ZAIDI YA WAKUFUNZI (30) MKOANI MBEYA WASHIRIKI KATIKA SEMINA YA M-PAWA
Zaidi ya wakufunzi (30) wa Wilaya ya Mbozi Mkoa wa Mbeya washiriki katika semina ya elimu ya kifedha na huduma ya M-Pawa inayolenga kuwanufaisha zaidi ya wakulima 140,000 Tanzania. Semina hiyo iliandaliwa na Vodacom Tanzania kwa kushirikiana na Benki ya Biashara ya Afrika (CBA) na Shirika lisilo la kiserikali la TechnoServe chini ya udhamini wa (USAID).Mshauri wa biashara wa shirika lisilo la kiserikali la TechnoServe, Reginald Mpolo akitoa elimu kwa wakufunzi wa Wilaya ya Mbozi mkoani Mbeya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo23 Dec
TPB yaendesha semina kwa wajasiriamali mkoani Mbeya




10 years ago
GPL
TPB YAENDESHA SEMINA KWA WAJASIRIAMALI MKOANI MBEYA
11 years ago
Michuzi
Wadau wa Vijana washiriki mdahala katika Wiki ya Vijana mkoani Tabora


10 years ago
VijimamboZAIDI WANAFUNZI 100 WAPEWA SEMINA YA KUWAJENGEA UWEZO KUANZA SAFARI YA MASOMO KATIKA VYUO VIKUU VYA INDIA NA CHINA
11 years ago
Mwananchi25 Apr
Wafugaji Mbeya waazimia kujikita zaidi katika elimu
10 years ago
CHADEMA Blog
10 years ago
Vijimambo
WATU ZAIDI YA 25 WAJERUHIWA VIBAYA KATIKA AJALI YA COSTA SENJELE MBEYA.


Baadhi ya majeruhi wakitafuta mizigo yao mara baada ya kutoka ndani ya basi hilo


Baadhi ya majeruhi wakitoka ndani ya basi hilo.Picha na Mbeya yetu







Baadhi ya abilia wakitaka kumpiga Dereva wagari ya aina ya Suzuki kuwa yeye ndio alisababisha ajali hiyo kwa kuyumbayumba kwake barabarani

Moja ya wasamaria wema akiwazuia abiria wenye hasira kali kutaka kumpiga mzee huyo Mwenye Suzuki ambae alijulikana kwa jina moja tu mzee Mtawa

Mwandishi wa habari Kenneth Mwazembeakiwasili katika Hospitali ya...