BINTI MIAKA 16 ATOA SIRI ZA FREEMASON
![](http://api.ning.com:80/files/8pnqwPqNt2NC-SjOnOt3x99ZlK81uLU-izWj1n2kURB6T5pI5dKStoYYrY-F0yXBikcnmm3DYISqDRqn6-QLis96S1axrq4-/freemason.jpg?width=650)
Na Waandishi Wetu NI lipi hujasikia? Linaweza kuwa hili! Binti mmoja aliyetambulishwa kwa jina la Fauzia (jina la mbele lipo), mwenye umri wa miaka 16, mkazi wa Kigogo jijini Dar amedai kutumikia nafasi ya umalkia katika imani yenye utata duniani ya Freemason, Uwazi linakudondoshea. Binti Fauzia akiwa amepozi nyumbani kwao maeneo ya Kigogo jijini Dar es Salaam. Binti huyo alikwenda mbele zaidi kwa kudai kwamba ili kujiunga...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV03 Nov
Binti wa miaka 15 ahukumiwa jela miaka 8 kwa kuuwa bila kukusudia.
Mahakama kuu ya Tanzania kanda ya Dar es salaam iliyoketi mkoani Morogoro, imemuhukumu kwenda jela miaka nane, Judith Chomile binti mwenye umri wa miaka 15 mwananfunzi wa kidato cha kwanza mara baaada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kuua bila ya kukusudia mtoto mwenzake Andrine Mafwere (9)
Akisoma hukumu hiyo jaji Eliezer Fereshi, amesema mahakama imemtia hatiani mshitakiwa huyo kutokana na upelelezi wa kesi hiyo kukamilika na maelezo ya maafisa ustawi wa jamii na maafisa wa huduma za...
10 years ago
Mwananchi30 Aug
Miaka 60 ya Sir Chande ndani ya Freemason nchini
11 years ago
Habarileo18 Jul
Baba wa binti aliyefanya vyema kidato cha 6 atoa ya moyoni
BABA wa mwanafunzi aliyefanya vizuri katika mtihani wa kidato cha sita na kushika nafasi ya pili kitaifa masomo ya sayansi, Doris Noah amesema mtoto wake ana ndoto ya kuwa rubani lakini bado hakubaliani na maamuzi yake.
10 years ago
BBCSwahili04 Sep
Binti wa miaka 19 auawa Detroit
10 years ago
Habarileo02 Mar
Wazazi waliooza binti wa miaka 10 kortini
WAZAZI wa mtoto mwenye umri wa miaka 10 aliyeozwa kwa siri wilayani Bahi, katika Mkoa wa Dodoma, wanafikishwa mahakamani leo kujibu mashitaka yanayowakabili.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BKB8rO763wH1dAkSgA3AnJjLfz55wJHjzrkoRp6dEqLDNeoiu4Dg4j5Rr-n0Ixxsf7Bznzh129na-OW*8dgmx9EuKktdW0j2/bint.jpg)
BINTI MIAKA 8 ABAKWA, AUAWA, ATUPWA!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ddTCHyz3HmyEN*hGdDGxZ8VImMZdOrdLWMAVYMadMsdJfoxuAkHWN*reTbft0LRXr6LPbwldTx8GTXz2q3PI8Yq6wZXvvlAG/Lulu.jpg?width=650)
BINTI MIAKA 14 ASUTWA KWA UTAPELI
11 years ago
Habarileo13 Jul
Binti wa miaka 10 abakwa na wanaume 2 kwa zamu
JESHI la polisi mkoani Ruvuma linawatafuta wakazi wawili wa kijiji cha Silo kata ya Linda wilaya ya Nyasa kwa tuhuma za kumbaka msichana wa miaka 10 , mwanafunzi wa darasa la pili katika shule ya Msingi Luhekitiki wilayani humo.
11 years ago
Habarileo13 Feb
Dada amsaidia kaka kunajisi binti wa miaka 12
MKAZI wa mtaa wa Tambukareli wilayani Mpanda, Helen Simon (20) anashikiliwa Polisi na kaka yake, Afred Mnyonge (24) kwa tuhuma za kumsaidia kaka huyo kumnajisi msichana jirani yao, mwenye umri wa miaka 12.