Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BAADA YA SITTI KUVUA TAJI LA MISS TANZANIA 2014 MAPYA YAIBUKA

Miss Tanzania 2014 aliyejivua taji Sitti Mtemvu akipata upaku kutoka kwa Nabii Yaspi BenderaMiss Tanzania 2014 aliyevuliwa taji, Sitti Abbas Mtemvu akipanda jukwaani kupata maombi ya Nabii Yaspi Bendera.

Stori: Chande Abdallah, Deogratius Mongela na Musa Mateja wa GPL
TENA! Saa chache tu baada ya Miss Tanzania 2014 aliyezua tafrani la kuchakachua umri kwa kujipunguzia miaka 2 ya kuzaliwa, Sitti Abbas Mtemvu kujisalimisha kwa kujivua taji mwenyewe, mapya yameibuka na Ijumaa Wikienda lina mzigo...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

SITTI MTEMVU ALIVYOTWAA TAJI LA MISS TANZANIA 2014

MREMBO Sitti Mtemvu aliyekuwa Miss Temeke 2014, Oktoba 11, 2014 aliibuka kidedea katika fainali za shindano la Miss Tanzania 2014 na kujinyakulia taji hilo sambamba na shilingi milioni 18. Katika shindano hilo lililofanyika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar, nafasi ya pili ilikwenda kwa Lilian Kamazima ambaye alijishindia shilingi milioni 6 huku nafasi ya tatu ikichukuliwa na Jihan Dimachk. Dorice Mollel alishika nafasi ya nne...

 

10 years ago

GPL

SITTI MTEMVU AVISHWA TAJI LA MISS TANZANIA 2014

Washiriki 30 wa kinyanganyiro cha kumsaka Miss Tanzania wakijitambulisha kwa shoo. Warembo wakipita na vazi la ufukweni. Mkurugenzi wa Kamati ya Miss Tanzania, Hashim Lundenga (kushoto), akiwa na katibu wa kamati hiyo, Bosco Majaliwa.…

 

10 years ago

GPL

MISS TANZANIA 2014, SITTI MTEMVU AJIVUA TAJI

Aliyekuwa Miss Tanzania 2014, Sitti Abbas Mtemvu katika pozi na mshindi wa pili, Lillian Kamazima (kulia) pamoja na mshindi wa tatu, Jihhan Dimachk. Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu amejivua taji hilo leo, mshindi wa pili, Lillian Kamazima amrithi, Lundenga athibitisha. Habari kamili kuwajia…

 

10 years ago

GPL

SITTI MTEMVU ATWAA TAJI LA MISS TANZANIA 2014

Miss Tanzania 2014, Sitti Abbas Mtemvu katika pozi na mshindi wa pili, Lillian Kamazima (kulia) pamoja na mshindi wa tatu, Jihhan Dimachk baada ya kutangazwa mshindi. MREMBO Sitti Mtemvu kutoka Temeke ametwaa taji la Miss Tanzania 2014 na kujinyakulia kitita cha milioni 18 usiku huu katika…

 

10 years ago

Tanzania Daima

Sitti Mtemvu atwaa taji la Redd’s Miss Tanzania 2014

MREMBO Sitti Abbas Mtemvu kutoka Temeke, juzi usiku alitwaa taji la Redd’s Miss Tanzania 2014, baada ya kuibuka kidedea katika fainali za shindano hilo lililofanyika ukumbi wa Mlimani City, jijini...

 

10 years ago

Vijimambo

Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu, aamua kujivua taji mwenyewe

BREAKING NEWS!Habari tulizozipata hivi punde kupitia uso wa kitabu wa Miss tanzania 2014, Sitti Mtemvu, ni kwamba ameamua kujivua taji hilo ili aendelee na maisha yake kwa amani. Hivi nivyo alovyoandika "HABARI ZA JIONI WATANZANIA WENZANGU, KUTOKANA NA KUWA NIMEKUWA NIKISEMWA SANA, MANENO MENGI YASIO NA TIJA JUU YA HILI TAJI LA UMISS TANZANIA 2014,,,MPAKA KUPELEKEA NISIWE NA AMANI NA UHURU NDANI YA NCHI YANGU TANZANIA, KWA ROHO SAFI NIMEAMUA MWENYEWE KUJIVUA TAJI HILO NA KUACHA WANAYE ONA...

 

10 years ago

Michuzi

NEWZ ALERT:SITTI MTEVU ALIVUA TAJI LA MISS TANZANIA 2014,LILIANI KAMAZIMA AMRITHI.



Aliyekuwa Miss Tanzania 2014, Sitti Abbas Mtemvu katika pozi na mshindi wa pili, Lillian Kamazima (kulia) aliyechukua nafasi yake pamoja na mshindi wa tatu, Jihhan Dimachk.Sitti Abas Mtemvu amelivua taji hilo baada ya kuiandikia barua Kamati ya Miss Tanzania, November 5 mwaka huu, kuhusiana na uamuzi wake huo.Mrembo huyo alikuwa akikabiliwa na shutuma za kudanganya umri wake, jambo ambalo lilililazimu Baraza la Sanaa la Taifa, (Basata) kutokana na agizo la wizara  husika kufuatilia...

 

10 years ago

Bongo5

Lundenga ajibu swali la kama Sitti Mtemvu atanyang’anywa zawadi alizopewa aliposhinda taji la Miss Tanzania 2014

Mkurugenzi wa LINO International Agency ambao ni waandaaji wa mashindano ya Miss Tanzania, Hashim Lundenga amesema miongoni mwa maswali aliyokutana nayo kwa wingi jana kwenye ‘Kikaangoni’ ya EATV, ni pamoja na swala la Sitti Mtemvu kama atanyang’anywa zawadi alizopewa ili akabidhiwe aliyevishwa taji hilo baada ya yeye kujivua. “Kwanza hii ni mara ya kwanza kwa […]

 

10 years ago

Bongo5

Brigitte Alfred amtetea Miss TZ 2014, Sitti Mtemvu, ‘likikuchosha taji lilirudishe tu mpendwa’

Miss Tanzania 2012, Brigitte Alfred amemtetea Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu ambaye tangu ashinde amekuwa akikosolewa kuwa hakustahili na kwamba alidanganya umri wake. Brigitte ametumia mtandao wa Instagram kuandika kile anachokiona kuwa ni uonevu kwa Mtemvu anayepokea matusi ya kila aina. “Mazuri mengi yanawapita, but when it’s something scandalous mnadiscuss forever!Ndio maana hatuendelei. I wish […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani