Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Miss Afrika Kusini awa Miss World 2014

Miss South Africa Rolene Strauss ameibuka mrembo wa dunia wa mashindano ya Miss World 2014, kwa kuwabwaga wenzake zaidi ya 120

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mrembo wa Afrika Kusini ashinda taji la Miss World 2014

Mashindano ya urembo ya dunia yamemalizika jana huku mrembo kutoka Afrika Kusini, Rolene Strauss akiibuka Miss World 2014 katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa ExCeL London jijini London, England.

 

10 years ago

GPL

ROLENE STRAUSS WA AFRIKA KUSINI ASHINDA TAJI LA MISS WORLD 2014

Rolene Strauss wa Afrika Kusini ameshinda taji la Miss World 2014 jijini London usiku huu, Edina Kulcsar wa Hungary akishika nafasi ya pili na Elizabeth Safrit wa Marekani akichukua nafasi ya tatu.

 

11 years ago

Dewji Blog

Miss Ethiopia ndiye Miss Africa Usa 2014, Joy Kalemera awa wanne

Miss Ethiopia akifurahia taji la kuwa Miss Africa katika mashindano hayo yaliyofanyika Rockville, Maryland nchini Marekani na kuhudhuriwa na watu mbalimbali akiwemo Mhe. Balozi Liberata Mulamula, Balozi wa Tanzania nchini Marekani. Mshiriki wa Tanzania, Joy Kalemera ameshika nafasi ya 4 kati ya washiriki 20 walioingia fainali hizo.

IMG_2395

Washiriki watano waliopata nafasi ya kuingia tano bora kutoka kushoto ni Miss Tanzania aliyeshika na 4, Miss Uganda aliyeshika na 2, Miss Ethiopia aliyeshinda,...

 

10 years ago

Vijimambo

MPIGIE KURA MISS TANZANIA 2013 KATIKA SHINDANO LA MISS WORLD 2014


VOTE FOR MISS TANZANIA-MISS WORLDVOTING HAS OPENED!You can now register your votes for your Favourite contestants on the Miss World App, and its FREE!Download the Miss World App on iOS & Android now and you can vote for your TOP THREE contestants in the competition. 
Voting will be open for the next 25 days, closing during the final show.Download the App Here –http://www.missworld.com/TheCompetition/TheMissWorldMobileApp/For more info on the vote Click here...

 

10 years ago

Bongo5

Rolene Strauss wa Afrika Kusini ashinda taji la Miss World

Miss South Africa, Rolene Strauss ndiye Miss World 2014. Mrembo huyo mwenye umri wa miaka 22 na mwanafunzi wa medical ameshinda taji hilo kwenye shindano hilo lililofanyika Jumapili jijini London, Uingereza. Miss Hungary Edina Kulcsar alishika nafasi ya pili na Miss United States, Elizabeth Safrit akishika nafasi ya tatu. Kabla ya ushindi orodha ya warembo […]

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: MISS SOUTH AFRICA Rolene STRAUSS ASHINDA TAJI LA MISS WORLD 2014 USIKU HUU JIJINI LONDON, UINGEREZA

Warembo walioshiriki Fainali za 64 za shindano la urembo la Miss World lililofanyika usiku huu jijini London ambapo 
Miss World 2013 Megan Young tayari amemvisha Miss South Africa Rolene STRAUSS taji  la ushindi wa mwaka 2014 katika ukumbi wa mikutano na maonesho wa ExCel London Exhibition and Convention Centre. Jumla ya washiriki 125 walipanda jukwaani na kushindania taji hilo, akiwemo mrembo Happiness Watimanywa wa Tanzania. Fainali hizo zilioneshwa live hapa hapa Globu ya Jamii....angalia...

 

11 years ago

Michuzi

MISS ETHIOPIA NDIYE MISS AFRICA USA, JOY KALEMERA AWA WANNE

Miss Ethiopia akifurahia taji la kuwa Miss Africa katika mashindano hayo yaliyofanyika Rockville, Maryland nchini Marekani na kuhudhuriwa na watu mbalimbali akiwemo Mhe. Balozi Liberata Mulamula, Balozi wa Tanzania nchini Marekani. Mshiriki wa Tanzania, Joy Kalemera ameshika nafasi ya 4 kati ya washiriki 20 walioingia fainali hizo.Washiriki watano waliopata nafasi ya kuingia tano bora kutoka kushoto ni Miss Tanzania aliyeshika na 4, Miss Uganda aliyeshika na 2, Miss Ethiopia aliyeshinda,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani