BINTI WA PROFESA AUAWA KWA SUMU

Stori: Deogratius Mongela na Chande Abdallah WAKATI Wakristo kote nchini wakijiandaa kusherehekea Sikukuu ya Krismasi, keshokutwa Alhamisi, baadhi ya familia zipo kwenye majonzi mazito kufuatia kuondokewa na ndugu zao, Uwazi lina kisa cha kuumiza. Marehemu Neema Malimbwi enzi za uhai wake. Jijini Dar es Salaam, binti mbichi aliyejulikana kwa jina la Neema Malimbwi (pichani) ambaye alikuwa mwanafunzi wa Chuo cha Kodi Tanzania...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi03 Nov
Binti nusura ajiue kwa sumu
10 years ago
GPL
MBONGO AUAWA KWA SUMU UJERUMANI
10 years ago
Vijimambo10 Feb
MBONGO AUAWA KWA SUMU UJERUMANI, MZAZI AOMBA MSAADA WA NAULI KWENDA KUMZIKA MWANAE

Marehemu Robert John Mpwata (34) enzi za uhai wake.
Na Makongoro Oging’, Issa Mnally/Uwazi
MTU mmoja anayeaminika kuwa ni Mtanzania, Robert John Mpwata (34) anadaiwa kuuawa kwa kuwekewa sumu na mwili wake kukutwa chumbani kwake katika Mji wa Shorten nchini Ujerumani siku chache zilizopita.
Habari kutoka kwa baadhi ya marafiki zake waliopo huko, zinasema Robert aliyekuwa mwanamichezo aliyecheza sarakasi, karate na judo, aliwasiliana nao kwa njia ya simu mara kwa mara na walipata taarifa za kifo...
11 years ago
BBCSwahili04 Sep
Binti wa miaka 19 auawa Detroit
10 years ago
GPL
BINTI MIAKA 8 ABAKWA, AUAWA, ATUPWA!
10 years ago
MichuziPROFESA SAID AHMED MUHAMMED APOKEA NAKALA YA ‘PAKA WA BINTI HATIBU’
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
10 years ago
Michuzi
Profesa Abdillatif Abdalla amtemeblea ‘Paka wa Binti Hatibu’ jijini London
Mshairi nguli na mwalimu mzoefu wa Kiswahili ambaye pia ni mwanasiasa mkongwe kutoka nchini Kenya, Bwana Abdilatif Abdalla amemtembelea mwandishi chipukizi kutoka Zanzibar, Bwana Yussuf Shoka ofisini kwake jijini London mapema wiki hii. Katika ziara yake hiyo fupi Bwana Abdalla alifanya mazungumzo mafupi na mwandishi huyo kuhusu kitabu chake kipya cha ‘Paka wa Binti Hatibu’.
Gwiji huyo ambaye ametumia muda mwingi kufundisha Kiswahili nchini Uingereza na Leipzig, Ujerumani...
10 years ago
GPL
11 years ago
Bongo Movies15 Jul
Huu ni ujumbe wa Kajala kwenda kwa mtoto wake leo kwenye siku ya kuzaliwa kwa binti yake huyo.
Miaka 12 iliyopita sikuwahi kujua kama itafikia siku nitajisikia hiki ninachofeel siku ya leo.. nimepitia mambo mengi sana na wewe.. nimepata shida nyingi mno lakini sikukuacha wala kukutupa.. kwenye jua ama mvua, iwe usiku ama mchana katika mitihani yote niliyopitia nilikuwa na wewe tu mwanangu.. ulikuwa kama pochi yangu.. bila kujua kesho utakuwa NANI!! nilikupenda tangu siku ya kwanza nakuona.. nilikuthamini na kuahidi nafsi yangu kuwa nitakufa na wewe katika hali yoyote ile bila kujua...