Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wazazi wa Miss Tanzania watetea urai wa binti yao

Wazazi wa Miss Tanzania, Lilian Kamazima, Mzee Deus na mkewe Eva Kamazima (pichani kushoto) wameibuka na kueleza kuwa binti yao ni Mtanzania halisi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Wazazi wa Miss Tanzania mpya Lilian Kamazima watetea urai wa mtoto wao

Wazazi wa Miss Tanzania 2014 mpya Lilian Kamazima, Mzee Deus na mkewe Eva Kamazima wameibuka na kueleza kuwa binti yao ni Mtanzania halisi. Miss Tanzania 2014 Lilian Mzee Kamazima anayeishi Arusha aliibuka jana na kutoa tamko kuhusiana na tetesi zinazohusu utata wa uraia wa binti yake na kueleza kuwa Lilian ni mzawa halisi wa Tanzania […]

 

10 years ago

Mwananchi

Wazazi Miss Tanzania wadai chao

Wazazi wa Miss Tanzania mpya, Lilian Kamazima wameitaka Kamati ya Miss Tanzania  iwape maelezo ya uhakika kuhusu zawadi na taji la binti yao kwa kuwa hadi sasa wako njiapanda.

 

10 years ago

Michuzi

WAZAZI WA MISS TANZANIA 2O13 WAELEKEA LONDON KUMPA SAPOTI MTOTO WAO

 Wazazi wa Miss Tanzania 2013  Happiness Watimanywa  wakiongozwa na Baba yake (wa Tatu Kutoka Kushoto) Pamoja na Mama yake (wa Tatu Kutoka Kulia) wakiwa wameambatana na Wadogo wa Miss Tanzania 2O13 Pamoja na Marafiki Wengine Wakiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere Katika Hatua za Mwisho Kabla ya Kusafiri Mchana wa Leo Kuelekea Jijini London Kwenye Kilele cha  Mashindano ya Miss World 2O14 Yakakayohitimishwa Tarehe 14.12.2O14  Ambapo Mtoto wao Miss Tanzania 2013  Happiness...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wazazi wa Miss Tanzania 2013 waelekea London kumpa sapoti mtoto wao

IMG_0231

Na MATUKIO TZ BLOG

Wazazi wa Miss Tanzania 2013  Happiness Watimanywa  akiongozwa na Baba yake wa Tatu Kutoka kushoto Pamoja na Mama yake wa Tatu Kutoka Kulia WakiwaWameambatana na Wadogo wa Miss Tanzania 2O13 Pamoja na Marafiki Wengine Wakiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere Katika Hatua za Mwisho Kabla ya Kusafiri Mchana wa leo Kuelekea Jijini London Kwenye Kilele cha  Mashindano ya Miss World 2O14 yakakayohitimishwa Tarehe 14.12.2O14  ambapo Mtoto wao Miss Tanzania 2013 ...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZAZI WA MISS TANZANIA 2O13 WAELEKEA LONDON KUMPA SAOTI MTOTO WAO


 Wazazi wa Miss Tanzania 2O13  Happiness Watimanywa  Akiongozwa na Baba yake wa Tatu Kutoka Kushoto Pamoja na Mama yake wa Tatu Kutoka Kulia WakiwaWameambatana na Wadogo wa Miss Tanzania 2O13 Pamoja na Marafiki Wengine Wakiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere Katika Hatua za Mwisho Kabla ya Kusafiri Mchana wa Leo Kuelekea Jijini London Kwenye Kilele cha  Mashindano ya Miss World 2O14 Yakakayohitimishwa Tarehe 14.12.2O14  Ambapo Mtoto wao Miss Tanzania 2O13  Happiness Watimanywa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Warembo Miss Tanzania wajifua Gym kuiweka miili yao imara

Warembo wanaoshiriki shindano la Redd’s Miss Tanzania 2014 leo wameingia siku ya pili ya kambi yao jijini Dar es Salaam na baada ya semina asubuhi na mapumziko ya mchana jioni hii wamefanya mazoezi katika chumba maalum cha mazoezi ‘Gym’, ungana na mpigapicha wa Father Kidevu Blog katika picha mbalimbali za warembo hao katika kambi yao. 8

 

10 years ago

Michuzi

WAREMBO MISS TANZANIA WAJIFUA GYM KUIWEKA MIILI YAO SAFI

 Warembo wanaoshiriki shindano la Redd's Miss Tanzania 2014 leo wameingia siku ya pili ya kambi yao jijini Dar es Salaam na baada ya semina asubuhi na mapumziko ya mchana jioni hii wamefanya mazoezi katika chumba maalum cha mazoezi 'Gym', ungana na mpigapicha wa Father Kidevu Blog katika picha mbalimbali za warembo hao katika kambi yao. PICHA ZAIDI INGIA HAPA

 

10 years ago

GPL

WAZAZI WA MISS TANZANIA 2O13 WAELEKEA LONDON KUMPA SAOTI MTOTO WAO‏

Wazazi wa Miss Tanzania 2O13, Happiness Watimanywa akiongozwa na baba yake wa Tatu kutoka kushoto pamoja na mama yake wa Tatu kutoka kulia wakiwa wameambatana na wadogo wa Miss Tanzania 2O13 pamoja na marafiki wengine wakiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere katika hatua za mwisho kabla ya kusafiri mchana wa jana kuelekea Jijini London kwenye kilele cha Mashindano ya Miss World 2O14 yakakayohitimishwa tarehe...

 

10 years ago

Habarileo

Wazazi waliooza binti wa miaka 10 kortini

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, David MisimeWAZAZI wa mtoto mwenye umri wa miaka 10 aliyeozwa kwa siri wilayani Bahi, katika Mkoa wa Dodoma, wanafikishwa mahakamani leo kujibu mashitaka yanayowakabili.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani