Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MISS UNIVERSE TANZANIA 2014 AELEKEA MIAMI TAYARI KUPEPERUSHA BENDERA YA TANZANIA

Mrembo wa miss Universe Tanzania 2014 ameondoka rasmi nchini kuelekea nchini Marekani kwenye fainali za dunia za Miss Universe zitakazofanyika jijini Miami tarehe 25 mwezi huu wa januari 2015.

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MISS UNIVERSE TANZANIA 2014 AONDOKA RASMI KUELEKEA JIJINI MIAMI KWENYE FAINALI ZA DUNIA

Mrembo wa miss Universe Tanzania 2014,Carolyn Bernard ameondoka rasmi nchini kuelekea nchini Marekani kwenye fainali za  dunia za Miss Universe zitakazofanyika jijini Miami tarehe 25 mwezi huu wa januari.

 

9 years ago

Michuzi

Miss Tanzania, Liliani Kamazima kukabidhiwa bendera ya taifa tayari kwa safari ya Miss World

Mrembo anayeshikilia taji la Urembo la Taifa (Miss Tanzania 2014/15) Lilian Deus Kamazima anatarajia kukabidhiwa Bendera ya Taifa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Mh. Said Meck Sadick  ikiwa ni ishara ya kumtakia kila la kheri katika mashindano ya urembo ya Dunia yanayotarajiwa kufanyika Jijini Sanya, nchini China,  tarehe 19 Desemba 2015.
Mrembo huyo ataondoka nchini Ijumaa ya tarehe 20 Novemba 2015 na ataungana na warembo wengine kutoka nchi zaidi ya 120 duniani na watapiga kambi ya mwezi...

 

10 years ago

Michuzi

CHEF ISSA KUPEPERUSHA BENDERA YA TANZANIA JIJINI LUXEMBOURG KWENYE Villeroy & Boch Culinary World Cup 2014 kuanzia leo 24 mpaka 28 november 2014

"NAMSHUKURU MUNGU KWA KUCHAGULIWA KUSHIRIKI KAMA MSIMAMIZI KWENYE WORLD CUP YA WAPISHI INAYOFANYIKA KILA BAADA YA MIAKA 4 NITAPEPERUSHA BENDERA YA NCHI YANGU TANZANIA NI JAMBO LA KUJIVUNIA SANA".
Mpaka sasa Chef Issa Kapande mbali ya kushinda tuzo nyingi tofauti ndani na nje ya nchi katika fani yake ya upishi pia anashikilia rekodi ya kua Chef Mtanzania Msomi na mdogo kuliko wote aliewahi kufungua na kuongoza hotel ya nyota tano ( Certified Executive Chef) akiwa na umri wa miaka 25 tu. Hili...

 

10 years ago

Michuzi

MBUNIFU WA MAVAZI,MANJU MSITA KUPEPERUSHA BENDERA YA TANZANIA KATIKA MOZAMBIQUE FASHION WEEK 'MFW-2014'

Mbunifu wa Mavazi nchini Manju Msita kulia akizungumza na waandishi wa habari juu ya ushiriki wake katika Mozambique Fashion Week yatakayoanza desemba 10 mpaka 14 ambapo atakuwa akipeperusha bendera ya taifaMwanamitindo Matukio Chuma kulia akizungumza na wahandishi wa habari wakati wa kutangaza  upeperushwaji wa bendera ya tanzania katika nchi ya mozambique fashion week ambayo mbunifu wa mavazi Manju Msita atashiriki na kupeperurusha bendera ya Tanzania kushoto ni mwanamitindo Vivian...

 

10 years ago

Michuzi

Winners of Miss Universe Tanzania 2014

Winners of Miss Universe Tanzania 2014 Nale, Carolyne and Zara

 

11 years ago

Dewji Blog

Miss Universe Tanzania 2014 Call for Entries

Universe_02

Je wewe ni mrembo, mrefu mwembaba unayejiamini? Usisite kuchukua forms za kujiunga na Miss Universe Tanzania 2014 katika mikoa ifuatayo MWANZA (LULU SANGA- 0715471412); IRINGA na MBEYA ( VERONICA KILEMILE- 0782488030); ARUSHA (GADIOLA0715643633/0784643633) na DAR ES SALAAM waone au wasiliana na  (SEIF KABELELE/MWANAKOMBO SALIM -0655441165/0713302075) Ukiona tangazo hili mjulishe na mwenzio.

 RATIBA YA USAILI.

Yale mashindano ya kumsaka mwakilishi katika mashindano makubwa kabisa ya...

 

10 years ago

Vijimambo

VAZI LA MISS UNIVERSE TANZANIA 2014 KAMA NATION COSTUME



Nguo hii ndiyo Miss Universe Tanzania 201 Nale Boniface ndiyo alijitambulisha nayo kwenye mashindano yaliyofanyika FL Marekani usiku wa jumapili january 25. Vazi hili lilijulikana kama national costume jitiririshe na mavazi ya warembo nchi zingine hapa chini.
Miss RussiaMiss U.S.AMiss Venezuela Miss JamaicaMiss CanadaMiss Dominican RepublicMiss LebanonMiss IndiaMiss Great BritainMiss FinlandMiss IsraelMiss Ireland Miss South Africa

 

10 years ago

GPL

MWAKILISHI WA MISS UNIVERSE TANZANIA 2014 ATEMBELEA GLOBAL LEO

Presenta wa Global TV Online, Pamela Daffa akiongea na mwakilishi wa Miss Universe Tanzania 2014, Nale Boniface. Nale Boniface katika pozi ndani ya studio za Global TV Online. MWAKILISHI wa Miss Universe Tanzania kwa mwaka 2014, Nale Boniface leo ametembelea ofisi za Global Publishers Ltd na kufanya mahojiano katika Kipindi cha Mtu Kati kinachoruka kupitia Global TV Online. Katika mahojiano… ...

 

11 years ago

Bongo5

Usahili wa Miss Universe Tanzania 2014 unafanyika leo Dar es Salaam

Usahili wa Miss Universe Tanzania 2014 kwa mkoa wa Dar es Salaam unafanyika leo hii katika hoteli ya Golden Tulip kuanzia sa 9:30 hadi saa 10 jioni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani