Waamuzi Tanzania watetea beji za FIFA
SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (FIFA), limewapa beji waamuzi 10 wa Tanzania kwa mwaka 2014. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Ofisa Habari wa Shirikisho la...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziWaamuzi 11 nchini wapata Beji za FIFA
Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF),Jamal Malinzi akizungumza na Waandishi wa Habari pamoja na baadhi ya waamuzi waliopata hadhi ya kuwa waamuzi wenye beji za FIFA katika hafla fupi ya kukabidhi Beji hizo,iliyofanyika leo kwenye Viwanja vya Karume Mchikichini,Jijini Dar es salaam.Jumla ya waamuzi 11 wamepata Beji ya FIFA mwaka huu na kupelekea idadi ya waamuzi wote nchini wenye Beji hizo kufikia 18.Picha zote na Othman Michuzi. Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF),Jamal Malinzi...
10 years ago
Michuzi06 Jan
10 years ago
BBCSwahili22 Dec
Tanzania-waamuzi 11 kwenye orodha ya FIFA
Shirikisho la soka ulimwenguni FIFA limetoa orodha mpya ya waamuzi linaowatambua ,Kwenye orodha hiyo kuna jumla ya waamuzi 18 kutoka Tanzania.
10 years ago
Mwananchi30 Jan
Fifa watua kuchunguza waamuzi
Ujumbe maalumu wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) umetua nchini kwa siri kuchunguza tuhuma za upangaji matokeo unaowakabili waamuzi watatu waliosimamishwa tangu mwaka jana.
9 years ago
Michuzi01 Oct
MALINZI AFUNGA KOZI YA WAAMUZI WA FIFA
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Jamal Malinzi leo amefunga kozi ya waamuzi chipukizi wasiokuwa na beji za FIFA katika hoteli ya Holiday, ambapo jumla ya waamuzi 30 kutoka nchi 28 barani Afrika walihudhuria.Akiongea wakati wa kufunga kozi hiyo Malinzi alitoa wito kwa wahitimu wajikite kwenye maadili kwa kuzingatia mafunzo waliyopata ili katika kipindi kifupi wote wapate beji za FIFA na waonekane kweye mashindano makubwa kama fainali za AFCON na mashindano ya Kombe la...
10 years ago
Mwananchi12 Nov
Wazazi wa Miss Tanzania watetea urai wa binti yao
Wazazi wa Miss Tanzania, Lilian Kamazima, Mzee Deus na mkewe Eva Kamazima (pichani kushoto) wameibuka na kueleza kuwa binti yao ni Mtanzania halisi.
10 years ago
Bongo512 Nov
Wazazi wa Miss Tanzania mpya Lilian Kamazima watetea urai wa mtoto wao
Wazazi wa Miss Tanzania 2014 mpya Lilian Kamazima, Mzee Deus na mkewe Eva Kamazima wameibuka na kueleza kuwa binti yao ni Mtanzania halisi. Miss Tanzania 2014 Lilian Mzee Kamazima anayeishi Arusha aliibuka jana na kutoa tamko kuhusiana na tetesi zinazohusu utata wa uraia wa binti yake na kueleza kuwa Lilian ni mzawa halisi wa Tanzania […]
10 years ago
BBCSwahili05 May
Waamuzi wa Tanzania wateuliwa na CAF
CAF limewateua waamuzi wa kike wa Tanzania kuchezesha Fainali za Kombe la Dunia U-20 mwaka 2016 kati ya Congo DR dhidi ya Gabon.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania