Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Profesa Abdillatif Abdalla amtemeblea ‘Paka wa Binti Hatibu’ jijini London

Na: A. Othman
Mshairi nguli na mwalimu mzoefu wa Kiswahili ambaye pia ni mwanasiasa mkongwe kutoka nchini Kenya, Bwana Abdilatif Abdalla amemtembelea mwandishi chipukizi kutoka Zanzibar, Bwana Yussuf Shoka ofisini kwake jijini London mapema wiki hii. Katika ziara yake hiyo fupi Bwana Abdalla alifanya mazungumzo mafupi na mwandishi huyo kuhusu kitabu chake kipya cha ‘Paka wa Binti Hatibu’.
Gwiji huyo ambaye ametumia muda mwingi kufundisha Kiswahili nchini Uingereza na Leipzig, Ujerumani...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

PROFESA SAID AHMED MUHAMMED APOKEA NAKALA YA ‘PAKA WA BINTI HATIBU’

- Naye akabidhi nakala ya kitabu chake kipya kiitwacho; ‘KAMWE SI MBALI TENA’ Profesa Said Ahmed Muhammed (aliyevaa miwani) akimpa nasaha mwandishi wa ‘Paka wa Binti Hatibu’ Bwana Yussuf Shoka Hamad. Profesa Said Ahmed Muhammed akipokea nakala ya ‘Paka wa Binti Hatibu’ kutoka kwa mwandishi wa kitabu hicho Bwana Yussuf Shoka Hamad.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

11 years ago

Michuzi

Mwandishi chipukizi kutoka Zanzibar aja na ‘Paka wa Binti Hatibu’

Na Ali Othman Ali.
Mwandishi anayechipukia kwa kasi katika tasnia ya fasihi ya Kiswahili ambaye pia ni Mhadhiri wa Kiswahili katika Chuo Kikuu Cha London, SOAS na Cambridge nchini Uingereza, Bwana Yussuf Shoka Hamad, hivi karibuni anatarajia kutoa kitabu chake kipya na cha kwanza kuchapishwa kinachoitwa; ‘Paka wa Binti Hatibu na Hadithi Nyingine’.
Akizungumza na mwandishi wa habari hii kwa simu kutoka nyumbani kwake jijini London, Bwana Yussuf alisema; ‘ Msomi kama binadamu hufa,...

 

10 years ago

GPL

BINTI WA PROFESA AUAWA KWA SUMU

Stori: Deogratius Mongela na Chande Abdallah
WAKATI Wakristo kote nchini wakijiandaa kusherehekea Sikukuu ya Krismasi, keshokutwa Alhamisi, baadhi ya familia zipo kwenye majonzi mazito kufuatia kuondokewa na ndugu zao, Uwazi lina kisa cha kuumiza. Marehemu Neema Malimbwi enzi za uhai wake. Jijini Dar es Salaam, binti mbichi aliyejulikana kwa jina la Neema Malimbwi (pichani) ambaye alikuwa mwanafunzi wa Chuo cha Kodi Tanzania...

 

5 years ago

Michuzi

MBUNGE WA VITI MAALUM MARIAM DITOPILE KUWAKILISHA VIJANA JIJINI LONDON,KUKUTANA NA WABUNGE MBALIMBALI JIJINI HUMO

Mbunge wa Viti maalum Anaewakilisha Vijana jana Mariam Ditopile yupo jijini London Uingereza kwa ajili ya kukutana na Wabunge mbalimbali wa Nchi hiyo kuwaeleza hatua kubwa zilizopigwa na serikali ya Awamu ya Tano chini ya Rais Dr Magufuli kwenye Sekta ya Afya kwa kutumia pesa za Ndani za walipa kodi.
Pia mafanikio ya Mambo ya Lishe huku Uingereza akiwa mdau mkubwa kupiga Dfid na kuomba waendelee kuunga mkono juhudi za serikali kwani mambo yanayofanyika ni makubwa mno.Pia kwa kipekee jana...

 

5 years ago

Michuzi

WALIOMSHAMBULIA BINTI MWENYE UMRI WA MIAKA 12 WAFIKISHWA MAHAKAMA YA KISUTU JIJINI DAR

Na Karama Kenyunko, Michuzi TV

WANAWAKE watatu akiwemo mama mlezi wa binti mwenye umri wa  miaka 12, Scholastica Charles (34) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na shtaka la kumfanyia ukatili binti yake (jina limehifadhiwa) na kumsababishia maumivu makali.

Mbali na Scholastica, washtakiwa  wengine ni Salma Hamisi (25) na Happy Joshua (44), ambapo wote  ni wafanyabiashara wanaoishi Kitunda jijini Dar es Salaam.

Akisoma hati ya mashtaka leo,  Wakili wa Serikali...

 

10 years ago

Michuzi

KAMPENI YA BINTI THAMANI KUFANYIKA NOVEMBA 17 KATIKAUKUMBI WA KING SOLOMONI JIJINI DAR

Mratibu wa Kampeni ya BINTI THAMANI wa Taasisi ya Don Bosco Net Tanzania, Agnes Mgongo akizunumza na waandishi wa habari leo katika ukumbi wa Idara ya habari MAELEZO kuhusiana kampeni ya BINTI THAMANI itakayofanyika katika ukumbi wa King Solomoni jijini Dar es Salaam na kampeni hiyo itakuwa inawalenga hasa wasichana ili kufikia malengo yao kwa kutumia fursa zinazotolewa na vyuo vya Don Bosco hapa nchini.Mkurugenzi wa malezi ya vijana wa Taasisi ya Don Bosco Net Tanzania, Padre, Dustan Haule...

 

10 years ago

Habarileo

Kombo aridhika na upanuzi wa Hospitali ya Abdalla Mzee

NAIBU Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo amesema ukarabati mkubwa unaofanywa katika Hospitali ya Abdalla Mzee kwa kiasi kikubwa utasaidia kuimarisha huduma za afya kwa wananchi na kupata matibabu bora.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani