Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Akamatwa Muhimbili akidaiwa kufanya utabibu kinyemela

Maofisa Usalama wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), wamemkamata mtu anayedaiwa kutoa huduma kwa wagonjwa kinyume cha utaratiba na kwamba, amekuwa akiwatapeli wagonjwa wanaokwenda kupata matibabu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Akamatwa akidaiwa kuuza nyama ya paka

Na Asifiwe George na Mwantum Saadi, Dar es Salaam
MUUZA mishikaki mmoja katika kituo cha daladala cha Temeke mwisho jijini Dar es Salaam maarufu kwa jina la Said Mishikaki, amekamatwa na kupigwa na wananchi kwa tuhuma za kuuza mishikaki ya nyama ya paka.
Said alikamatwa jana asubuhi baada ya taarifa kusambaa katika eneo hilo zikimtuhumu kwamba amekuwa na kawaida kuuza mishikaki ya nyama ya paka badala ya ng’ombe, mbuzi na wanyama wengine wanaoliwa.
Taarifa zilizopatikana kutoka eneo la tukio...

 

10 years ago

Vijimambo

DAKTARI FEKI AKAMATWA KATIKA TAASISI YA MIFUPA MUHIMBILI ( MOI )

Daktari feki aitwaye Dismas Macha amekamatwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa (MOI) akiwa amevaa sare za kazi kama Daktari ambapo hii inakuwa mara ya pili kukamatwa akiwa anachangisha rambirambi kwa Madaktari akidai kuwa amefiwa.Anaye daiwa kuwa Daktari feki ,akiwa chini ya ulinzi Dar es Salaam jana, baada ya kuingia katika Taasisi ya Mifupa (MOI) akiwa amvalia nguo ya kazi na akiwa na kitambulisho cha kazi na kujifanya yeye ni Daktari wa Taasisi hiyo .Baada ya kukamatwa na askari alikutwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Utabibu wa kiafrika ni halali ama haramu ?

Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo,waganga wa jadi maarufu kama 'wafumu' wanalaumiwa kuwa ni waongo na walaghai je tiba yao ni halali ?

 

10 years ago

Mwananchi

Mwanafunzi Chuo cha Utabibu ajifungua na kumtupa mtoto

Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Utabibu cha Kilimanjaro Christian Medical (KCMU), amejifungua mtoto katika choo cha Hospitali ya Rufani ya KCMC na kisha kumtupa kwenye kasha la takataka.

 

11 years ago

Michuzi

Chama Cha Utabibu wa Dawa Asilia Tanzania chatoa somo kwa Wanahabari jijini dar

Mlezi wa Chama Cha Utabibu wa Dawa Asilia Tanzania (ATME),Mzee Kingunge Ngombale Mwiru (kushoto), akifungua mafunzo kwa wahariri na waandishi wa vyombo vya habari kuhusu tiba asilia, May 15,2014 katika ukumbi wa mikutano NIMR jijini Dar es Salaam,ambapo amewataka Watanzania kuondokana na imani potofu dhidi ya tiba asili na badala yake watumie ili kupona maradhi mbalimbali yanayowakabili (kulia),Mwenyekiti wa Chama cha Utabibu wa Dawa Asili Tanzania (ATME), Bw.Simba Abdulrahmani. Lucey...

 

11 years ago

Mwananchi

Kampeni za ubunge zaanza kinyemela

Zikiwa zimesalia siku takribani 400 kabla ya kuvunjwa kwa Bunge, kampeni za chinichini zimeanza katika majimbo matano ya mkoani Kilimanjaro.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani