Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Akamatwa akidaiwa kuuza nyama ya paka

Na Asifiwe George na Mwantum Saadi, Dar es Salaam
MUUZA mishikaki mmoja katika kituo cha daladala cha Temeke mwisho jijini Dar es Salaam maarufu kwa jina la Said Mishikaki, amekamatwa na kupigwa na wananchi kwa tuhuma za kuuza mishikaki ya nyama ya paka.
Said alikamatwa jana asubuhi baada ya taarifa kusambaa katika eneo hilo zikimtuhumu kwamba amekuwa na kawaida kuuza mishikaki ya nyama ya paka badala ya ng’ombe, mbuzi na wanyama wengine wanaoliwa.
Taarifa zilizopatikana kutoka eneo la tukio...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mbaroni akidaiwa kuuza nyama ya binadamu

Mkazi wa Kijiji cha Kihinga, Kata ya Bugarama wilayani Ngara mkoani Kagera(jina tunalo), anashikiliwa katika kituo kidogo cha polisi cha kata hiyo baada ya kutuhumiwa kuuza kilo moja ya nyama ya binadamu kwa Sh100,000.

 

10 years ago

Vijimambo

MUUZA MISHIKIKA AKAMATWA NA NYAMA YA PAKA NA KISHA KUSULUBIWA NA WATEJA WAKE

Muuuza mishikaki maarufu Temeke stand ya mabasi anayejulikana kwa jina maarufu la Said mishikaki amekamatwa na nyama ya paka na kisha kusulubiwa na binadamu wenye hasira. Hivi mtu huruhusiwi kuwa na nyama ya paka.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mbwa,Paka nyama zinazopendwa DRC

Mbwa na Paka ni kitoweo nchini Jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo

 

11 years ago

Mwananchi

Njaa yaisukuma familia kula nyama ya paka

Siyo rahisi kwa mtu ambaye anapata chakula kutwa mara tatu, kuamini kuwa kuna binadamu ambao wanaweza kuishi hata siku tatu bila kupata hata mlo mmoja.

 

11 years ago

Mwananchi

Akamatwa Muhimbili akidaiwa kufanya utabibu kinyemela

Maofisa Usalama wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), wamemkamata mtu anayedaiwa kutoa huduma kwa wagonjwa kinyume cha utaratiba na kwamba, amekuwa akiwatapeli wagonjwa wanaokwenda kupata matibabu.

 

11 years ago

KwanzaJamii

IRINGA WALISHWA NYAMA YA MIZOGA YA PUNDA, PAKA NA MBWA

Mwananchi huyu alikutwa akiuchuna mzoga wa punda huyu huko Migori wilayani Iringa. Maeneo mengi ya vijijini katika Mkoa wa Iringa yanalalamikiwa na wananchi kwamba wanalishwa mizoga ya punda, paka na mbwa. (Picha na Said Ng’amilo). Na Mathias Canal, Iringa WAKAZI wa Kitongoji cha Lugofu katika Kijiji cha Ilandutwa, Wilaya ya Iringa Vijijini, mkoani Iringa wamelaani kitendo cha baadhi ya wafanya biashara wa nyama kijijini hapo kuwalisha nyama ya paka, mbwa na punda pasipo...

 

9 years ago

Mwananchi

11 years ago

Mwananchi

Afutiwa shitaka la kuuza nyama ya binadamu

>Mahakama ya Wilaya ya Ngara, mkoani Kagera imemfutia mashitaka ya kuuza nyama ya binadamu, Pastori Nalingi Blanketi (43) na kumhukumu mwaka mmoja jela kwa kosa la kuingia na kuishi nchini kinyume na sheria.

 

10 years ago

BBCSwahili

Akamatwa akijaribu kuuza mtoto wa miezi 3

Mwanaume mmoja amekamatwa na polisi mjini Manchester kwa tuhuma za kutaka kuuza mtoto wa kike

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani