Wazazi wa Miss Tanzania mpya Lilian Kamazima watetea urai wa mtoto wao
Wazazi wa Miss Tanzania 2014 mpya Lilian Kamazima, Mzee Deus na mkewe Eva Kamazima wameibuka na kueleza kuwa binti yao ni Mtanzania halisi. Miss Tanzania 2014 Lilian Mzee Kamazima anayeishi Arusha aliibuka jana na kutoa tamko kuhusiana na tetesi zinazohusu utata wa uraia wa binti yake na kueleza kuwa Lilian ni mzawa halisi wa Tanzania […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi12 Nov
Wazazi wa Miss Tanzania watetea urai wa binti yao
10 years ago
Dewji Blog12 Dec
Wazazi wa Miss Tanzania 2013 waelekea London kumpa sapoti mtoto wao
Na MATUKIO TZ BLOG
Wazazi wa Miss Tanzania 2013 Happiness Watimanywa akiongozwa na Baba yake wa Tatu Kutoka kushoto Pamoja na Mama yake wa Tatu Kutoka Kulia WakiwaWameambatana na Wadogo wa Miss Tanzania 2O13 Pamoja na Marafiki Wengine Wakiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere Katika Hatua za Mwisho Kabla ya Kusafiri Mchana wa leo Kuelekea Jijini London Kwenye Kilele cha Mashindano ya Miss World 2O14 yakakayohitimishwa Tarehe 14.12.2O14 ambapo Mtoto wao Miss Tanzania 2013 ...
10 years ago
VijimamboWAZAZI WA MISS TANZANIA 2O13 WAELEKEA LONDON KUMPA SAOTI MTOTO WAO
10 years ago
MichuziWAZAZI WA MISS TANZANIA 2O13 WAELEKEA LONDON KUMPA SAPOTI MTOTO WAO
10 years ago
GPLWAZAZI WA MISS TANZANIA 2O13 WAELEKEA LONDON KUMPA SAOTI MTOTO WAO
9 years ago
Michuzi
Miss Tanzania, Liliani Kamazima kukabidhiwa bendera ya taifa tayari kwa safari ya Miss World

Mrembo huyo ataondoka nchini Ijumaa ya tarehe 20 Novemba 2015 na ataungana na warembo wengine kutoka nchi zaidi ya 120 duniani na watapiga kambi ya mwezi...
10 years ago
Michuzi08 Nov
NEWZ ALERT:SITTI MTEVU ALIVUA TAJI LA MISS TANZANIA 2014,LILIANI KAMAZIMA AMRITHI.

11 years ago
GPL
WAZAZI WASUSA MAITI YA MTOTO WAO