BINTI MIAKA 8 ABAKWA, AUAWA, ATUPWA!
![](http://api.ning.com:80/files/BKB8rO763wH1dAkSgA3AnJjLfz55wJHjzrkoRp6dEqLDNeoiu4Dg4j5Rr-n0Ixxsf7Bznzh129na-OW*8dgmx9EuKktdW0j2/bint.jpg)
Stori: Emanuel Madafa,Mbeya Inauma sana! Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mwanafunzi wa darasa la tatu katika Shule ya Msingi ya Ruanda Nzovwe jijini hapa, Elika Mkumbwa mwenye umri wa miaka 8 anadaiwa kubakwa, kuuawa na kutupwa kwenye jumba bovu (pagale) eneo la Mtaa wa Ilomba Village. Makamanda wa Polisi wakiutoa mwili wa mtoto, Elika Mkumbwa kutoka kwenye jumba bovu. Akizungumzia tukio hilo lililojiri hivi karibuni,...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo13 Jul
Binti wa miaka 10 abakwa na wanaume 2 kwa zamu
JESHI la polisi mkoani Ruvuma linawatafuta wakazi wawili wa kijiji cha Silo kata ya Linda wilaya ya Nyasa kwa tuhuma za kumbaka msichana wa miaka 10 , mwanafunzi wa darasa la pili katika shule ya Msingi Luhekitiki wilayani humo.
10 years ago
BBCSwahili04 Sep
Binti wa miaka 19 auawa Detroit
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-xLaYxggiLaA/VBBUotAI81I/AAAAAAAGijw/zaNIGr-0NRo/s72-c/unnamed%2B(1).jpg)
MTU MMOJA ABAKWA,ANYONGWA KISHA ATUPWA KICHAKANI HUKO MKURANGA
![](http://2.bp.blogspot.com/-xLaYxggiLaA/VBBUotAI81I/AAAAAAAGijw/zaNIGr-0NRo/s1600/unnamed%2B(1).jpg)
MKAZI wa Kijiji cha Bupu kata ya Bupu Tarafa ya Mkamba wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani Forodesi Ntabegera (30) ameuwawa kwa kubakwa kisha kunyongwa na watu wasiojulikana kisha mwili wake kutupwa kichakani.
Kwa mujibu wa taarifa ziliotolewa na kaimu kamanda wa polisi mkoani Pwani Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani humo Mrakibu Msaidizi wa Polisi (SSP) Athuman Mwambalaswa Marehemu kuwa marehemu alinyongwa na watu hao kwa kutumia kitenge chake alichokuwa amekivaa.
Kamanda...
10 years ago
Habarileo20 Oct
Mwalimu auawa, atupwa mferejini
MWALIMU wa Shule ya Ufundi na Kompyuta Santa Casilia Plaza, Eliuter Kiwia ambaye ni mkazi wa Kata ya Uru Kimanganuni, ameokotwa kwenye mfereji wa maji akiwa amekufa, baada ya kuuawa na watu wasiojulikana.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-1ULzpAvZYKo/Xr9xyh6fmzI/AAAAAAALqas/u0RRHpM7JAI5cJQruxeGrFrJ1asON_aBwCLcBGAsYHQ/s72-c/images%2B%25282%2529.jpg)
Mwanaume (45) atupwa jela miaka 30 kwa kosa la kumwingilia kimapenzi mjukuu wake wa miaka 5
Na Amiri kilagalila,Njombe
Mwanaume mmoja aliejulikana kwa jina la Charles Mwinami (45) mkazi wa kijiji cha Itunduma wilayani Njombe amehukumiwa kwenda jela miaka 30 baada ya kukutwa na hatia ya kumwingilia kimapenzi mjukuu wake mwenye umri wa miaka 5 na kutakiwa kulipa fidia ya shilingi Milioni Kumi kwa mwathirika.
Akisoma kesi no 12 ya 2020 hakimu mkazi mfawidhi wa mahakama ya hakimu mkazi mkoani Njombe Hassan Makube amesema mtuhumiwa amekutwa na hatia hiyo baada ya ushahidi wa daktari...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Iiq-5qTP3-k71jSit-lPpoMdA3Tme9A156BOtxAXoieun5anJteI8ZM0bkYlcfwq3I7YOwN6Nc2dvMuP537oABkAGh-*l3YN/FRONTI.jpg)
BINTI WA PROFESA AUAWA KWA SUMU
9 years ago
StarTV03 Nov
Binti wa miaka 15 ahukumiwa jela miaka 8 kwa kuuwa bila kukusudia.
Mahakama kuu ya Tanzania kanda ya Dar es salaam iliyoketi mkoani Morogoro, imemuhukumu kwenda jela miaka nane, Judith Chomile binti mwenye umri wa miaka 15 mwananfunzi wa kidato cha kwanza mara baaada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kuua bila ya kukusudia mtoto mwenzake Andrine Mafwere (9)
Akisoma hukumu hiyo jaji Eliezer Fereshi, amesema mahakama imemtia hatiani mshitakiwa huyo kutokana na upelelezi wa kesi hiyo kukamilika na maelezo ya maafisa ustawi wa jamii na maafisa wa huduma za...
10 years ago
Tanzania Daima26 Oct
Bibi wa miaka 81 abakwa
MKAZI wa kijiji cha Luteba, wilayani hapa, jina linahifadhiwa (81) amedaiwa kubakwa na watu wasiojulikana na kumsababishia maumivu makali. Akisimulia mkasa huo Bibi huyo, alisema kuwa tukio hilo lilitokea juzi...
10 years ago
BBCSwahili20 Nov
Mtoto wa miaka 3 abakwa Afghanistan