Wazazi waliooza binti wa miaka 10 kortini
WAZAZI wa mtoto mwenye umri wa miaka 10 aliyeozwa kwa siri wilayani Bahi, katika Mkoa wa Dodoma, wanafikishwa mahakamani leo kujibu mashitaka yanayowakabili.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi19 Jun
Wazazi wa binti aliyefariki dunia kwa utata wafikishwa kortini
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-CxxTONhbP6A/VFUIGn-_X6I/AAAAAAAGun8/sbwRyghldAg/s72-c/unnamed.jpg)
news alert: binti wa miaka 12 atoweka nyumbani kwao temeke, dar es salam, wazazi wanamtafuta
![](http://3.bp.blogspot.com/-CxxTONhbP6A/VFUIGn-_X6I/AAAAAAAGun8/sbwRyghldAg/s1600/unnamed.jpg)
Jina: Mwasiti Abdulrazack Kakurwa.
Umri miaka 12. Rangi ya mwili: Mweusi.
Mara ya mwisho alivaa T-shirt iliyoandikwa Mnazi Mmoja primary School, na alijifunika mtandio mweusi. Ametoweka jana jioni maeneo ya mtaa wa Berege, Tandika, Temeke, Dar es salaam.Yeyote atayemuina ama mwenye taarifa zake tunaomba taarifa zipelekwe katika kituo chochote cha polisi ama Kituo cha police tandika, Temeke, na police Chang'ombe, Dar es salaam. Ama kwa Mzazi Abdurazack Kakurwa, namba ya simu 0713 835699, au...
9 years ago
StarTV03 Nov
Binti wa miaka 15 ahukumiwa jela miaka 8 kwa kuuwa bila kukusudia.
Mahakama kuu ya Tanzania kanda ya Dar es salaam iliyoketi mkoani Morogoro, imemuhukumu kwenda jela miaka nane, Judith Chomile binti mwenye umri wa miaka 15 mwananfunzi wa kidato cha kwanza mara baaada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kuua bila ya kukusudia mtoto mwenzake Andrine Mafwere (9)
Akisoma hukumu hiyo jaji Eliezer Fereshi, amesema mahakama imemtia hatiani mshitakiwa huyo kutokana na upelelezi wa kesi hiyo kukamilika na maelezo ya maafisa ustawi wa jamii na maafisa wa huduma za...
10 years ago
Mwananchi12 Nov
Wazazi wa Miss Tanzania watetea urai wa binti yao
10 years ago
BBCSwahili04 Sep
Binti wa miaka 19 auawa Detroit
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8pnqwPqNt2NC-SjOnOt3x99ZlK81uLU-izWj1n2kURB6T5pI5dKStoYYrY-F0yXBikcnmm3DYISqDRqn6-QLis96S1axrq4-/freemason.jpg?width=650)
BINTI MIAKA 16 ATOA SIRI ZA FREEMASON
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BKB8rO763wH1dAkSgA3AnJjLfz55wJHjzrkoRp6dEqLDNeoiu4Dg4j5Rr-n0Ixxsf7Bznzh129na-OW*8dgmx9EuKktdW0j2/bint.jpg)
BINTI MIAKA 8 ABAKWA, AUAWA, ATUPWA!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ddTCHyz3HmyEN*hGdDGxZ8VImMZdOrdLWMAVYMadMsdJfoxuAkHWN*reTbft0LRXr6LPbwldTx8GTXz2q3PI8Yq6wZXvvlAG/Lulu.jpg?width=650)
BINTI MIAKA 14 ASUTWA KWA UTAPELI
11 years ago
Habarileo13 Jul
Binti wa miaka 10 abakwa na wanaume 2 kwa zamu
JESHI la polisi mkoani Ruvuma linawatafuta wakazi wawili wa kijiji cha Silo kata ya Linda wilaya ya Nyasa kwa tuhuma za kumbaka msichana wa miaka 10 , mwanafunzi wa darasa la pili katika shule ya Msingi Luhekitiki wilayani humo.