uongozi wa Bodi ya Mfuko wa Bima ya Afya Tanzania ukiongozwa na Bwana Ezekiel Olouchi aliyepo kati kati yao. Kushoto kwa Balozi Seif ni Meneja wa Mfuko wa Bima ya Afya Kanda ya Zanzibar Nd. Ismail Kangeta, kulia ya Bwana Ezekiel Olouchi ni Mkurugenzi wa Wizara ya Afya aliyenyoa Nywele Dr. Moh’d Mohammed na Mkurugenzi wa ICT Nd. Ali Othman.
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imeombwa kuona haja kwa...
5 years ago
MichuziMFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA KUHAMASISHA WAFANYABIASHARA NDOGONDOGO NCHINI KUJIUNGA KIFURUSHI CHA MACHINGA AFYA KWA SH.100,000
MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya Nchini (NHIF) umeanzisha kifurushi cha 'Machinga Afya' kwa ajili ya wafanyabiashara ndogondogo maarufu kwa jina la Wamachinga ambacho gharama yake ni Sh.100,000 tu.
Kwa mujibu wa NHIF ni kifurushi hicho baada mwanachama kujiunga na kulipa fedha hizo atapata huduma ya matibabu ya afya nchi nzima na katika vituo vya afya zaidi ya 7,700.
Akizungumzia leo Juni 9,2020 jijini Dar es Salaam Meneja Masoko na Huduma kwa Wateja NHIF Hipoliti...
9 years ago
MichuziWAFANYABIASHARA KIGOMA WATAKIWA KUJIUNGA NA MFUKO WA BIMA YA AFYA (NHIF).
10 years ago
GPL![](https://ci6.googleusercontent.com/proxy/RVdzUcpnPNvf7Lm47Bo8sfuIVrAcyGvd7lly4MjCB9EQzE2MTAsAPEawrqHQXvVidPjfKQ-wYgYr0zJ78NGeWRDn_fuL0xyJ8MykTr3TlDpfhSVBy-y9=s0-d-e1-ft#http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/11/112.jpg)
NIHF KUFANYA KAMPENI YA SIKU 60 KUHAMASISHA WANANCHI KUJIUNGA NA MFUKO HUO WA BIMA YA AFYA
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-HuMMOERHkUs/VdggBAYS7vI/AAAAAAAHzDk/FDKhIEakwMg/s72-c/unnamed%2B%252828%2529.jpg)
MAKONDA AWAHIMIZA WASANII KUJIUNGA NA BIMA YA AFYA: Awataka kutumia taaluma yao kuhamasisha wengine kujiunga
Amesema kutokana na kupanda kwa gharama za maisha hivi sasa zikiwemo za matibabu, wasaani wana kila sababu ya kuona umuhimu wa kujiunga na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ili wanapougua watibiwe kwa kutumia kadi badala ya kuhangaika kutafuta fedha taslimu.
Makonda alikuwa akizungumza wakati wa ufunguzi...
10 years ago
Mwananchi16 Mar
Tuwawekee bima za afya wanamichezo
11 years ago
MichuziWaziri wa Afya atembelea Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya jijini Dar
11 years ago
Mwananchi01 Jul
AFYA: Hofu yatanda Mfuko Bima ya Afya