Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AFYA: Hofu yatanda Mfuko Bima ya Afya

>Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya nchini (NHIF) huenda usifikie lengo lake la kuwahudumia wananchi kwa asilimia 30 ifikapo mwakani, kutokana na sababu mbalimbali ikiwamo ya Jiji la Dar es Salaam kushindwa kuhamasisha wananchi wake kujiunga.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Waziri wa Afya atembelea Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya jijini Dar

Kaimu Mkurugezi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, Hamis Mdee akimkabidhi Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,Dkt. Seif Rashid nakala ya Taarifa ya Utekelezaji wa Mfuko huo,wakati wa ziara ya Waziri kwenye Ofisi za Mfuko huo,jijini Dar es Salaam. Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,Dkt. Seif Rashid akizungumza na watumishi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (hawapo pichani) wakati alipotembelea Ofisi za Mfuko huo,jijini Dar es Salaam. Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,Dkt. Seif Rashid...

 

5 years ago

Michuzi

MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA KUHAMASISHA WAFANYABIASHARA NDOGONDOGO NCHINI KUJIUNGA KIFURUSHI CHA MACHINGA AFYA KWA SH.100,000

Na Said Mwishehe,Michuzi TV

MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya Nchini (NHIF) umeanzisha kifurushi cha 'Machinga Afya' kwa ajili ya wafanyabiashara ndogondogo maarufu kwa jina la Wamachinga ambacho gharama yake ni Sh.100,000 tu.

Kwa mujibu wa NHIF ni kifurushi hicho baada mwanachama kujiunga na kulipa fedha hizo atapata huduma ya matibabu ya afya nchi nzima na katika vituo vya afya zaidi ya 7,700.

Akizungumzia leo Juni 9,2020 jijini Dar es Salaam Meneja Masoko na Huduma kwa Wateja NHIF Hipoliti...

 

10 years ago

Michuzi

MAMIA WAFURIKA BANDA LA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA (NHIF), KUPIMA AFYA ZAO KATIKA MAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR

Ofisa Uratibu na Matekelezo wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Genoveva Vicent (kulia), akimuelekeza jambo mwananchi aliyetembelea banda la NHIF katika maonyesho ya wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea viwanja vya Manazi Mmoja Dar es Salaam jana. Wengine wa pili kushoto ni Ofisa wa NHIF, Ambrose Manyanda na Ofisa Mawasiliano wa NHIF, Luhende Singu.Ofisa wa NHIF, Ambrose Manyanda (kulia), akimuelekeza jambo mwananchi aliyetembelea banda la NHIF.Mtaalamu wa Maabara wa Hospitali ya...

 

10 years ago

Vijimambo

MAMIA WAFURIKA BANDA LA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA (NHIF), KUPIMA AFYA ZAO KATIKA MAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR ES SALAAM

Ofisa Uratibu na Matekelezo wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Genoveva Vicent (kulia), akimuelekeza jambo mwananchi aliyetembelea banda la NHIF katika maonyesho ya wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea viwanja vya Manazi Mmoja Dar es Salaam jana. Wengine wa pili kushoto ni Ofisa wa NHIF, Ambrose Manyanda na Ofisa Mawasiliano wa NHIF, Luhende Singu.Ofisa wa NHIF, Ambrose Manyanda (kulia), akimuelekeza jambo mwananchi aliyetembelea banda la NHIF.
Mtaalamu wa Maabara wa Hospitali ya...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Vituo vyazembea fursa mfuko bima ya afya

WAKATI kukiwa na tatizo la upatikanaji wa dawa hususani katika hospitali na vituo vya afya vya Serikali, hadi sasa ni vituo 225 tu kati ya 6,000 vilivyojitokeza kuomba mikopo ya...

 

9 years ago

Michuzi

WANAMICHEZO WAHAMASISHWA KUJIUNGA NA MFUKO WA BIMA YA AFYA

 Mwakilishi wa Mkurugenzi  Mkuu wa (NHIF),Mkurungenzi wa Masoko na Utafiti Athumani Rehani akizungumza na waandishi wahabari hawapo pichani juu ya wanamichezo  kujiunga na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ili kujipatia huduma za matibabu pamoja na dawa kwa vitio vya  Afya maluumu na Maduka ya dawa Malum ameyasema hayo leo Jijini Dar es Salaam.
 Mkurunge wa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) Eugen Mikongoti akifafanua jambo kwa wanahabar.
 Wanahabari wakimsikiliza kwa makini Mkurugezi wa Mfuko wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Zanzibar mbioni kujiunga na mfuko wa Bima ya Afya

233

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wa Pili kutoka Kulia akizungumza na Uongozi wa Bodi ya Mfuko wa Bima ya Afya Tanzania ukiongozwa na Bwana Ezekiel Olouchi aliyepo kati kati yao. Kushoto kwa Balozi Seif ni Meneja wa Mfuko wa Bima ya Afya Kanda ya Zanzibar Nd. Ismail Kangeta, kulia ya Bwana Ezekiel Olouchi ni Mkurugenzi wa Wizara ya Afya  aliyenyoa Nywele Dr. Moh’d Mohammed na Mkurugenzi wa ICT Nd. Ali Othman.

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imeombwa kuona haja kwa...

 

9 years ago

Michuzi

MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA UMEPIGA HATUWA KUBWA

Mkurugenzi wa Matibabu na Huduma za kiufundi Dr. Frank Lekey akizugumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu ya miaka kumi ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya  Muungano wa Tanzania,Dokta Jakaya Kikwete, Mfuko umepiga hatua kubwa ya maendeleo, idadi ya wanachama wachangiaji 640,341 na idadi ya wanufaika ni 3,237,434 kikao hicho kimefanyika leo jiji Dar es Salaam
 Waandishi wa habari wa kimsikiliza  Mkurugenzi wa Matibabu na Huduma za kiufundi Dr. Frank Lekey kikao hicho kimefanyika leo jiji...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani