NEWZ ALERT:SITTI MTEVU ALIVUA TAJI LA MISS TANZANIA 2014,LILIANI KAMAZIMA AMRITHI.
Aliyekuwa Miss Tanzania 2014, Sitti Abbas Mtemvu katika pozi na mshindi wa pili, Lillian Kamazima (kulia) aliyechukua nafasi yake pamoja na mshindi wa tatu, Jihhan Dimachk.Sitti Abas Mtemvu amelivua taji hilo baada ya kuiandikia barua Kamati ya Miss Tanzania, November 5 mwaka huu, kuhusiana na uamuzi wake huo.Mrembo huyo alikuwa akikabiliwa na shutuma za kudanganya umri wake, jambo ambalo lilililazimu Baraza la Sanaa la Taifa, (Basata) kutokana na agizo la wizara husika kufuatilia...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-aYUvZ66d2vM/Vkz5qf0VgOI/AAAAAAAIGpw/NARMz-XoKcU/s72-c/12093455_1492757947719818_2027782089_n.jpg)
Miss Tanzania, Liliani Kamazima kukabidhiwa bendera ya taifa tayari kwa safari ya Miss World
![](http://2.bp.blogspot.com/-aYUvZ66d2vM/Vkz5qf0VgOI/AAAAAAAIGpw/NARMz-XoKcU/s320/12093455_1492757947719818_2027782089_n.jpg)
Mrembo huyo ataondoka nchini Ijumaa ya tarehe 20 Novemba 2015 na ataungana na warembo wengine kutoka nchi zaidi ya 120 duniani na watapiga kambi ya mwezi...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DkRfQoehpOrQSv8I2weOw-sIRAgZmBmZYwd8-HA8YCk-W0VXvEiRdWl4PgJn1WY0v*b8AHpg2ydxWt0Y3fehZnToQ*LArB3U/1.jpg)
SITTI MTEMVU AVISHWA TAJI LA MISS TANZANIA 2014
10 years ago
GPL13 Oct
SITTI MTEMVU ALIVYOTWAA TAJI LA MISS TANZANIA 2014
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Dy9ynGgwNlQix8gYlXT*181j-yqQkKAHdGTfSIqi1-f72rOWR-ppDQ5ET9ND8gslO24mjCQqkZtCL-2Xkz2FrOye8ZHhyQc7/breakingnews.gif)
SITTI MTEMVU ATWAA TAJI LA MISS TANZANIA 2014
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
MISS TANZANIA 2014, SITTI MTEMVU AJIVUA TAJI
10 years ago
Tanzania Daima13 Oct
Sitti Mtemvu atwaa taji la Redd’s Miss Tanzania 2014
MREMBO Sitti Abbas Mtemvu kutoka Temeke, juzi usiku alitwaa taji la Redd’s Miss Tanzania 2014, baada ya kuibuka kidedea katika fainali za shindano hilo lililofanyika ukumbi wa Mlimani City, jijini...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-tK7x5nteWDQ/VEwIdP5QkgI/AAAAAAADKkc/t0kYCCkDwkQ/s72-c/sitti2.jpg)
Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu, aamua kujivua taji mwenyewe
10 years ago
Vijimambo10 Nov
BAADA YA SITTI KUVUA TAJI LA MISS TANZANIA 2014 MAPYA YAIBUKA
Stori: Chande Abdallah, Deogratius Mongela na Musa Mateja wa GPL
TENA! Saa chache tu baada ya Miss Tanzania 2014 aliyezua tafrani la kuchakachua umri kwa kujipunguzia miaka 2 ya kuzaliwa, Sitti Abbas Mtemvu kujisalimisha kwa kujivua taji mwenyewe, mapya yameibuka na Ijumaa Wikienda lina mzigo...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-o07TO0fXsMI/VDmnL3tmIHI/AAAAAAAGpWA/Bs4K1DFE8Dk/s72-c/MMGM0202.jpg)
NEWS ALERT: SITTI ABBAS MTEMVU NDIYE MISS REDDS TANZANIA 2014
![](http://3.bp.blogspot.com/-o07TO0fXsMI/VDmnL3tmIHI/AAAAAAAGpWA/Bs4K1DFE8Dk/s1600/MMGM0202.jpg)
Mrembo wa Redd's Miss Tanzania 2014,Sitti Abbas Mtemvu akiwa katika picha ya pamoja na Mshindi wa pili,Lillian Kamazima (kulia) na Mshindi wa Tatu,Jihhan Dimachk mara baada ya kutawazwa rasmi usiku huu kwenye ukumbi wa Mlimani City,jijini Dar es Salaam.Sitti Mtemvu alianza kwa kunyakua Redds Miss Chang'ombe na baadaye Redds Miss Temeke. Sitti ni binti wa Mbunge wa Temeke, Mhe. Abbas Mtemvu.
Picha zote na Othman Michuzi.
![](http://1.bp.blogspot.com/-m7uj1xZzd5A/VDmnIkq1nCI/AAAAAAAGpV4/I_4S4Tf0TDs/s1600/MMGM0157.jpg)