Lets all support miss Tanzania at miss world 2014
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziWATANZANIA TUMPE SUPPORT MISS TANZANIA HAPPINESS WATIMANYWA KWENYE SHINDANO LA MISS WORLD 2014â€â€Ž
Happiness Watimanywa (20) aliyekuwa Redds Miss Tanzania 2013 sasa yuko jijini London Uingereza kwa ajili ya kuiwakilisha Tanzania katika mashindano ya Miss World 2014. Happiness ambaye kwa sasa anashikilia taji la Miss World Tanzania 2014 amesema ana kila sababu ya kurudisha taji nyumbani ikiwa watanzania watamuunga mkono kwa kusambaza video zake katika mitandao mbalimbali ya kijamii."Hebu angalia uzuri wa taifa letu, amani, upendo na vivutio mbalimbali vya utalii. Hebu niangalie na mimi...
10 years ago
Dewji Blog26 Nov
VIDEO: Watanzania tumpe support Miss Tanzania Happiness Watimanywa kwenye shindano la Miss World 2014â€â€Ž
Happiness Watimanywa (20) aliyekuwa Redds Miss Tanzania 2013 sasa yuko jijini London Uingereza kwa ajili ya kuiwakilisha Tanzania katika mashindano ya Miss World 2014.
Happiness ambaye kwa sasa anashikilia taji la Miss World Tanzania 2014 amesema ana kila sababu ya kurudisha taji nyumbani ikiwa watanzania watamuunga mkono kwa kusambaza video zake katika mitandao mbalimbali ya kijamii.
“Hebu angalia uzuri wa taifa letu, amani, upendo na vivutio mbalimbali vya utalii. Hebu niangalie na mimi...
10 years ago
Vijimambo25 Nov
MPIGIE KURA MISS TANZANIA 2013 KATIKA SHINDANO LA MISS WORLD 2014
VOTING HAS OPENED!You can now register your votes for your Favourite contestants on the Miss World App, and its FREE!Download the Miss World App on iOS & Android now and you can vote for your TOP THREE contestants in the competition.
Voting will be open for the next 25 days, closing during the final show.Download the App Here –http://www.missworld.com/TheCompetition/TheMissWorldMobileApp/For more info on the vote Click here...
10 years ago
Dewji Blog17 Nov
10 years ago
BBCSwahili15 Dec
Miss Afrika Kusini awa Miss World 2014
10 years ago
MichuziNEWS ALERT: MISS SOUTH AFRICA Rolene STRAUSS ASHINDA TAJI LA MISS WORLD 2014 USIKU HUU JIJINI LONDON, UINGEREZA
Miss World 2013 Megan Young tayari amemvisha Miss South Africa Rolene STRAUSS taji la ushindi wa mwaka 2014 katika ukumbi wa mikutano na maonesho wa ExCel London Exhibition and Convention Centre. Jumla ya washiriki 125 walipanda jukwaani na kushindania taji hilo, akiwemo mrembo Happiness Watimanywa wa Tanzania. Fainali hizo zilioneshwa live hapa hapa Globu ya Jamii....angalia...
10 years ago
GPLMISS TANZANIA 2013 JETS INTO LONDON TO FOR THE MISS WORLD PAGEANT
10 years ago
MichuziMiss Tanzania 2013 Happiness Watimanya at the Miss World in London
10 years ago
MichuziMISS TANZANIA 2013 JETS INTO LONDON TO FOR THE MISS WORLD PAGEANT