Winners of Miss Universe Tanzania 2014
Winners of Miss Universe Tanzania 2014 Nale, Carolyne and Zara
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog09 Sep
Miss Universe Tanzania 2014 Call for Entries
Je wewe ni mrembo, mrefu mwembaba unayejiamini? Usisite kuchukua forms za kujiunga na Miss Universe Tanzania 2014 katika mikoa ifuatayo MWANZA (LULU SANGA- 0715471412); IRINGA na MBEYA ( VERONICA KILEMILE- 0782488030); ARUSHA (GADIOLA0715643633/0784643633) na DAR ES SALAAM waone au wasiliana na (SEIF KABELELE/MWANAKOMBO SALIM -0655441165/0713302075) Ukiona tangazo hili mjulishe na mwenzio.
RATIBA YA USAILI.
Yale mashindano ya kumsaka mwakilishi katika mashindano makubwa kabisa ya...
10 years ago
VijimamboMISS UNIVERSE TANZANIA 2014 AELEKEA MIAMI TAYARI KUPEPERUSHA BENDERA YA TANZANIA
10 years ago
GPLMWAKILISHI WA MISS UNIVERSE TANZANIA 2014 ATEMBELEA GLOBAL LEO
10 years ago
Vijimambo26 Jan
VAZI LA MISS UNIVERSE TANZANIA 2014 KAMA NATION COSTUME
Nguo hii ndiyo Miss Universe Tanzania 201 Nale Boniface ndiyo alijitambulisha nayo kwenye mashindano yaliyofanyika FL Marekani usiku wa jumapili january 25. Vazi hili lilijulikana kama national costume jitiririshe na mavazi ya warembo nchi zingine hapa chini.
Miss RussiaMiss U.S.AMiss Venezuela Miss JamaicaMiss CanadaMiss Dominican RepublicMiss LebanonMiss IndiaMiss Great BritainMiss FinlandMiss IsraelMiss Ireland Miss South Africa
10 years ago
Bongo519 Sep
Usahili wa Miss Universe Tanzania 2014 unafanyika leo Dar es Salaam
10 years ago
Dewji Blog17 Sep
10 years ago
Michuzi10 years ago
MichuziMSHINDI WA PILI WA MISS UNIVERSE TANZANIA 2014 NDIYE ATAIWAKILISHA NCHI MASHINDANO YA KIMATAIFA
Hatua hii imechukuliwa baada ya mshindi husika Miss Universe Tanzania 2014, Carolyne Bernard kupata ajali na kuvunjika kidole chake cha mguu. Ripoti ya daktari imeonyesha kuwa kupona kwake kutachukua mwezi mmoja wakati mrembo anatakiwa awe...
10 years ago
Vijimambo23 Dec
MSHINDI WA PILI WA MISS UNIVERSE TANZANIA 2014 NDIYE ATAIWAKILISHA NCHI MASHINDANO YA KIMATAIFA
Kamati ya Miss Universe Tanzania imemteua mshindi wa pili wa Miss Universe 2014, Nale Boniface kwenda kuiwakilisha nchi katika mashindano ya kimataifa ya Miss Universe yatakayofanyika mwanzoni mwa mwezi wa kwa kwanza 2015 Miami, Marekani.
Hatua hii imechukuliwa baada ya mshindi husika Miss Universe Tanzania 2014, Carolyne Bernard kupata ajali na kuvunjika kidole chake cha mguu. Ripoti ya daktari imeonyesha kuwa kupona kwake kutachukua mwezi mmoja wakati mrembo anatakiwa awe mashindanoni...