Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HATIMAYE “PAKA WA BINTI HATIBU” AINGIA MITAANI

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Mwandishi chipukizi kutoka Zanzibar aja na ‘Paka wa Binti Hatibu’

Na Ali Othman Ali.
Mwandishi anayechipukia kwa kasi katika tasnia ya fasihi ya Kiswahili ambaye pia ni Mhadhiri wa Kiswahili katika Chuo Kikuu Cha London, SOAS na Cambridge nchini Uingereza, Bwana Yussuf Shoka Hamad, hivi karibuni anatarajia kutoa kitabu chake kipya na cha kwanza kuchapishwa kinachoitwa; ‘Paka wa Binti Hatibu na Hadithi Nyingine’.
Akizungumza na mwandishi wa habari hii kwa simu kutoka nyumbani kwake jijini London, Bwana Yussuf alisema; ‘ Msomi kama binadamu hufa,...

 

9 years ago

Michuzi

PROFESA SAID AHMED MUHAMMED APOKEA NAKALA YA ‘PAKA WA BINTI HATIBU’

- Naye akabidhi nakala ya kitabu chake kipya kiitwacho; ‘KAMWE SI MBALI TENA’ Profesa Said Ahmed Muhammed (aliyevaa miwani) akimpa nasaha mwandishi wa ‘Paka wa Binti Hatibu’ Bwana Yussuf Shoka Hamad. Profesa Said Ahmed Muhammed akipokea nakala ya ‘Paka wa Binti Hatibu’ kutoka kwa mwandishi wa kitabu hicho Bwana Yussuf Shoka Hamad.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

10 years ago

Michuzi

Profesa Abdillatif Abdalla amtemeblea ‘Paka wa Binti Hatibu’ jijini London

Na: A. Othman
Mshairi nguli na mwalimu mzoefu wa Kiswahili ambaye pia ni mwanasiasa mkongwe kutoka nchini Kenya, Bwana Abdilatif Abdalla amemtembelea mwandishi chipukizi kutoka Zanzibar, Bwana Yussuf Shoka ofisini kwake jijini London mapema wiki hii. Katika ziara yake hiyo fupi Bwana Abdalla alifanya mazungumzo mafupi na mwandishi huyo kuhusu kitabu chake kipya cha ‘Paka wa Binti Hatibu’.
Gwiji huyo ambaye ametumia muda mwingi kufundisha Kiswahili nchini Uingereza na Leipzig, Ujerumani...

 

10 years ago

GPL

GENEVIEVE, OMOTOLA CHUI NA PAKA

Staa wa filamu za Kinigeria, Genevieve Nnaji. MASTAA wawili wanaotikisa Nollywood, Omotola Ekeinde pamoja na Genevieve Nnaji inadaiwa hawapatani hata kidogo ‘chui na paka.’Chanzo kinafunguka kuwa japokuwa hivi karibuni Rais wa Chama cha Waigizaji Nigeria, Ibinabo Fiberesima alilazimika kuingilia kati na kuwakusanya pamoja lakini imekuwa vigumu. Muigizaji wa filamu za Kinigeria, Omotola Jalade. “Genevieve...

 

10 years ago

BBCSwahili

Paka mkubwa aonekana Paris

Polisi wa Ufaransa,askari wa zima moto na kikosi cha mbwa wanamsaka paka mkubwa aliyeingia mjini.

 

10 years ago

GPL

AMANDA AJIPOZA MACHUNGU NA PAKA!

Msanii wa filamu Bongo, Sabrina Poshi ‘Amanda’ akimkumbatia paka wake. Na Gladness Mallya/Ijumaa Wikienda
MSANII wa filamu Bongo, Sabrina Poshi ‘Amanda’ ameonekana kama anajipoza machungu kwa kugeuza paka kuwa kama mtoto wake kwa kumpakata na kumtunza kama binadamu. Akipiga stori na gazeti hili, Amanda alisema amefikia hatua hiyo kutokana kwa sababu anapenda sana watoto hivyo kwa kuwa hajajaliwa...

 

10 years ago

GPL

PAKA AFUNGWA HIRIZI MTINI

Stori: Dustan Shekidele, MOROGORO
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, paka mwenye hirizi kubwa shingoni akiwa hai alikutwa amepigiliwa misumari juu ya mti uliopo jirani na Msikiti wa kwa Mtawara uliopo Kata ya Mwembesongo mkoani hapa. Paka mwenye hirizi kubwa shingoni akiwa amepigiliwa misumari juu ya mti uliopo jirani na Msikiti wa kwa Mtawara uliopo Kata ya Mwembesongo, Morogoro. Tukio hilo lililokusanya umati mkubwa wakiwemo...

 

10 years ago

Mtanzania

Akamatwa akidaiwa kuuza nyama ya paka

Na Asifiwe George na Mwantum Saadi, Dar es Salaam
MUUZA mishikaki mmoja katika kituo cha daladala cha Temeke mwisho jijini Dar es Salaam maarufu kwa jina la Said Mishikaki, amekamatwa na kupigwa na wananchi kwa tuhuma za kuuza mishikaki ya nyama ya paka.
Said alikamatwa jana asubuhi baada ya taarifa kusambaa katika eneo hilo zikimtuhumu kwamba amekuwa na kawaida kuuza mishikaki ya nyama ya paka badala ya ng’ombe, mbuzi na wanyama wengine wanaoliwa.
Taarifa zilizopatikana kutoka eneo la tukio...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani