Miss Tanzania, Liliani Kamazima kukabidhiwa bendera ya taifa tayari kwa safari ya Miss World
![](http://2.bp.blogspot.com/-aYUvZ66d2vM/Vkz5qf0VgOI/AAAAAAAIGpw/NARMz-XoKcU/s72-c/12093455_1492757947719818_2027782089_n.jpg)
Mrembo anayeshikilia taji la Urembo la Taifa (Miss Tanzania 2014/15) Lilian Deus Kamazima anatarajia kukabidhiwa Bendera ya Taifa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Mh. Said Meck Sadick ikiwa ni ishara ya kumtakia kila la kheri katika mashindano ya urembo ya Dunia yanayotarajiwa kufanyika Jijini Sanya, nchini China, tarehe 19 Desemba 2015.
Mrembo huyo ataondoka nchini Ijumaa ya tarehe 20 Novemba 2015 na ataungana na warembo wengine kutoka nchi zaidi ya 120 duniani na watapiga kambi ya mwezi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi08 Nov
NEWZ ALERT:SITTI MTEVU ALIVUA TAJI LA MISS TANZANIA 2014,LILIANI KAMAZIMA AMRITHI.
![](http://api.ning.com/files/aDRZat70esFdmvy-72QwoIndAv-tpUd3KHpp8T9PYJySTWkmlyO4EtlqkmIZ6eoKcCLY2JYAv2FMdlJbRsRDQYfp3KWlJexF/sittimtemvu.jpg?width=650)
10 years ago
VijimamboMISS UNIVERSE TANZANIA 2014 AELEKEA MIAMI TAYARI KUPEPERUSHA BENDERA YA TANZANIA
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-JIAh809sU44/VGv_D3FllDI/AAAAAAAGyJA/W3zDlEQ8xUA/s72-c/unnamed%2B(20).jpg)
MISS TANZANIA 2013 JETS INTO LONDON TO FOR THE MISS WORLD PAGEANT
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rkFK1BYzsGhfFZFGY-ZOvR0kkM-AHVwvGWmmBdj3Ku19CBsbiwPRseS8xP9Gj7GZVIZEkM-uyUMfNSWdlQ0xiqw4qF2rGm2i/MISS1.jpg?width=650)
MISS TANZANIA 2013 JETS INTO LONDON TO FOR THE MISS WORLD PAGEANT
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-qCb_XEnaDrk/VIKegTT3r2I/AAAAAAAG1fo/NPBiG0QuCZ0/s72-c/unnamed%2B(12).jpg)
Miss Tanzania 2013 Happiness Watimanya at the Miss World in London
10 years ago
Vijimambo25 Nov
MPIGIE KURA MISS TANZANIA 2013 KATIKA SHINDANO LA MISS WORLD 2014
![VOTE FOR MISS TANZANIA-MISS WORLD](http://bomalog.com/wp-content/uploads/2014/11/tz.jpg)
Voting will be open for the next 25 days, closing during the final show.Download the App Here –http://www.missworld.com/TheCompetition/TheMissWorldMobileApp/For more info on the vote Click here...
10 years ago
Michuzi20 Nov
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-oGQwFS7GJLg/VHSS82lxz4I/AAAAAAAA9vs/FgNPBFyhSW4/s72-c/MISS%2BTANZANIA%2B2014.jpg)
WATANZANIA TUMPE SUPPORT MISS TANZANIA HAPPINESS WATIMANYWA KWENYE SHINDANO LA MISS WORLD 2014â€â€Ž
![](http://3.bp.blogspot.com/-oGQwFS7GJLg/VHSS82lxz4I/AAAAAAAA9vs/FgNPBFyhSW4/s1600/MISS%2BTANZANIA%2B2014.jpg)
10 years ago
Dewji Blog17 Nov